Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
nimetubu
barikiwa.
nimetubu
nalog outbarikiwa.
nalog out
hautonimiss?salam zao.
Sweety wajameni nakusubiri huku kwa room muda mrefu we unasumbuana na kloro na timu yake ya wakeshaji, khaah!mungu hapendi.
Kamanda bana! si nilikuacha tip top unapeleka mzingaSweety wajameni nakusubiri huku kwa room muda mrefu we unasumbuana na kloro na timu yake ya wakeshaji, khaah!
hautonimiss?
nitakondasikumiss hata kidogo.
Sweety wajameni nakusubiri huku kwa room muda mrefu we unasumbuana na kloro na timu yake ya wakeshaji, khaah!
nitakonda
kapata nyumba ndogo,khaaa! Za kunisusa mpenzi?
unazidi kuniumizatutakutaftia mchina unenepeshwe.
Hahaha! huko tiptop ndio wapi tena ? niko nyumbani na bukta langu muda mrefu na wife kadai anamalizia online kabla ya kuni-join nashangaa kachelewa sana kumbe swahiba unambugudhi ujue uporoto hapendi yakhe.Kamanda bana! si nilikuacha tip top unapeleka mzinga
kapata nyumba ndogo,
ukishakusoma idelete
Nakulindia bana, hapa chatu dume alikuwa anapiga misere tu lakini nikamchimba bonge la mkwala. kaingia mitini.Hahaha! huko tiptop ndio wapi tena ? niko nyumbani na bukta langu muda mrefu na wife kadai anamalizia online kabla ya kuni-join nashangaa kachelewa sana kumbe swahiba unambugudhi ujue uporoto hapendi yakhe.
mbona bado mbichi na unapoteza kumbukumbu ? nimejaa tele hapa kwa bed logout basi laaziz mwenzio nasinzia.khaaa! Za kunisusa mpenzi?
Halaf na mimi ni shemeji yako usinitanie tanie kupita kiasi. Uporoto namheshim sana . okmme wangu mtulivu. Nyumba ndogo anazisikia kwa jirani the boss.
mbona bado mbichi na unapoteza kumbukumbu ? nimejaa tele hapa kwa bed logout basi laaziz mwenzio nasinzia.
khaaaaaa! tupo jukwaa gani? naona unatafta ban ki moon sasai'm cuming darln......ooopss! I'm coming.
Halaf na mimi ni shemeji yako usinitanie tanie kupita kiasi. Uporoto namheshim sana . ok