Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Chahali na Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA

Mrema, Lipumba, Cheyo na Mbatia mwenyeviti toka mimi sijaanza la kwanza mpaka leo nimekuwa babu, mbona hamuwasemi? shame on you
Hao uliowataja hawajipambanui kama ni wanademokrasia wa kweli bali hawa wanaowashwawashwa na kila jambo kukosoa na kujifanya ni wanadiplomasia ya kuchovya ndo maana tunawahoji ili watueleze
 
Mbowe hanunuliki so wanamwaga upupu iili tumuone mbowe hafai. Kipindi cha siasa hizi tunamuhitaji mbowe kuliko wakati wowote
Alifika bei kwa mamvi, acha kujidanganya mkuu,,,,,,hivi mbona vitu vingine mnaona sana juu ya hili mnapata ganzi ipi!!!?

Poleni
 
Nilichoandika umesoma kama Kasuku
hukuelewa nimemaanisha cccm iko Madarakani kwa miaka mingi sikuona ukililalamikia hilo..ila Povu kwa MBOWE kwanini? Hoja iko hapo
Tumia akili, uwapo wa CCM madarakani hasa baada ya mwaka 1995 ni wa kidemokrasia kama Tanzania ilivyoridhia Demokrasia ya vyama vingi. Vinginevyo hoja iliyopo mezani ni uhafidhina wa mbowe ndani ya chadema, ambayo haina uhusiano na uwepo madarakani wa CCM kwa miaka na miaka. Mbowe ni mtu , chadema na CCM ni taasisi
 
Mrema, Lipumba, Cheyo na Mbatia mwenyeviti toka mimi sijaanza la kwanza mpaka leo nimekuwa babu, mbona hamuwasemi? shame on you
Unafahamu tofauti kati ya CHADEMA NA CUF?-- Chadema kuna NENO " DEMOKRASIA" hapo ndipo watu tunashangaa hili neno linahusu mtu mmoja tuu au nikwa ajili ya watu?. CUF hakuna mtu wa kuuliza maana hawana NENO "DEMOKRASIA" ndiyo maana unakuta viongozi wao ni walewale bara na visiwani... ni viongozi wa milele hadi wao watakaposema TUNANG'ATUKA. Think BIG
 
Mwwnyekiti wa kwanza wa Chadema ni Edwin Mtei, Mwenyekiti wa pili ni Bob Makani, Mwenyekiti wa tatu ni Freeman Mbowe na ndiye mwenyekiti mwenye mafaniko zaidi ya wote, ni kwa nini huyu anawanyima usingizi?

Mmepora Billicanas hajaunga mkono juhudi za Magufuli, mmeharibu green house yake Hai bado hataki kuunga mkono juhudi za Magufuli sasa mnaingilia hata maamuzi ya chama chake, je mmewahi kuwauliza ccm ni kwa nini haifanyi uchaguzi kupata uongozi wa ngazi ya Taifa? Au yale maigizo yanayofanyika Dodoma ya mgombea mmoja kupata 100% kwa 100% ndio uchaguzi? Ni lini ccm itajifunza kwa ANC jinsi inavyoendesha chaguzi za kweli na za wanachama kushindana kugombea uongozi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alimkaribisha na kumpa nafasi kubwa mtu mwingine kwa siku mbili, Aliona Bora waziri mkuu mstaafu kuliko Katibu mkuu aliyepata ukilema kwa kupigania chama, anatudanganya kuwa hajui kama Lowasa alikua na safari ya Ikulu,,,,,,, But, haya pia ni mafanikio

Politrics
 
Kuna watu wengine Akili zao zinawatosha wenyewe mimi nilidhani wangemwaga Povu kwa ccm kutawala kwa mkono wa Chuma tangu Uhuru
Kumbe hiyo kwao sio Shida ni Mwenyekiti wa Chama duh...
Hujajibu Hoja. Chama kinawekwa madarakani kwa ridhaa ya wananchi

Hakuna ukomo uliowekwa na katiba juu ya ukomo wa chama tawala.

Vyama vingi katiba zao zimeanisha ukomo wa Mwenyekiti wa chama ndio maana watu wanahoji nini maana ya kuwa na chama cha demokrasia halafu Mwenyekiti wake anakalia kiti bila ukomo?
 
Sidhani kama kuna binadamu atakayevumilia kukaa cdm kwa uaminifu mkubwa kama Mbowe, huyu jamaa ni mwiba mkubwa sana kwa chama tawala maana kama ananunulika siku nyingi angekuwa ccm
 
"Kirefu cha CHADEMA ni Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo. Sasa ni demokrasia gani hiyo ambayo inaruhusu mwenyekiti mmoja kuwa madarakani milele? What if “uenyekiti wa milele” ni miongoni mwa vikwazo kwa maendeleo ya chama hicho?" Evarist Chahali

Halafu wanamuita JPM dikteta, si ujinga huu? JPM anafanya kazi na inaonekana.....huko CHADEMA Dj Mbowe yuko madarakani as mwenyekiti wao karibia robo karne sasa na hajafanya cha maana zaidi ya kuudhi tu wenzake na kuwatuhumu ili wamkimbie apate viongozi wapya na aendelee kula hela za ruzuku bila kuhojiwa. Wanachama wa CHADEMA Dj Mbowe ndiye sumu yenu, anawadangany na kuwafunga akili nyie mnamshangilia tu.
 
Billicanas hajaporwa ni kujigeuzia mali ya umma kuwa ya kwake kwa kutegemea huruma za wananchi! Eti Mwenyekiti afu hutaki lipa kodi!
Suala la kujichukulia maamuzi ya kulima kwenye catchment area siliungi mkono hata kidogo.
Suala la muundo wa upatikanaji kiongozi lisikupe shaka ni desturi ya chama kupokezana vijiti kila ufikapo ukomo wa uongozi na inafahamika hivyo na iko wazi katika katiba ya chama!

HOJA: Niambie uongozi wa CHADEMA katika nafasi ya uenyekiti ni miaka mingapi mingapi kwa muhula mmoja?
Ni lini amewahi itisha hata uchaguzi wa uongo uongo ili mpige kura ya kuchagua au kupendekeza mwenyekiti?
NI muundo upi wa demokrasia unayoizungumzia mliyoitumia kumpitisha LOWASA kuwa mgombea wenu wa uraisi kupitia CHADEMA na UKAWA kwa ujumla?
Unapaswa kupuuzwa ila kabla ya kufanya hivyo ngoja nikueleweshe tu kuwa hili jukwaa sii la VILA.ZA sampuli yako.
Muda wa Uongozi Ni Miaka minne minne! Uchaguzi wa Mwisho wa Chadema ulifanyika 2014 ambapo Mbowe alichaguliwa kuwa Mwenyekiti Taifa na Makamu kuwa Prof. Abdallah Safari huku Katibu Mkuu akiwa Dr. Slaa na manaibu wake Ni Salum Mwalim na John Mnyika.
 
Hujajibu hoja,inakuwaje Mwenyekiti wa Chama anakuwa wa milele?
Milele wapi wakati uenyekiti unagombewa kila baada ya miaka 5

Kutoweka limits mbona ipo kwenye taasisi nyingi tu hata za kimataifa..... Hta hivyo vyama vikubwa duniani hakuna kikomo kwa mwenyekiti ni maamuzi ya wanachama ndio yatamuweka au kumtoa ila hawamnyimi nafasi ya kugombea kama bado ana nguvu

Mbowe alipigiwa kura na alishindanishwa na watu sasa utasemaje demokrasia hamna?? We niambie ni lini CCM mmetoa fomu kwa wananchama za kugombea uenyekiti wa chama taifa???
 
Billicanas hajaporwa ni kujigeuzia mali ya umma kuwa ya kwake kwa kutegemea huruma za wananchi! Eti Mwenyekiti afu hutaki lipa kodi!
Suala la kujichukulia maamuzi ya kulima kwenye catchment area siliungi mkono hata kidogo.
Suala la muundo wa upatikanaji kiongozi lisikupe shaka ni desturi ya chama kupokezana vijiti kila ufikapo ukomo wa uongozi na inafahamika hivyo na iko wazi katika katiba ya chama!

HOJA: Niambie uongozi wa CHADEMA katika nafasi ya uenyekiti ni miaka mingapi mingapi kwa muhula mmoja?
Ni lini amewahi itisha hata uchaguzi wa uongo uongo ili mpige kura ya kuchagua au kupendekeza mwenyekiti?
NI muundo upi wa demokrasia unayoizungumzia mliyoitumia kumpitisha LOWASA kuwa mgombea wenu wa uraisi kupitia CHADEMA na UKAWA kwa ujumla?
Mfumo uliompitisha Lowassa ndio mfumo uliompitisha Dr. Slaa Mwaka 2010, na ndio mfumo uliompitisha Anna Mghwira wa ACT, Chief Lutalosa Iyemba, na Hashim Rungwe kugombea Urais.

Shule hamjafungua bado au ndo ulikuwa ukisubiri Matokeo ya kidato cha pili Urudi shule?
 
Bora huyo, ila kuna yule mnyama mwenda pole, siku asipokuwepo kanisani basi waumini hupata mahubiri kupitia runinga hana msaidizi wake wa kutoa neno kanisani yeye ndo Alfa na Omega (nisikiavyo mtaani)
Uliwahi kusali hapo? Hebu acheni propaganda hata kwenye makanisa! Huna ushahidi wowote, kazi kubwabwaja kama Yule shoga mwingine
 
Mbowe hanunuliki so wanamwaga upupu iili tumuone mbowe hafai. Kipindi cha siasa hizi tunamuhitaji mbowe kuliko wakati wowote
Amenunulika tena na genge lake lote kwa pesa tu zamadafu za lowasa

Mbowe is very cheapest
 
Mshana unalidhika na muda wa mwenyekiti mamlakani?, ni Kweli Mbowe si kikwazo kwa maendeleo ya chadema Kwa sasa?, du!
Usibishane na wajinga kama mshana yeye akili za kichawi ndio anawaza tu
 
Halafu wanamuita JPM dikteta, si ujinga huu? JPM anafanya kazi na inaonekana.....huko CHADEMA Dj Mbowe yuko madarakani as mwenyekiti wao karibia robo karne sasa na hajafanya cha maana zaidi ya kuudhi tu wenzake na kuwatuhumu ili wamkimbie apate viongozi wapya na aendelee kula hela za ruzuku bila kuhojiwa. Wanachama wa CHADEMA Dj Mbowe ndiye sumu yenu, anawadangany na kuwafunga akili nyie mnamshangilia tu.
Ruzuku haihojiwi kivipi wakati serikali ya CCM kupitia CAG inahoji ruzuku kupitia ukaguzi wa vyama hivyo lazima kila senti ya ruzuku iliyotumika iambatanishwe na risiti sasa kivp unasema hahojiwi???

Hajafanya cha maana??? Hivi kuitoa chadema iliyokuwa ina mbunge watano tu mpaka leo hii zaidi ya 80 sio mafanikio???

Kutoka chama cha kanda moja hadi leo kipo taifa zima huoni ni mafanikio hayo???

Kutoka wanachama wa kuhesabika hadi leo mamilioni hta mkutano wa diwani tu unakutana na mafuriko hayo sio mafanikio???

Kuweza kutoka chama cha upinzani cha kawaida hadi kuwa chama kikuu cha upinzani sio mafanikio??

Hivi kuvuka migogoro na propaganda kma udini ukanda ugaidi ukabila n.k ambavyo viliua CUF na NCCR, TLP huoni ni mafanikio ya mbowe???

Unajua katika vyama vyote ikiwemo CCM chama pekee ambacho kila uchaguzi kinaongeza wawakilishi + kura ni chadema pekee ilihali CCM na vyama vingine kura zinapungua kila uchaguzi je huoni kwa graph hiyo ni mafanikio kwa mbowe

Yapo mengi tu naweza andika mpaka kesho usisahau ruzuku ya chini ya million 40 alioikuta mpaka leo hii zaidi ya million 200+ kila mwezi huoni ni mafanikio

Pamoja na madhaifu yake ambayo kila mwanadamu hakosi, kwenye ukweli tusifie tusiwe na chuki haisaidii

Long live mbowe.....
 
Mwwnyekiti wa kwanza wa Chadema ni Edwin Mtei, Mwenyekiti wa pili ni Bob Makani, Mwenyekiti wa tatu ni Freeman Mbowe na ndiye mwenyekiti mwenye mafaniko zaidi ya wote, ni kwa nini huyu anawanyima usingizi?

Mmepora Billicanas hajaunga mkono juhudi za Magufuli, mmeharibu green house yake Hai bado hataki kuunga mkono juhudi za Magufuli sasa mnaingilia hata maamuzi ya chama chake, je mmewahi kuwauliza ccm ni kwa nini haifanyi uchaguzi kupata uongozi wa ngazi ya Taifa? Au yale maigizo yanayofanyika Dodoma ya mgombea mmoja kupata 100% kwa 100% ndio uchaguzi? Ni lini ccm itajifunza kwa ANC jinsi inavyoendesha chaguzi za kweli na za wanachama kushindana kugombea uongozi?
Duration lazima izingatiwe katika Democratically situation ,katiba iliyobasilishwa na mbowe itaua chama
 
Back
Top Bottom