Chagulaga..... weekend njema guys!!!!!

Mie hiyo amarula huwa nikigusa tu inahamia chini suruali inaanza kuwa ndogo
 
samahani Bishanga nilisahau kukuwekea kinywaji chako pendwa!!!

nzagamba.JPG
 
Last edited by a moderator:
Sijui nami niumwe ili nipate mavitus kama hayo.

sio kuumwa tu... lazima uwe na mtoto kwa tumbo ndo utapata mahanjumati ya hivooooo... chezeiya mtoto wewe afu tena awe dume na festbon!!!!!! mbona hata gari utanunuliwaaaaaa!!!!
 
sio kuumwa tu... lazima uwe na mtoto kwa tumbo ndo utapata mahanjumati ya hivooooo... chezeiya mtoto wewe afu tena awe dume na festbon!!!!!! mbona hata gari utanunuliwaaaaaa!!!!

Attention guys, anyone who want to nimimba me and spoil me with matundas and majuices like those, l am all games! Sijui niende love connect? LOL
 
Back
Top Bottom