Miji yetu ukitoa Moshi iko busy hadi weekend

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,709
6,505
Miji na Majiji ya Tanzania huwezi tofautisha Jumatatu au jumapili, Miji iko busy siku 7 za juma. Dar inajamu haijalishi ni lini.

Majiji na Miji mingi weekend ni siku raia unakuta wametulia majumbani mwao pembeni mwa mji, wengine utakuta wameenda mashambani kwao au vijijni kupumzika. Tanzania ni tofauti kabisa.

Nairobi weekend hasa Jumapili unaweza usipate huduma, Jiji linakuwa tupu kabisa raia wako majumbani wamepunzika.

Bongo weekend ndio siku ya raia kumiminika mjini, yaani ni kawaida kukuta sehemu za starehe za katikati ya mji ndio zimejaaa raia kuliko pembezoni, Weekend kawaida kukutana na jam za kutosha weekend.

Jiji kama Windhoek Nambia aisee weekend jiji ni tupu kabisa, kama ndio umefika siku ya kwanza unaweza dhania watu wamehama jiji. Bongo labda kidogo sana Moshi ambayo Wachaga weekend hasa Jumapili wanakuwa migombani huko wanapata Mbege.

Moshi ndio mji uliopangika kwa kuwa na mji na umezungukwa na mashamba au vijiji, vijiji vya maana. na pia Wachaga ni watu wanapenda sana kukaa vijijini au kuishi vijijini na sio mijini.
 
Nani kakudanganya ukifa unalala?
Ndugu zangu waislam tususie na Tuacheni kutumia bidhaa za mskafir mashia kama mo Energy. Tutumie Azam energy na bidhaa zake.

Haiwezekani Iran na mashia kuwatuka na kuwadhalilisha maswahaba. Haijui kabisa akilini rafiki mkubwa wa karibu wa Mtume swahaba Abubakar Caliph atukanwe na mashia halafu tumekaa kimya.

Inauma na kuhuzunisha hawa makafir Iran na mashia wamdhalilishe na kumtukana mke wa kipenzi chetu bi Ayesha eti alikuwa kahaba na anaoga uchi mbele ya wanaume.

Wanatuletea maulid ya hovyo wanaqufr kweli kuna maulid ya Ali na Fatima kweli? Maulid ni moja tu ya Mtume Muhammad SAW.

Ndo maana siku ya Aaashuurah wanajipiga kujidhuru na majambia usoni utosini na mgongoni siyo wanahuzuni bali ni laana na majitu kutokwa maswahaba.

Tusikae kimya ndugu zangu waislam tuutetee uislam hata kwa nafs. Tukicheza tutakosa Janah na firdaus siku ya qyamah.
 
Ha ha haa ...🤣🤣🤣
Wewe mngese umenichekesha Sana.
Umechanganya desa (mafaili) kinyama.
 
Back
Top Bottom