Abiria wa Uber/bolt, wanaolipia kwa njia ya credit card, ile hela inayoingia kwa account yako unaitoa vipi?

adsense master

Senior Member
Mar 12, 2019
107
171
habari wapendwa katika bwana,wale bolt/tax driver naomba kujua jambo moja hivi kuna wale abiria wanaolipia kwa njia ya credit card baada ya safari ile hela inayoingia kwa account yako unaitoa vipi na baada ya muda gani?
 
Iyo pesa inaingia Kenya account yako ya bolt unawez kuiacha kulipia makato ya bolt hama kuitoa ingawa kuitoa makato meng mfano, umelipwa 10000 u kuitoa kujazia kweny no ya simu yako wanakata 2000 then ukiitoa kweny simu kuja cash inakuwa kama 7000 hama 6500
 
Back
Top Bottom