CHADEMA yawasha moto Arusha. Mbowe azindua Mkakati mpya

Mwambieni Lema aache kulelewa na wanaume wenzake ,arudi kupambana.
Ndugu yangu,
Matusi yote hayo unayo poromosha yanatokana na uoga uliyokujaa utokanao na ushetani wenu.
Ninapiga magoti kuendelea kumwomba Mungu wetu aliehai ili akusamehe na kukujaza roho wa haki na kweli.
Utakaposhika njia mpya ilojaa upendo wa Mungu, utaweza kuwaongoza hata wenzio wenye tatizo kama ulivyokuwa, hali ambayo itakuwa msingi wa kujenga Taifa jipya lisilo na chuki kwa binadamu wengine.
AMEN
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE

======================================

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, tarehe 27 Mei 2021 siku ya Alhamisi, anatarajiwa kuzindua ‘Operesheni Haki,‘ ambayo itafanyika nchi nzima.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumanne tarehe 25 Mei 2021 na Chadema, kupitia ukurasa wake wa Twitter, kampeni hiyo itazinduliwa jijini Arusha.

Taarifa ya Chadema imesema kuwa, lengo la operesheni hiyo ni kudai katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, pamoja na uimarishwaji misingi ya haki nchini.

Sambamba na hilo, taarifa ya Chadema imesema, Mbowe ameendesha kikao cha Kamati Tendaji ya chama hicho, katika Kanda ya Kaskazini, kilichofanyika leo jijini Arusha.

“Leo Mei 25, 2021, Mwenyekiti wa chama Taifa, Freeman Mbowe, ameendesha Kikao cha Kamati Tendaji ya Kanda ya Kaskazini, jijini Arusha,” imesema taarifa ya Chadema.
huyo tapeli na jizi la haaayi lilitakiwa kuwa jela kabisa wala si kutapeli tena watanzania nyambaf kbs
 
mnajidanganya dira ya taifa lipi labda nikuulize yaaninchiiendeshwe na mtu kama mbowe ? hiyo itakuwa nchi au kituko tu?
majinga mnoo hayawezi kukujibu hivi mtu kama amefeli mitihani darasani ameshindwa kusimamia mali za familia tu mpaka anatapeli ametapeli hela za chama hafu ety leo linakuja na ujinga ujinga nyoka wa makengeza weeee mlewa konyagi I can't breathe
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , leo kimeanza kupanga mipango mipya ya kukisogeza karibu zaidi na Wananchi , ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ameanza kwa kufungua kikao cha Kamati ya Utendaji Mjini Arusha

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, tarehe 27 Mei 2021 siku ya Alhamisi, anatarajiwa kuzindua ‘Operesheni Haki,‘ ambayo itafanyika nchi nzima.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumanne tarehe 25 Mei 2021 na Chadema, kupitia ukurasa wake wa Twitter, kampeni hiyo itazinduliwa jijini Arusha.

Taarifa ya Chadema imesema kuwa, lengo la operesheni hiyo ni kudai katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, pamoja na uimarishwaji misingi ya haki nchini.

Sambamba na hilo, taarifa ya Chadema imesema, Mbowe ameendesha kikao cha Kamati Tendaji ya chama hicho, katika Kanda ya Kaskazini, kilichofanyika leo jijini Arusha.

“Leo Mei 25, 2021, Mwenyekiti wa chama Taifa, Freeman Mbowe, ameendesha Kikao cha Kamati Tendaji ya Kanda ya Kaskazini, jijini Arusha,” imesema taarifa ya Chadema.
Mungu na waungwana, shetani na wahuni! Ni fahari kuwapigania waungwana, ni aibu na fedheha kuwapigania ccm.

Mungu ibariki Chadema, tusaidie kuwachukua ccm wote waliobaki kama ulivyomchukua yule dikteta muuaji
 
Back
Top Bottom