Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Ubarikiwe sana Kamanda Tumaini Makene, hii ni habari njema sana kwa watanzania.......... hii hamasa ya watu ni ya ajabu sana watu ni wengi............ huu mtindo wa kuzindua kanda kwa maslahi ya wananchi ni ubunifu wa hali ya juu sana.
Ni ukweli usiopingika kuwa viongozi wa chadema wanatumia ubongo wao kufikiri kwa nia njema na Tanzania
Ni ukweli usiopingika kuwa viongozi wa chadema wanatumia ubongo wao kufikiri kwa nia njema na Tanzania
Last edited by a moderator: