CHADEMA yatangaza uchaguzi wa kujaza nafasi za waliotimuliwa Bawacha

ruzuku za vyama zinaletwa na wabunge wa viti maalum ! kwahiyo kumbe mara zote humu tunabishana mtu ambaye kichwa chake ni kifuu ?
Hahahaaaa....... Hao ndio walipata kura nyingi walipogombea majimboni ndio maana Katibu mkuu Mnyika akawateua kuwa wabunge na kumpelekea majina Mahera!
 
Wakishinda rufaa itakuwaje?mnaingia na matokeo ya rufaa mfukoni. Hawa wamama ni vichwa wa cdm nauona mpango wa mbowe kuiua cdm ukikamilika

Ukimaanisha chama kisiendelee na michakato ya ndani kuwasikilizia kesi ya hao “ beba bebaa mia tano”?

Ukichwa wao unapimwa kwenye criteria ipi zaidi ya stupidity waliyofanya ambayo imewaondolea credibility! Unaona kuna raia ana haja kusikia hata wakiongea bungeni??
 
Back
Top Bottom