CHADEMA yatangaza uchaguzi wa kujaza nafasi za waliotimuliwa Bawacha

Hivi ukiwa mwanachama kuna malipo yeyote unapata?
Hili ndio swali zuri kuwahi kuulizwa tangu mwaka huu uanze , hongera sana mkuu

Ni hivi , ukiwa ccm na ukiwa hapa jf unaambulia sh. elfu 7 kwa wiki , Chadema hatulipwi bali tunatoa pesa zetu mfukoni ili kuimarisha chama
 
Hawawezi kurejeshewa chochote kwa kuwa wameingia bungeni hilo ni kosa pili walilofanya wangesubiri rufaa wakiwa nje ya bunge.
Kitu pekee ambacho kinaweza kutokea wakishinda rufaa ( japo hilo halipo ) ni kurejeshewa uanachama , si kurejeshewa uongoz
 
Kitu pekee ambacho kinaweza kutokea wakishinda rufaa ( japo hilo halipo ) ni kurejeshewa uanachama , si kurejeshewa uongozi
Hawawezi kurejeshewa uwanachama kwani wameingia bungeni hivyo wamerehisishia Baraza Kuu kufanya maamuzi kwani nia yao ni Ovu ni ubunge tuu wala siyo kutumikia wananchi, maslahi yao binafsi. Baraza litawafukuza mapemaaaa
 
Wakishinda rufaa itakuwaje? Mnaingia na matokeo ya rufaa mfukoni. Hawa wamama ni vichwa wa cdm nauona mpango wa mbowe kuiua cdm ukikamilika
Kwani hiyo rufaa itasikilizwa na ndungai? Hao covid 19 wameshaunga juhudi ndiyo maana Bikidude amefutiwa mashtaka ya kumtukana mkulu, angekuwa bado Chadema angefungwa jela tu.
 
Back
Top Bottom