CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!


HAMY-D

Njaa hii jamani! Unajitoa fahamu wakati ukweli unaujua.
 
Last edited by a moderator:
Haka kababu kameshalewa bangi zake za kule karatu tukasamehe bure tu kalishasema hata rais hamtambui matokeo yake leo kanapiga saluti ovyo hata kakiona kimvuli tu cha raisi ovyo kabisa slaa
 
Dr Slaa yuko sahihi kabisa labda kwa nyinyi vichwa ngumu ndio ngumu kwenu kumuelewa.Ni kweli Tendwa anaweza kuifuta CHADEMA tena kirahisi tu lakini ofisi yake na taasisi nzima kwa ujumla haiwezi kuifuta CHADEMA kwasababu ni ngumu kweli kufanya hivyo.Tendwa kapoteza sifa ya kuitwa Msajili na mlezi wa Vyama vya Siasa sasa anajulikana kama mnazi na mtetezi wa CCM.
t
hawakumtambua kikwete, wakanywa nae juice ikulu.
 
May be watu tumatofautiana uelewa, na maadam hili ni jukwaa la ki great thinkers tunatarajia maelezo jadidu unawezaje kutomtambua Tendwa kama Msajili lakini ukaitambua "taasisi" ya msajili inayoongozwa na Tendwa ambaye kisheria ndio amekuwa invested to run the office?
Huko kutomtambua effect yake ni ipi hasa,maana unaweza kusema tu hatumtambui halafu basi, just for fun

Nadhani tuwekeni masihara kando na tupeane ufafanuzi kwenye hili kama watu wenye hekma
hujawahi kuona hakimu/jaji anakataliwa na mtuhumiwa...je unajua paka sasa Tendwa yupo hapo kwa kigezo gani?
 
Spinning kama kawa!

hata wakati baba wa taifa (rip) alivokuwa anapigania huu uhuru wakati ule dhidi ya wakoloni...kulikuwa na watu lukuki waliokuwa wanambeza hivi hivi.

historia inaonekana kujirudia kwenye hatua hii ya kutafuta uhuru mwingine, apparently!!
 
Tumemzoea Slaa mbwatukaji
huyo, alisema hamtambui
rais Kikwete, lakin sasa hivi
kila siku malalamiko yake
yanakwenda kwa huyo Rais
alosema hamtambui. Mwisho
atasema hata yy mwenyewe
hajitambui kama mwenyekiti,
hahahaha siasa bhana!!!!
 
.... Laana ya Mungu katika kuwasaliti Watanzania wenzio na kuwatetea mafisadi inakutafuna taratibu wewe.

Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!
 
hata wakati baba wa taifa (rip) alivokuwa anapigania huu uhuru wakati ule dhidi ya wakoloni...kulikuwa na watu lukuki waliokuwa wanambeza hivi hivi.

historia inaonekana kujirudia kwenye hatua hii ya kutafuta uhuru mwingine, apparently!!

Uhuru wa Tanzania haukupiganiwa, nani aliokudanganya?
 
Msajiri alopoki,anafanya kazi kulingana na sheria na procedures zilizopo, haina haja ya tendwa kupiga mkwara jukwaani, kama kweli chadema kinaenda kinyume na procedures au Sheria atumie sheria zilizopo kukiadhibu chadema ,Siyo kuropoka majukwaani. Inaonekana Tendwa yupo kipropaganda za ccm. kama kweli yupo kwa maslai ya wananchi ,basi atumie procedures na sheria zilizopo kuiadhibu Chadema. Siyo kulopoka lopoka tu. DR. Slaa yupo sawa, big up

Nashukuru kwa maelezo yako
Sasa rudi na ujibu swali la msingi
 
"Kuanzia sasa chadema itaacha siasa za uanaharakati" - Mbowe...

Utekelezaji SIFURI...
 
Haka kababu kameshalewa bangi zake za kule karatu tukasamehe bure tu kalishasema hata rais hamtambui matokeo yake leo kanapiga saluti ovyo hata kakiona kimvuli tu cha raisi ovyo kabisa slaa

Acha kuwewesekama mama....sheria za nchi hii ni za ajabu pengine kuliko ndunia nzima raisi akisha tangazwa huruhusiwi kuhoji hata kama alie tangazwa ni **
 
"Kuanzia sasa chadema itaacha siasa za uanaharakati" - Mbowe...

Utekelezaji SIFURI...
Na wewe jitu zima bado unakaa kwa dada yako angalia utaolewa....siku dada yako akimzingua shemeji yako utaombwa wewe...
 
Mimi binafsi nilimfuta kitambo sana maana muda wake wa kuitumikia ofisi ya msajili wa vyama vya siasa uliisha lakini aliongezewa muda kihuni tu wakati vijana wengi wenye uwezo wanasota bila ajira mtaani.
 
Back
Top Bottom