CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

hawa ndiyo wapinzani wa ukweli siyo unalemba maneno kama una ubia na ccm big up kamanda wetu Dr slaa wa ukweli
 
unakubaliana na mimi slaa ni mvuta bangi? Kwa kuwa raisi alishatangazwa na akamkana

nilisema jiwe hili lime rushwa kwa Tendwa lakini lazima sisiemu wapige kelele. Na bado
 
wewe huna ruhusa ya kuhoji mambo ya chadema kwa kuwa wewe si mwanachama lakini mtanzania yoyote anayo haki ya kuhoji utendaji wa -------- wenu Tendwa....

hahaha huwa hamna majibu kwa suala hili.cc ritz
 
hawa ndiyo wapinzani wa ukweli siyo unalemba maneno kama una ubia na ccm big up kamanda wetu Dr slaa wa ukweli

Kweli kabisa ni bora kuwa mkweli.

Ili jiwe limerushwa kwa Tendwa lakini lazima sisiemu watapiga kelele
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

......slaa alianza kutomtambua yesu akaacha upadri, akaacha kumtambua mke akatelekeza familia, akaacha kuitambua ccm akahamia chadema, leo tendwa, ilikuwa kikwete hawamtambua kama raisi....WHat NeXt??.....Le dokteriii slaa atatangaza kutojitambua mwenyewee. inasemekana ni dalili za kutumia vi..ro..ba kwa muda mrefu.
 
Acha kuwewesekama mama....sheria za nchi hii ni za ajabu pengine kuliko ndunia nzima raisi akisha tangazwa huruhusiwi kuhoji hata kama alie tangazwa ni **

kuhojiwa slaa amehojiwa kwa kujikopesha pesa za ruzuku.
 
TUACHE KUFANYA KAZI ZA KINA Nape Nnauye- DEO F. NJOMBE.

HII MASSAGE NAHITUMA KWA TENDWA AJITAFAKARI NA ATWAMBIE TOFAUTI YAKE NA NAPE NNAUYE KWA MATENDO.

Tendwa amekuwa muenezi wa chama cha mapinduzi anapo ona chama kimekabwa koo yeye uingilia kati na kukinusuru na yeyen usema anapo ona chama kimeshikwa pabaya
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

Pevuka kiakili.muda wake wa kukalia ofisi ulishaisha.anaishi kinyemela kwa kudra za magamba tu hapo ofisini.safi dr slaa.
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

jamii forum imegeuka kuwa kijiwe cha kila aina ya zuzu sasa hata ewe kiswahili tu shida! DR SLAA unamshangaa!,? badala ya kujishangaa weye!
 
Back
Top Bottom