Danstar Mulla
Member
- May 31, 2013
- 12
- 0
When you think about the right,think also left. Laws are there,some are good and others are bad.
hujawahi kuona hakimu/jaji anakataliwa na mtuhumiwa...je unajua paka sasa Tendwa yupo hapo kwa kigezo gani?
Uhuru wa Tanzania haukupiganiwa, nani aliokudanganya?
Na wewe jitu zima bado unakaa kwa dada yako angalia utaolewa....siku dada yako akimzingua shemeji yako utaombwa wewe...
wewe huna ruhusa ya kuhoji mambo ya chadema kwa kuwa wewe si mwanachama lakini mtanzania yoyote anayo haki ya kuhoji utendaji wa -------- wenu Tendwa....
unakubaliana na mimi slaa ni mvuta bangi? Kwa kuwa raisi alishatangazwa na akamkanaAcha kuwewesekama mama....sheria za nchi hii ni za ajabu pengine kuliko ndunia nzima raisi akisha tangazwa huruhusiwi kuhoji hata kama alie tangazwa ni **
Sasa unachobisha nini -------- Tendwa kapewa kazi ya uenezi na propaganda wa CCM unataka tuendelee kumtabua wakati tayari kapewa kazi ya kujenga chama kingine...hata hivyo tendwa mkataba wake ulishaisha...Acha kujifanya hamnazo bana, majaji au hakimu wapo wengi tu na sheria inakuruhusu kumkataa kama unaona kunahaja na pia sheria inakataza pia majaji kusimamia kesi fulani kama anainterest nayo nk
Sasa msajili ni mmoja tu unapomkataa unataka upewe wako peke yako?
Think twice
waliamka asubuhi wakakuta bendera ya mwingereza imeshushwa na kupandishwa ya Tanganyika...
Tatizo nyie wanaMagamba hamna hoja sanasana ni viroja
unakubaliana na mimi slaa ni mvuta bangi? Kwa kuwa raisi alishatangazwa na akamkana
tumesema hatumtambui huyo -------- wenu kama msajiri wa vyama vya siasa...pasukeni.Just read my signature
It seems like kumuita mtu magamba is the best answer for you
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya yeye hajakifuta chama hicho.
Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Willbroad Slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya msajili John Tendwa ya kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na si John Tendwa.
Amezungumza hayo hii leo jijini Dsm wakati wa uzinduzi wa kongamano la kimataifa la vijana kuhusu demokrasia.
Source: Mimi mwenyewe!
For more info: Tazama HotMix ya EATV!
Kupandisha bendera ndio kupigana? Unanchekesha!
Me nadhani siyo jambo la kushangaza kwa chadema kutomtambua Tendwa coz walikua hawamtambui Rais wa nchi sembuse msajili wa vyama haaa ahaaa hiki chama kichomi wazee wa matamko
Hujui hata unachokiandika....Tumemzoea Slaa mbwatukaji
huyo, alisema hamtambui
rais Kikwete, lakin sasa hivi
kila siku malalamiko yake
yanakwenda kwa huyo Rais
alosema hamtambui. Mwisho
atasema hata yy mwenyewe
hajitambui kama mwenyekiti,
hahahaha siasa bhana!!!!
Ndo kati ya wale aliowasema Tundu LissuNijuavyo ni kweli eti ni jaji labda itakuwa ujaji wa chupi....