CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya yeye hajakifuta chama hicho.

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Willbroad Slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya msajili John Tendwa ya kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na si John Tendwa.

Amezungumza hayo hii leo jijini Dsm wakati wa uzinduzi wa kongamano la kimataifa la vijana kuhusu demokrasia.

Source: Mimi mwenyewe!

For more info: Tazama HotMix ya EATV!

hahahaaaaaa kweli bata mkubwa haogopi mvua.
 
Baba kama kawaida tutakuwepo pamoja kumsikiliza Dr. Slaa akitema cheche.
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

HAMY-D,hivi we ufahamu wako ukoje na elimu yako ni la ngapi maana bila shaka huna hata kidato kwa sababu kila mchango unaoutoa unaboa hata kama una haki kisheria na kikatiba.Mi nakupa changamoto kidogo hapa: humu jf mtazamo wako unashabihiana na wadau wangapi? ni pesa kiasi gani unalipwa hadi upingane na ukweli unaotolewa na almost 90% ya wachangiaji? mkataa wengi ni mchawi,je wewe ni mchawi?
 
Hata unaposema rais ni taasisi, ila wewe unamuitaje Kikwete?

Kwa upeo wako hufai hata kuwa mwanafunzi wangu.

Kama wewe ni mwalimu wala sishangai kwa aina ya matokeo ya mitihani wanayofanya wanafunzi siku hizi. Ongezeko la failures ni dalili za wazi za kuwa na waalimu vihiyo kama wewe.
 
kumbe chadema inaweza kumfuta msajiri wa vyama. hiv slaa anaakili timam kweli mpeleken milembe mapema kabla hajaanza kuokota makopo
 
wewe ndiye hujitambui unalipwa kueneza upuuzu tu humpati mtu lumumba ni kambi ya mataahira kama wewe,mwigulu,nepi na wenzenu.NCHI HAITAONGOZWA KWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII,WAFUATENI WANANCHI MUWAELEZE MNAVYOIUZA NCHI.
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

1. Jifunze kiswahili
2. Msajili wa vyama sio Tendwa ni nafasi. Mtu yeyote anaweza shika nafasi hiyo.
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

hahahaha nilijua kuwa lazima ulalamike. kwani we ujui kama Tendwa ni msajili wa ccm na ni katibu mwenezi? Tendwa ana hukumiwa kwa matendo yake.
 
Ukisikia msemo "wajinga ndio waliwao" ndugu zangu ndio kama hivi. Sasa huyu Dr ana maana gani kusema anakitambua chombo wala atambui mwendesha chombo. Huyu is he taking people for fools.

Nasikitishwa na hao wanojiungia mkono bila ua kufikiria, inaonyesha uuduni wao wa kuweza kufikiri na kutofautisha mambo. CDM wanahaki kupinga maamuzi ya Tendwa, pia wanahaki kuyafikisha mahakamani. lakini kukina chombo cha huduma kwenye siasa , ni kama anotoa kamba ya kukinyonga chama chake. Dr imuikuta Chadema ikiwa ipo na active, na utaiwacha, Tafadhali usiwaharibie watu chama chao. wewe umeshaharibu vingi mpaka Vatican.

Dr Slaa yuko sahihi kabisa labda kwa nyinyi vichwa ngumu ndio ngumu kwenu kumuelewa.Ni kweli Tendwa anaweza kuifuta CHADEMA tena kirahisi tu lakini ofisi yake na taasisi nzima kwa ujumla haiwezi kuifuta CHADEMA kwasababu ni ngumu kweli kufanya hivyo.Tendwa kapoteza sifa ya kuitwa Msajili na mlezi wa Vyama vya Siasa sasa anajulikana kama mnazi na mtetezi wa CCM.
 
Mzee Tendwa ni mteule wa rais(kama James Mbatia) kwa nyakati tofauti wanafanya kazi anazowaamuru bosi wao.Wakihoji, watoto hawataenda chooni na mamsap zao watawakimbia hivyo hawawezi kuwa na uhuru wa mawazo,fikra na mtazamo sawa na HAMY-D wa jf asipokinzana na hoja za great thinkers na/au kuanzisha choking thread kama anavyoamuriwa na kina shonza na hawaraye mwigullu mjini hapatakalika,hivyo ndivyo mambo yalivyo,yataka moyo kuendelea kuvumiliana nao.
 
Kwanza chadema wamechelewa sana, Tendwa si msajili wa vyama vya siasa Tendwa ni Katibu mwenezi wa ccm. na hili swala litamuumiza sana Tendwa na bila shaka wana ccm wenzie wataingilia kati kumnusulu na kuanza kumtetea. bora kutambua ofisi kuliko kumtambua Tendwa
 
kwani chadema wasipomtambua tendwa wanampunguzia nini waajabu sana hawa.
 
Back
Top Bottom