CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

CHADEMA yatangaza kutomtambua John Tendwa

Nilishawahi kusema kwenye arusi ya dadangu na narudia kusema ili kila mtu asikie: ''Slaa anaugua ugonjwa wa akili uliotokana na kuacha kwake kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya duniani''
 
Nilishawahi kusema kwenye arusi ya dadangu na narudia kusema ili kila mtu asikie: ''Slaa anaugua ugonjwa wa akili uliotokana na kuacha kwake kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya duniani''

urudishwe mirembe ,bado hujapona
 
chama cha kijoto,viongozi WA kijoto.Kwa vipindi tofauti mmekuwa ma kauli za kutowatambua baadhi ya viongozi haswa WA kiserikali alafu baada ya kipindi Fulani mnaonekana mkigonga glas za mvinyo gases,sass kwa maneno yako haya iko siku tutakukumbusheni,na je!Mbowe ili analitambua isije ikawa kama ya hafla ya OBAMA pale ikulu
 
mzee tendwa kagoma kuachia vijana ofisi pamoja na kuwa umri wa kukaa ofisi za umma ushamtupa mkono.
 
Msimamo mzuri. Hoja zimesimama.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nilishawahi kusema kwenye arusi ya dadangu na narudia kusema ili kila mtu asikie: ''Slaa anaugua ugonjwa wa akili uliotokana na kuacha kwake kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya duniani''
hayo maneno kawalishe hao hao waliohudhuria harusi ya dadako. ndo maana umetia nuksi ndoa ya dadako keshaa achika.
 
Unajua vizuri unachokiongea au umeamua kufurahisha jamvi?


Nilishawahi kusema kwenye arusi ya dadangu na narudia kusema ili kila mtu asikie: ''Slaa anaugua ugonjwa wa akili uliotokana na kuacha kwake kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya duniani''



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi ni kwamba Dr Slaa ajitambui? au ni hurka tu ndio zinamfanya afanye hayo maamuzi?

Kwa hali tu ya kawaida, huwezi kusema unaitambua ofisi pasipo kumtambua mwenye mamlaka na ofisi husika.

Mbona sheria ipo wazi na imesema kutakuwapo na msajili wa vyama vya siasa, na hili liko wazi kwa sasa ni jaji Tendwa.

Dr Slaa usinifanye niamini kuwa ni ubabu ndio unakupereka puta!

wewe impontent unataka kumaanisha kwamba ofisi ya tendwa ni taasisi binafsi?
na kama ni ya umma kwanini dr. asiitambue?
na je tendwa aking'olewa bado itaitwa ofisi ya tendwa? kuwa na reasoning wewe.
na kwanini watu wasichallenge madudu yenu kwenye ofisi ya waTZ?
 
MSAJILI wa vyama vya Siasa, John
Tendwa, hana uwezo wa kuvifuta
vikundi vya ulinzi na usalama
vilivyoanzishwa na vyama hivyo, kwa
sababu aliruhusu vianzishwe.
MTANZANIA Jumatano linaripoti.
Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa,
Sisty Nyahoza, ameliambia gazeti
hili mwishoni mwa wiki katika
mahojiano maalumu yaliyofanyika
ofisini kwake Dar es Salaam, kuwa
sheria ya sasa kuanzishwa kwa
vyama vya siasa haimpi mamlaka
Msajili wa vyama vya siasa kuvifuta
vikundi hivyo.
Alisema, ingawa Msajili wa vyama
vya siasa, Tendwa, amekuwa akitoa
tishio la kuvifuta vyama vya siasa
hasa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), ambacho
kimetangaza kusudio la kuanza
kutoa mafunzo ya ukakamavu kwa
kikundi chake cha ulinzi na
usalama cha Red Brigade, amekuwa
akipata kigugumizi cha kutekeleza
adhabu hiyo kutokana na kubanwa
na sheria.
Nyahoza alisema ofisi yake baada ya
kubaini hilo, imeanzisha mchakato
wa kuifanyia marekebisho sheria
hiyo ili iwe na adhabu zinazoweza
kutekelezwa kwa urahisi kwa vyama
vinavyokiuka misingi ya kuanzishwa
kwake bila kuathiri wananchi.
“Adhabu iliyopo katika sheria hii ni
kwamba, iwapo chama kikiendelea
kutoa mafunzo ya ukakamavu kwa
vikundi hivi vya ulinzi ni kukifuta
chama, adhabu ambayo ni kubwa
na ipo tu ndiyo maana utekelezaji
unakua hafifu.
“Ni sawa na kusema nchi ingekuwa
na adhabu moja tu ya kifo kwa kila
kosa, ina maana watu wengi sana
wangeuawa, ndiyo maana tumekuwa
tukiishia kubishana na vyama kwa
sababu hakuna adhabu mbadala,”
alisema Nyahoza.
Alipoulizwa iwapo Ofisi ya Msajili
iliruhusu uanzishwaji wa vikundi
hivyo, alikiri jambo hilo, hata hivyo
alieleza kuwa ruhusa hiyo
iliambatana na katazo la kutoa
mafunzo ya ukakamavu.
Alisema suala la ulinzi ni suala
muhimu sawa na kutoa ulinzi
binafsi kwa mtu au kwenye taasisi
nyingine, lakini kwa upande wa
vyama ulinzi wake unakuwa wa
kipekee kwa sababu vyama ni
taasisi kubwa inayojumuisha idadi
kubwa ya watu.
“Ibara ya 20 ya Katiba kifungu cha
tisa cha vyama vya siasa, tunaona
kuwa vyama ni taasisi, kutokana na
unyeti wake vimekuwa na chombo
maalumu kama hivyo vikundi.
Alipoulizwa kuhusu malalamiko
yanayoelekezwa kwenye kikundi cha
Green Guard cha CCM, kupewa
mafunzo ya kijeshi na wahitimu
kutunukiwa vyeti alisema Tanzania
ni nchi kubwa hivyo Msajili hawezi
kufuatilia kila tukio.
 
Back
Top Bottom