CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

Wana kibaki Cha kuzifunga kwa wamiliki wa nguzo na miti? Kwani nguzo na barabarani wanamoweka Ni Mali yao?
Barabara ni.mali ya Tanroads na Tarura wamepata kibali?
 
Bwashe wakizishusha wewe hapo unapungukiwa na nini.!

maana DED anashusha 3 wananchi wanapandisha 200 hewani na Lumumba mnapata tena kazi ya kuzshusha..

win win situation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Mwanza yote imepambwa kwa rangi ya SENENE na manjano?kwani wananchi wote wa Mwanza wanazipenda Rangi za Senene?atatue mambo ya mafuliko asitutoe kwenye msitali.
 
Wana kibaki Cha kuzifunga kwa wamiliki wa nguzo na miti? Kwani nguzo na barabarani wanamoweka Ni Mali yao?
Barabara ni.mali ya Tanroads na Tarura wamepata kibali?
Hahahaaa....... Mpendwa siasa zisitupofushe macho kama wala rushwa!
 
Umesahau kibonzo cha Kipanya?
Bendera zina madhara gan? Hawa wateule wanamuaibisha Rais.
Screenshot_20191122-215849.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom