SIMU YA TOCHI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,385
- 894
Lizaboni unaona huku wenzio wanavyoshughulikiwa,hii ni indiketa mbaya sana kwa mwenyekiti wako wa msimu
Msamehe bure huyu kakurupushwaMajizi wewe na wazazi wako waliokuzaa
kwa hiyo wewe huoni kwamba CCM kushindwa huu uchaguzi mdogo ni dalili mbaya? kati ya wewe na ntoa mada nani anawajaza watu matumaini?
Kama wale wabunge wa kijani wanavyokaririshwa asubuhiSi unajua hawa hawana kitu vichwani mwao,wakifika Lumumba asubuhi kila mtu anaanza kukaririshwa maneno yake ya kuongea so huyu ndio kapewa hayo maneno ayatoe kila thread.
Kwa taarifa yako pamoja na kujitoa kwako ufahamu, CCM ilikuwa ikiwekeza sana katika vijiji kutokana na ujinga na njaa za masikini wa sehemu hizo za vjijini, sasa kwa kuwa hadi watu wa vijijini wameshtuka jua hamna chenu, ni za uso tu hasa za puani.Kwani hilo jimbo Lowasa alipata kura ngapi na CCM walipata kura ngapi?
Mimi huwa sishangazwa na hayo matokeo ya chadema kushinda kwenye baadhi ya vijiji na wala si jambo la ajabu.
Msema ukweli huwa ni uchaguzi pekee.. Hata kabla ya 2015 chadema walikuwa wana shinda shinda vijiji lakini mlijionea wenyewe kwenye uchaguzi mkuu..
Pigeni kelele lakini uchaguzi mkuu 2020 ikifika mtajionea wenyewe....
Unajitoa ufahamu mbona kaandika udiwani kiongoziUshindi wa uchaguzi upi sasa mjumbe wa nyumba kumi au balozi??
Ama umeongea kwa upole hivi niwewe ruta kweliKwani hilo jimbo Lowasa alipata kura ngapi na CCM walipata kura ngapi?
Mimi huwa sishangazwa na hayo matokeo ya chadema kushinda kwenye baadhi ya vijiji na wala si jambo la ajabu.
Msema ukweli huwa ni uchaguzi pekee.. Hata kabla ya 2015 chadema walikuwa wana shinda shinda vijiji lakini mlijionea wenyewe kwenye uchaguzi mkuu..
Pigeni kelele lakini uchaguzi mkuu 2020 ikifika mtajionea wenyewe....
Je umeukubali ushindi wa cdm mkuuDah... Mie shida Yangu ilikuwa kwa mwenyekiti tu wa taifa ili kupunguza figisu ili tuchape kazi![]()
![]()
![]()