CHADEMA yang'ara Morogoro

CHADEMA yang'ara Morogoro

Katika kuthibitisha ule usemi wa kwamba hata akija malaika kugombea CCM atakuwa mwizi ama jambazi, na takataliwa na wananchi tu

Leo hii imethibika katika kata ya Doma wilaya ya Kilosa baada ya uchaguzi mdogo kufanyika kufuatia kufariki kwa diwani wa kata hiyo alietokea CCM kufariki dunia, na hatimaye mgombea kutoka UKAWA/CHADEMA Kuibuka mshindi kwa kupata kura 515 dhidi ya mgombea wa CCM alieangikia pua kwa kupata kura 312.

CCM wanaanza kuisoma namba wenyewe.

cc ; Mwenyekiti wa CCM - Taifa.
Hahahaaa pamoja na kusajili ng'ombe wenye mikia mifupi bado wamepigwa? daah ...mayooooo
 
CCM ni matuc tu hawana jipya watu wamechoka mtaani...Hapa kazi tu ni matusi
 
Mhh type source ya habari..msije mkawa ndio mmeanza UKUTA wenu. Uchaguzi katikati ya wiki??
 
Mwenyekiti angekuwa Pro Safari
Makamu Prof Mukandara
Katibu Mkuu Mnyika
Naibu Katibu Heche

Then Zitto Kabwe tungemuandaa kugombea 2020

Kwa madudu haya ya Magufuli basi 2020 tungeenda Ikulu hata kama wasimamizi wangekuwa wana CCM tungewanyuka tu hawa CCM!Lkn kwa utawala huu wa Mbowe na mwenzake Dr Mashinji hata TUME HURU hatuisumbui CCM 2020
Yanga anapanga safu ya ushindi ya Simba.
 
Yanga anapanga safu ya ushindi ya Simba.
Mm ni CHADEMA ASILI
Tulipigwa mabomu Arusha kutetea chama hiki,chama kilichokuwa kinapinga mafisadi kwa nguvu zake zote
LKN sasa hatuna tena nguvu ya kukemea ufisadi
 
Back
Top Bottom