CHADEMA yang'ara Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yang'ara Morogoro

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanahabari Huru, Jul 24, 2016.

 1. Mwanahabari Huru

  Mwanahabari Huru JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2016
  Joined: Mar 9, 2015
  Messages: 10,415
  Likes Received: 12,139
  Trophy Points: 280
  CHADEMA YANG'ARA MOROGORO:

  Yaichapa ccm kwenye uchaguzi Mdogo wa kijiji cha Domo

  MATOKEO YA UCHAGUZI HUO YALIKUWA KAMA IFUATAVYOA;

  DOMA STOO....CDM 86 CCM 24
  MTAKE NINI...CDM 23 CCM 35
  NGWAMBE ....CDM 76 CCM 20
  SHULE DOMA CDM 141 CCM 37
  DOMA KILOSA CDM 154 CCM 40
  DOMA STENDI CDM 146 CCM 135
  JUMLA CDM 515 CCM 312

  CHADEMA IMESHINDA TAYARI....

  MATOKEO HAYO YANATOA TASWIRA YA LONGIDO KWANI KOTE CHADEMA ILISHINDA CCM WAKAFUNGUA KESI NA UCHAGUZI KURUDIWA, IMEPIGWATENA.
   
 2. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2016
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 22,242
  Likes Received: 27,373
  Trophy Points: 280
  Wao wanafikiri ukali wa Magufuli na kutumbua majipu ndio kutawabeba!wasilolijua ni kuwa,utawala wa awamu hii unagusa kila mwananchi awe fisadi,asiwe fisadi,awe mwema,asiwe mwema,n.k na matokeo yake wote wanaungana kuikataa CCM.

  Too much of everything is harmful.

  Na huu ni mwanzo tu.
   
 3. John Cannor

  John Cannor JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2016
  Joined: Jun 6, 2016
  Messages: 1,302
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Pamoja na tambo zoote za chama kijani na JPM , lakini bado kimeangukia 'PUA'

  Safi sana.
   
 4. I

  IKINGO JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2016
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 1,237
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Hongereni sana MAKAMANDA wa MOROGORO.
   
 5. Mwanahabari Huru

  Mwanahabari Huru JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2016
  Joined: Mar 9, 2015
  Messages: 10,415
  Likes Received: 12,139
  Trophy Points: 280
  Ndio kinazidi kufa mkuu
   
 6. maonomakuu

  maonomakuu JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2016
  Joined: Jul 24, 2015
  Messages: 2,329
  Likes Received: 831
  Trophy Points: 280
  Magufuli asisahau sasa hivi watu wanaelewa kuliko enzi ile ya Nyerere na mkapa
   
 7. MR MAJANGA

  MR MAJANGA JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2016
  Joined: Oct 4, 2014
  Messages: 1,932
  Likes Received: 2,542
  Trophy Points: 280

  Nawashauri ccm watengeneze matukio mengine ili wajilishe upepo kuwa wanapendwa, nilisha waambia ccm kuwa kitu pekee kitakachofanya watz waipende ccm ni kuwapa maisha bora wananchi siyo matamko ya majukwaani na ahadi za uongo na kutengeneza matukio ya kuwadanganya watz kuwa wanapendwa sana
   
 8. M

  Mutakyamirwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2016
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 4,855
  Likes Received: 310
  Trophy Points: 180
  Hongera sana Chadema. Tambo za jana za hawa jamaa ni utupu. Tusonge mbele
   
 9. barafu

  barafu JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2016
  Joined: Apr 28, 2013
  Messages: 5,337
  Likes Received: 17,856
  Trophy Points: 280
  Matokeo ya uchaguzi mdogo wa nafasi ya udiwani kata ya DOMA Kilosa Morogoro baada ya Diwani wa Kata hiyo CCM kufariki dunia Dec mwaka jana.

  DOMA IKO HIVI:
  DOMA STOO....CDM 86 CCM 24
  MTAKE NINI...CDM 23 CCM 35
  NGWAMBE ....CDM 76 CCM 20
  SHULE DOMA CDM 141 CCM 37
  DOMA KILOSA CDM 154 CCM 40
  DOMA STENDI CDM 146 CCM 135
  JUMLA CDM 515 CCM 312

  CHADEMA IMESHINDA TAYARI....Hii inatoa picha kuwa CCM ni Magufuli tu,lakini huku chini watu wa CCM walishapoteza uhalali mtaani!!Hata hizi kelele za ubabe kuuzuia upinzani kufanya siasa,kukwapua uhuru wa bunge kama vibaka wa daraja la Ubungo na roho ngumu ya yule sijui Tulia.. vinazidisha sana hasira
   
 10. PRINCE CROWN

  PRINCE CROWN JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2016
  Joined: Feb 12, 2013
  Messages: 4,404
  Likes Received: 1,439
  Trophy Points: 280
  naanza kuona maajabu ya mwaka 2020 tuombe uzima 2.
   
 11. s

  simanyane JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2016
  Joined: Apr 10, 2015
  Messages: 2,258
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Mbona kuko kimya sana ina maana wale vijana walishaachana jf?
   
 12. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2016
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,565
  Likes Received: 826
  Trophy Points: 280
  c.c. Lumumba buku saba
   
 13. Lupyeee

  Lupyeee JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2016
  Joined: Jun 28, 2016
  Messages: 2,691
  Likes Received: 2,803
  Trophy Points: 280
  Majizi Chadema na nyuzi za kujifurahisha
   
 14. josam

  josam JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2016
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 1,724
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Nice
   
 15. Ndalama

  Ndalama JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2016
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 7,168
  Likes Received: 3,970
  Trophy Points: 280
  Akina Lizaboni? Wapo wanachungulia na kutoka nduki
   
 16. s

  simanyane JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2016
  Joined: Apr 10, 2015
  Messages: 2,258
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Aaaaa mkuu acha ytani ina maana ufisadi uliofanyika ktk nchi hii ni hawa CDM?au ni siasa tu
   
 17. Ndalama

  Ndalama JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2016
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 7,168
  Likes Received: 3,970
  Trophy Points: 280
  Hii ni auto reply? Kila thread wewe maneno yako ni hayahaya
   
 18. antjpm

  antjpm JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2016
  Joined: Jul 13, 2016
  Messages: 674
  Likes Received: 643
  Trophy Points: 180
  Hongereni chadema
   
 19. antjpm

  antjpm JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2016
  Joined: Jul 13, 2016
  Messages: 674
  Likes Received: 643
  Trophy Points: 180
  Mungu ni mwema haya mafisi yasiwatishe chadema mbele kwa mbele
   
 20. jd41

  jd41 JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2016
  Joined: Aug 23, 2015
  Messages: 2,611
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  ....angalau wewe umejitutumua kuleta lipua lako huku,wenzio wote wako chooni sasahivi!, mlidhani mipasho ya jana ingewapa kura leo!
   
Tags:
Loading...