CHADEMA yakubali yaishe! yamtambua Rais, yampongeza Rais


Mimi simtambui, simpongezi huyo JK.
 
Kila mtu na ufahamu wake

Yeye kwa mujibu wa sequence za matokeo na maneno ya Mheshimiwa Mbowe ameona ni sawa na kumtambua tu.
 

Posco ni kilaza?
 
Aombe radhi kwa sababu ya ufahamu wake? If he believes Mbowe amemtambua Rais, ataendelea kuamini hivyo. What's the point ya kuomba radhi kwa ajili ya kuridhisha watu tu.

Au ndo tunataka watu waaanze kuficha kueleza mawazo yao kwa kuwa hayaendi sambamba na kile wengi wanachokiamini?

Pasco omba radhi tafadhali

Regia has explained it beter
 


akaombe kituo cha tv kimuwekee sloo mosheni.
 
Gaijin,
Uelewa wa Pasco hapa majamvini, hasa kwa masuala ya siasa unajulikana, na ametokea kuheshimika SANA KWA KUwa rational sana katika masuala yenye utata!
Ni ajabu leo anakuwa mgumu kukubali kuwa ameenda extreme na kuonyesha biaseness yake, ambayo kwa kipindi kirefu amekuwa akijitahidi isijulikane!
Think about that!
 

yeah,hapo nami ntawakubali bgup
 
Mkuu umemquote Vibaya Mbowe.........nadhani kuna maneno mengi sana ya kwako umeongezea!! Wote tumemskiliza nadhani una tatizo katika ku ripoti mambo......ushauri wa bure tu jaribu kufanyia kazi hilo tatizo kinyume na hapo......utakuwa mpotoshaji mkubwa sana katika hili Jamvi letu la JF.....and people will stop trusting your threads!!! SAWAAAAA????
 
PJ
Ujue pengine na yeye anafikiri exactly kama ufikirivyo wewe.
Kuwa yeye yuko rational kama kawaida, lakini wapenzi wa chama ndio hamutaki kumuelewa.
Yeye alipoona lile extra-big smile la Mbowe kwenye picha na maelezo ya leo, anaamini kuwa weshamtambua.

Tunafikiri kuna wangapi waliofikia conclusion kama ya Pasco kwa hotuba ya Mbowe leo? Tunataka kugeuka mbuni kuwa bora tusiyasikie na tujidanganye kuwa mawazo kama hayo hayapo?

Tunachoweza kufanya ni kujadili ni kwa vipi hizo sequence hazimaanishi kama alivyofahamu Pasco na sio kuja na maneno aina ya 'muongo', 'umetumwa' kama wanavyofanya wengi.


 
Paskali

1)Kwanza picha uliyoweka haihusiani kabisa na tukio la leo bungeni...ni upotoshaji mkubwa....hii picha ni ya siku ya sheria iliyofanyika last week...wewe unataka kuonyesha watu kuwa ndio kajisalimisha rasmi kwa JK...VERY WRONG
2)Soma thread ya Mama Regia Mtema kuhusu nini hasa Mbowe amesema kule bungeni....amemsimu JK kwa kukubali kuleta mabadiliko ya katiba ambao ni uungwana mkubwa sana...na si kuwa amekubali uhalali wa Urais wake....na wengi ndio upotofu walikuwa nao....kuna tofauti ya kumkataa Rais(haliwezekani: Iddi Amini alikuwa Rais kwa miaka saba na hakuupata kihalali lakini hata Mwalimu alikubali kuwa ni Rais wa wakati huo) na kukataa Rais amekuwaje Rais (kwa kuiba kura)

Utashi na maslahi yetu kisiasa kamwe yasitumike kuhadaa ukweli

Nasisitiza!
 
Sasa ile kutoka bungeni siku ya kwanza ilikuwa ni nini?

Kweli chama hichi kiko consistent!

Sio hivyo tu, hakijui kinachofanya na sio makini.




Huwezi kusema eti unamsifu rais ambaye humtambui. Kumsifu tu, chia mbali kupeana nae mkono unakumbali kwa dhati kabisa kwamba unamkubali na kumtambua Rais na Urais.

CHADEMA sio makini.
 



Unajua huko ambako si uraiani inawezekana wana behave kulingana na kikile wanachokusudia kuachived, sasa kwa nini wengine hili linawapa tabu? Wakati mlikuwa mnamuona rational ndicho alichotakiwa kufanya na sasa amefanya alichotakiwa ambacho kwa wengine si, na wengine ni, rational. Ingawa angekua uraiani na yeye si......... mtamalizia.
 
mzee pasco mbona unatupotosha? au una lako jambo? tunangojea kuombwa radhi sisi wana JF hasa washabiki wa jukwaa hili - Dada Regia katufafanulia kwa upana zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…