CHADEMA yakubali yaishe! yamtambua Rais, yampongeza Rais

Watch TBC Live toka Bungeni!
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekubali yaishe, wanamtambua JK kama Rais, Wampongeza Kwa Kukubali Kuandika Katiba Upya!
Mbowe ameomba reconciliation for the sake of Umoja wa Kitaifa.

Big Up kwa Freeman Mbowe, sio siri mimi binafsi nilikuwa simuheshimu sana Mbowe nikimuona kama spoon fed leader.
Kuanzia sasa ni heshima mbele! Huo ndio uanamume, kukubali kushindwa na kukubali yaishe!

Mbowe amewashukuru wapiga kura kwa kura walizoipigia Chadema!.

Hiki Mbowe alichokifanya Bungeni, ndicho Dr. Slaa alichotakiwa kukifanya ile siku ya kutangazwa matokeo!

Nilisema that was a golden missed opportunity. Sasa Mbowe amerekebisha makosa ya Dr. Slaa. Chadema sasa inarudi juu!

Kuna posti niliwahi kuiposti kuwa Chadema hawajajipanga, nilishambuliwa piga ua. Sasa nasema Chadema imeanza kujipanga. Big up!.

Kwanza mlibanaaa... mwisho mmeachia... I'm glad I was damm right!

Chadema sasa tusonge mbele, hata mimi nikirudi uraiani, naweza kufikiria kujiunga Chadema, kuimarisha nguvu!

Asante sana Freeman Mbowe!.

Hapo kwenye red, umetulisha kasa siyo kweli kasema hivyo,

Kwenye pink ndio ilitakiwa iwe heading ya hiyo breaking news yako, vinginevyo acha kupotosha umma. au ndo tuseme ndio ajenda yenu mwaka huu? full kugeuzageuza statements.
 
Mh. Mbowe amesema anawashukuru wapiga kura wote walioipigia kura CHADEMA na kuwapa kura nyingi ingawa kura nyingine hazijulikani zilipo
 
Watch TBC Live toka Bungeni!
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekubali yaishe, wanamtambua JK kama Rais, Wanampongeza!
Mbowe ameomba reconciliation for the sake of Umoja wa Kitaifa.

Big Up kwa Freeman Mbowe, sio siri mimi binafsi nilikuwa simuheshimu sana Mbowe nikimuona kama spoon fed leader.
Kuanzia sasa ni heshima mbele! Huo ndio uanamume, kukubali kushindwa na kukubali yaishe!

Mbowe amewashukuru wapiga kura kwa kura walizoipigia Chadema!.

Hiki Mbowe alichokifanya Bungeni, ndicho Dr. Slaa alichotakiwa kukifanya ile siku ya kutangazwa matokeo!

Nilisema that was a golden missed opportunity. Sasa Mbowe amerekebisha makosa ya Dr. Slaa. Chadema sasa inarudi juu!

Kuna posti niliwahi kuiposti kuwa Chadema hawajajipanga, nilishambuliwa piga ua. Sasa nasema Chadema imeanza kujipanga. Big up!.

Kwanza mlibanaaa... mwisho mmeachia... I'm glad I was damm right!

Chadema sasa tusonge mbele, hata mimi nikirudi uraiani, naweza kufikiria kujiunga Chadema, kuimarisha nguvu!

Asante sana Freeman Mbowe!.

acha ushabiki wa kishamba.au masikio yako yanamatege?kaa chini usikilize upya ndio utoe mada sio unarukaruka na kupotosha watu
 
Pasco ni MWONGO,mimi hapa naangalia Star tv live,alichosema mh.Mbowe ni kumpongeza Rais kwa kukubali kuanza mchakato wa katiba mpya japo haikuwa kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM.

Mh.Mbowe amewataka wabunge wa CCM
na vyama vingine kuondoa hofu kwa CHADEMA,
waache kuona wapinzani au vyama vingine ni adui na washirikiane kwa kuwa wote wana lengo la kuikomboa Tanzania.

Mh.Mbowe amewataka serikali kuitumia Ilani ya
uchaguzi ya CDM na kuyachukua yale mazuri na
CHADEMA wako tayari kutoa consultation kwa
serikali.
 
Watch TBC Live toka Bungeni!
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekubali yaishe, wanamtambua JK kama Rais, Wanampongeza!
Mbowe ameomba reconciliation for the sake of Umoja wa Kitaifa.

Big Up kwa Freeman Mbowe, sio siri mimi binafsi nilikuwa simuheshimu sana Mbowe nikimuona kama spoon fed leader.
Kuanzia sasa ni heshima mbele! Huo ndio uanamume, kukubali kushindwa na kukubali yaishe!

Mbowe amewashukuru wapiga kura kwa kura walizoipigia Chadema!.

Hiki Mbowe alichokifanya Bungeni, ndicho Dr. Slaa alichotakiwa kukifanya ile siku ya kutangazwa matokeo!

Nilisema that was a golden missed opportunity. Sasa Mbowe amerekebisha makosa ya Dr. Slaa. Chadema sasa inarudi juu!

Kuna posti niliwahi kuiposti kuwa Chadema hawajajipanga, nilishambuliwa piga ua. Sasa nasema Chadema imeanza kujipanga. Big up!.

Kwanza mlibanaaa... mwisho mmeachia... I'm glad I was damm right!

Chadema sasa tusonge mbele, hata mimi nikirudi uraiani, naweza kufikiria kujiunga Chadema, kuimarisha nguvu!

Asante sana Freeman Mbowe!.

Mkuu, nimemsikiliza lakini nadhani labda masikio yangu mabovu kwa sababu sikumsikia akiongea hayo uliyoandika kuhusu JK
 
Pasco acha uongo usitufanye wote wajinga hajasema kitu kama hicho nimefuatilia kipindi chote alichosema ni kuwa anampongeza Kikwete kwa kukubali kuandikwa kwa katiba mpya, hajasema neno kumtambua Kikwete sehemu yeyote ile ulichoandika ni tafsiri yako ili ujiridhishe hukatazwi na mtu.
 
Mode: Samahani nilihamanika nikakosea.
Naomba nirekebishie heading ya thread hii isomeke
ile news alert iondoke ibaki breaking news!. Chadema yakubali yaishe, Wanamtambua JK!, Wampongeza!.

Ama kwa hakika... mzee naona kweli hilo la CHADEMA lilikuwa linakukosesha raha....
 
Wengine tuko maofisini bana hatuwezi kufuatilia bunge sasa hivi? nyie ndo mnaorudisha nyuma maendeleo ya Taifa hili badala ya kuchapa kazi unafatlia bunge sas hivi. Uko halmashauri gani mkubwa?
mKUU,
Si wote tunafanya kazi moja, wengine hii ndiyo kazi yetu parse, NA TUNALIPWA KWA HAYA MAMBO...KAA UKIJUA.
Hivyo ni bora ukafuta maneno yako!
 
By the way alianza kwa kuwapongeza spika,waziri mkuu ila hakumpongeza rais kwa kuchaguliwa,then akampongeza rais kwa kukubali mchakato wa kuandikwa katiba,Sasa kumkubali au kutomkubali Rais naona labda TV yangu iliruka hiyo sehemu.
 
Pasco hili tusifanye kosa la misqoutations labda ungeweka qoute word by word..., kama unavyojua issue za lost in translation.

Au alisema Sisi Chadema tunakubali yaishe, tunamtambua na kumpongeza Raisi.., je alisema hivyo?
 
Watch TBC Live toka Bungeni!
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekubali yaishe, wanamtambua JK kama Rais, Wanampongeza!
Mbowe ameomba reconciliation for the sake of Umoja wa Kitaifa.

Big Up kwa Freeman Mbowe, sio siri mimi binafsi nilikuwa simuheshimu sana Mbowe nikimuona kama spoon fed leader.
Kuanzia sasa ni heshima mbele! Huo ndio uanamume, kukubali kushindwa na kukubali yaishe!

Mbowe amewashukuru wapiga kura kwa kura walizoipigia Chadema!.

Hiki Mbowe alichokifanya Bungeni, ndicho Dr. Slaa alichotakiwa kukifanya ile siku ya kutangazwa matokeo!

Nilisema that was a golden missed opportunity. Sasa Mbowe amerekebisha makosa ya Dr. Slaa. Chadema sasa inarudi juu!

Kuna posti niliwahi kuiposti kuwa Chadema hawajajipanga, nilishambuliwa piga ua. Sasa nasema Chadema imeanza kujipanga. Big up!.

Kwanza mlibanaaa... mwisho mmeachia... I'm glad I was damm right!

Chadema sasa tusonge mbele, hata mimi nikirudi uraiani, naweza kufikiria kujiunga Chadema, kuimarisha nguvu!

Asante sana Freeman Mbowe!.

Chadema ilikuwa inamkataa kikwete kwa sababu mbinu alizotumia kuingia ikulu zilikuwa haramu. Nadhani unachopaswa kuongelea hapo ni jinsi chadema walivyokuwa wakomavu.

Wewe unaelewa kabisa matamko yoyote ya chadema yanavyoweza kuwa na impact kwa jamii, hivyo chadema wamefanya hivyo (kama kweli mbowe ameongea kama unavyodai, maana wengine hatuangalii hicho kipindi kwa sasa) kama mbinu ya kupunguza hasira ya wananchi na hivyo kupunguza uwezekano wa maafa. Kwa hilo ulipaswa kuipongeza chadema badala ya kuleta mipasho yako hapa jamvini.

Unapaswa utambue kuwa Mbowe ni mwenyekiti wa chama hivyo tamko lake ni tamko la chama, kwa maana hiyo kama ameongea yeye kuna ulazima gani wa Slaa naye kuongea. Unapaswa utambue protokali za uongozi.

Yote kwa yote: SIAMINI KAMA MBOWE ANAWEZA KUONGEA KAMA UNAVYODAI, INAWEZEKANA KABISA WEWE NDIYE MWENYE MATATIZO YA KUELEWA AU UMEJIELEWESHA HIVYO KWA SABABU ZAKO BINAFSI.
 
I am so proud of various contributions here on an issue presented in a skewed manner. BIG UP everyone for aligning the truth about the purported information
 
Mpaka sasa naona nachanganywa tu.......mnaoangalia hiyo hotuba tupeni taarifa zilizo za kweli, je CHADEMA wamekubali yaishe au???
 
Huu ndo ushindani tunaousema, asiye kubali kushindwa si mshindani, at least tusonge mbele now, nahisi hata vijembe bungeni sasa vitakoma na bunge litaheshimika now.
 
Heshima kwako Pasco,

Mkuu wewe ni miongoni mwa wanajamvi wachache sana ambao hawana chembe chembe za ushabiki wa vyama nachukulia bandiko liko sahihi mpaka utakapo kanusha mwenyewe au baada ya mimi kuona/kusikia kupitia vyomba vya habari makini kama ITV,Star TV,Channel ten Magazeti ya Mwananchi,Nipashe na Raia Mwema si vyombo vya habari vya udaku kama TBC1,Uhuru,Tanzania Daima,Mtanzania,Rai.
 
Pasco hili tusifanye kosa la misqoutations labda ungeweka qoute word by word..., kama unavyojua issue za lost in translation.

Au alisema Sisi Chadema tunakubali yaishe, tunamtambua na kumpongeza Raisi.., je alisema hivyo?
Mimi hata sielewi, nashangaa waliosikiliza hotuba hiyo wanabishana wenyewe kwa wenyewe hadi sisi tunaopewa taarifa hapa hatuelewi ni nini hasa kilichoongelewa.
 
Sasa ile kutoka bungeni siku ya kwanza ilikuwa ni nini?

Kweli chama hichi kiko consistent!

Labda useme amefanya kwa makusudi. Mwandishi wa habari akaghafilike kwenye kitu kama hicho?
Toka lini Pasco kawa mwandishi wa habari hata kama akiwa mwandishi wa habari ndiyo kila kitu umeze bila kutafuna, kuna siku Mwalimu Nyrerere aliwaambia wandishi wa habari wa Kenya hivi 'wakisikia yeye anatembea na mama yao wataandika kuwa yeye ni baba yao'. Pasco amedanganya kwa interests zake na wwe kwa vile uko tunned ukaingia kichwa kichwa bila kufuatilia.
 
Back
Top Bottom