Hongera jk kwa kutekeleza ilani ya chadema kuanzia katiba mpya,kuifumua bodi ya mikopo ya elimu ya juu(kwa wale wasiojua hili liko kwenye ilani ya chadema,nadhani ndiyo maana walihujumu wanachuo kupiga kura kwa sababu walijua kura zitaenda wapi,kwa faida ya wana jamvi hata sera ya kuanzisha chuo kikuu dodoma ipo kwenye ilani ya chadema ya 2005 na mh. Alielezea wakati anagombea urais).kibaya zaidi ni kwamba watanzania wanapenda kukimbilia mambo yasiyo ya msingi ambayo hayapunguzi ukali wa maisha wala kuongeza ukali wa maisha badala ya kuwapima wagombea na vyama vyao kwa sera,falsafa,matendo,vipaombele na mpango kazi,tunakimbilia kujua dini zao,makabila yao,wake zao,vitu ambavyo havina tija kwa watanzania,yani watanzania tunapanda kunde alafu tunataka tuvune maharage kitu ambacho labda kwa miujiza,kingine kinachosikitisha zaidi ni uyayayayaa,mnataka siasa za kilegelege sana matokeo yake ndo hayo tunapata serikali legelege ambayo siku si nyingi tunakwenda kulipa dowans bila kusahau waliojiuzia mgodi wa kiwira kwa mil 70 wakati samani halisi ni bil4 serikali bila aibu inathubutu kusema inaurudisha serikalini alafu aliejiuzia anadunda mitaani,haitoshi hao wanaodawi wanataka watuongoze walikimbiwa kuhojiwa na watu wanaotaka kuwaongoza yani unataka kazi ila interiew no,na bado tukawachagua hayo ni machache tu yapo mengi sana ila naomba niishie hapo maana haya mambo yanaumiza kupita kiasi unaweza hata ukampiga mtu risasi kama hata hawa watuhumiwa ni wenyekiti wa kamati nyeti za bunge(ra,el-nje,ulinzi na usalama),ndugu watanzania tumepanda kunde basi ni vema tutarajie kunde na sio maharage,taarifa za kiintejelisia zinanionesha mgao wa umeme ni siku tano na sio siku tatu,na usalama wa taifa wamefanya press confrnc wanasema meremeta,epa,deepgreen na dowans ni wapinzani ndio wanaomiliki,mwandishi wa habari alipotaka kujua kama wanataarifa za karamagi kusaini mkataba nje ya nchi tena usiku,hotelini wakasema hawajui,mhh,i wish that the message sent to all my fellow tanzania,mungu wabariki watanzania na uwajalie hekima na busara viongozi wake......