Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,677
- 218,188
- Thread starter
- #21
wapi niliposema umeniambia ?Lini nilowahi kukwambia Niko Geita?
wapi niliposema umeniambia ?Lini nilowahi kukwambia Niko Geita?
Mimi kuwa Geita umetoa wapi?wapi niliposema umeniambia ?
Halafu utawasikia kitanuka, kitanuka, lakini wanabaki humuhumu JF mtaani hawaonekani kukinukisha! Wajinga sana hawa watu!Matamko kama kawaida
Kwa Mtoro Leo msikitini kulikuwa na 0 distance ? Waziri mkuu ndani..Huo sio msongamano ? Polisi nendeni haraka mkawatawanyishe wanaeneza kovidi 🤣 🐒
Unajuaje kama upande wa wanaoonewa ni serikali. .wa sababu jamaa Hawa wameshindwa kutii mamlaka Bila shuruti. .hata Mungu amesema zitiini mamlaka zenu zinazowaongoza duniani..kwa sababu amezibarikiMungu asimame upande wa wanaoonewa na ashushe mkono wa gadhabu kwa watesi wetu
Wajinga vipi Wanaogopa mamlaka. .Bana. .sio wajinga wanajua kabisa sheria taratibu na kanuni zinazoongozaHalafu utawasikia kitanuka, kitanuka, lakini wanabaki humuhumu JF mtaani hawaonekani kukinukisha! Wajinga sana hawa watu!
Muulize samiaKongamano limeahirishwa?
Eid El Adha!
Hahahaha, waacheni CDM bwana nao wajiachie kwenye nchi yao!Huo sio msongamano ? Polisi nendeni haraka mkawatawanyishe wanaeneza kovidi 🤣 🐒
Mjinga anaweza badirika kuwa mwelevu,ikitokea msije lalamika.Halafu utawasikia kitanuka, kitanuka, lakini wanabaki humuhumu JF mtaani hawaonekani kukinukisha! Wajinga sana hawa watu!
Nimekujua kuliko unavyodhani , tuko kazini mkuuMimi kuwa Geita umetoa wapi?
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆Nimekujua kuliko unavyodhani , tuko kazini mkuu
CCM wangekuwa na uwezo huo unaousema wangehangaika kuzuia mikutano ya ndani ya Chadema ?Kuandika nyuma ya keyboard rahisi sana mzee, ishu ni kuingia field, hapo ndipo CDM wanafeli, nadhani ukiacha mitandaoni support yenu mtaani siyo kubwa sana! CCM wanawazidi sana kwenye kitengo cha propaganda na uongo
ungezijua sababu za watu hao kurudi ccm bila shaka ungejificha kwa aibuChama cha wanaharakati, Edo na Sumaye kiliwashinda.
Jengeni makao makuu au nayo mpaka katiba mpyaMungu asimame upande wa wanaoonewa na ashushe mkono wa gadhabu kwa watesi wetu
Why out of 60 mil people hampati hata watu laki 5 wa kuingia mtaani? Maana watu laki 5 wakizama mtaani mnaweza kushinikiza lolote mnalotaka na serikali ikafanyaCCM wangekuwa na uwezo huo unaousema wangehangaika kuzuia mikutano ya ndani ya Chadema ?