CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

kamuulize tendwa nini kilitokea pale arumeru....ccm na kuiba hela na kutumia mali za serikali hawana chopa.ungejiuliza kwanini ccm wameshindwa pata chopa...
kwani chopa za cdm au sa mtei
 
Hizo ni za CHADEMA ama UKAWA?
Kama sera ya sasa ya UKAWA ni "pamoja mpaka uchaguzi Mkuu" kwanini hizi ziwe za chadema tu?
 
Pamoja makamanda kanyaga twende. Msipoteze mida yenu kuwajibu mamluki wanaouliza maswali ya hovyo hovyo. Peeeeples
 
2015 ndo yatakua majeneza yenu hayo ya kufungasha virogo kwenye uwanja wa siasa poleni sana kwa kujitutumua
 
MSALANI,

Taarifa itatolewa Rasmi Kwenye Vikao kupitia vyombo vya uwakilishi katika uendeshaji wa chama yaani sekretarieti,Kamati Kuu na Baraza Kuu ambavyo vipo kwa niaba ya wanachama,wapenzi na Wafuasi wa CHADEMA na harakati za Mageuzi kwa ujumla

Asante comrade ben saanane coz umemjibu vizuri huyu mbulula wa lumumba yeye ni nani hadi aelezwe zimegharimu Tsh ngapi hizo taarifa zitatolewa kwenye chama ambapo ni mahala pake sio kila mahali keep it up comrade.
 
Last edited by a moderator:
isije ikawa zimenunuliwa kwa fedha za mkopo toka kwa MWENYEKITI ambaye ni very local....halafu mwishowe katika ilipwaji wa deni chama kilipe mara nane zaidi ya bei halisi.
afterall... zilikuja mamia kwa ajili ya M4C na matokeo yake tunakiona chama kikizidi kuelekea kaburini. mtazamo wangu ni kwamba''' HUU NI MRADI MWINGINE WA MWENYEKITI NA WANAOMSUJUDIA'''
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu, huu ni mwendelezo wa "fursa" za kutafuna ruzuku ya chama.
 
Ingependeza zingaamdokwa CHADEMA kutoka kiwandani kabisa.
 
safi sana , ukitaka kumuua nyoka piga kichwani ! Magamba yanapukutika yenyewe bila hata kuguswa !
 
Vizuri sana ila proforma 3 tutaziitaji pia na Invoice ya mwisho.
M4C for Life.
 

Ukawa wamejipanga hongera maalim self
 
Sasa Kamanda miaka kumi ijayo Mzee Slaa ambaye kwa sasa anaitafuta 80 huoni atakuwa Mzee sana?

hayakuhusu wenyewe tunaipenda hekima yake, kujituma kwake na mikakati imara kama mpinzani asiyehongeka kabisa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…