KIWAVI
JF-Expert Member
- Jan 12, 2010
- 1,817
- 700
Unazungumzia context mbili to facts...Hata Makaburu walizungumza na ANC licha ya kuwafunga na kuwaua
kuzungumza sio lazima mkubaliane...CHADEMA wanaweza kutoa 'masharti' ya kuikubali ACT ndani ya UKAWA
ikabaki kazi ya ACT kukubali au kukataa masharti
Zitto ni kirusi, chadema should avoid him kabisa... Ni dalali wa watawala