CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

CHADEMA wazungumze na Zitto na ACT

Kuongea na ACT ni kama kuongea na CCM ili wawachie baadhi ya wizara katika serekali yao,kitu ambacho hakiwezekani.

Kwa kuwa ACT wamejionyesha wazi kabisa kuwa wako kwa ajili ya kupambana na wapinzani na hasa CHADEMA.

Ni bora wakaendelea kubaki kama jinsi walivyo,huku vyama vya upinzani vikiendelea kupambana na CCM na mfuasi wake ACT.
 
Kuna kitu naona unakisahau
Enzi za TANU na Mtevu angala chaguzi zilikuwa fair..
enzi hizi chaguzi zina 'all dirty tricks'

Mtemvu hakuwahikushinda lolote before,Zitto kashinda twice uchaguzi
enzi hizi zenye 'all dirty tricks' na kashiriki mipango mingi ya CHADEMA iliyopelekea CHADEMA kushinda
majimbo......hate him but he is no fool....akiamua kuijeruhi CHADEMA anaweza...kuzungumza nae
kunaweza saidia sana tu.....hasa kama atapata 'a little respect' from CHADEMA...nafikiri
ni Abraham Lincoln aliwahi sema 'i destroy my enemies by making them my friends'

Hizi ni hoja za kipuuzi kabisa, sasa kama Zitto ana uwezo wa kuijeruhi CHADEMA si mtulie hiyo October tuone, kwanini mnatumia nguvu kubwa kulazimisha hoja tuliyoikataa, kwanza si mmesema Zitto ana nguvu sana kwanini mhangaike namna hii?

Jamani iacheni CHADEMA yetu, nyie jengeni ACT kiwe chama kikubwa mchukue na dola.
 
Umeongea point kubwa sana Mkuu, ahsante sana.

Kama ilishindikana kukaa na kumaliza mgogoro wakati wakiwa pamoja (Zitto na CHADEMA) Sioni umuhimu/nafasi hiyo kufanyika sasa wakati kila upande unajipiga kifua kuwa unauwezo wa kusonga na kukua zaidi pasipo mkono wa mwingine.

Chadema watakuwa wamepotrza sana kama wakikubali hilo. Hii itakuwa na maana kwanba;
1. ACT kupitia Zitto wananguvu kali za ushawishi kwa wananchi ambao CHADEMA wataona bila kuungana nao watapoteza nafasi yao ya kuchukua dola au kuwa chama kikuu cha uponzani.

2.ITatafsiriwa kwamba UROHO wa madaraka na UMANGI MEZA ndio reasons behind vio goz wa chadema kumfukuza Zitto, ilhali si kweli ni kutokana na "mienendo isiyoridhisha" ya aliyekuwa naibu katibu mkuu bara Mr. Zitto.

3. Kiitikadi CHADEMA watashindwa kueleweka kwa wanazi wao wanasimamia katika nini? Je nikatika Liberal democracy au ujamaa maendeleo unaosimamiwa na ACT? hii ni mifumo miwili kinzani ambayo sioni kwa namna gani itawaweka pamoja jamaa hawa.

Naamini ni vema ACT waendelee na harakati zao wasijifungamanishe na UKAWA, ili UKAWA /CHADEMA nao waendee kujiimarisha katika maeneo yao.

Politics is like disco, you keep dancing no matter what, when the muziki/songs changes yu kiip dancing!
 
True BOSS,but tumpe muda nyongo yake ipoe kwanza coz nilikua napotia article moja humu ikionyesha ACT ilivyoshusha bendera za CHADEMA kigoma na kupata wafuasi kadhaa ila sikuona popote pale bendera ya CCM imeshushwa,na mkuu wa chama ndugu ZITTO hajawahi kutoa tamko la kukemea hili swala hata mwenyekiti wake alivyotoa tamko la kuzuia wanachama wake kushirikiana na UKAWA amekaa kimya,napata kigugumizi hapa kukubali akaribishwe UKAWA,tusubiri kwanza.

Mkuu utaona sijasema akaribishwe moja kwa moja UKAWA
nimesema tu CHADEMA waanze kuzungumza nae...labda anataka majimbo mawili tu au matatu
aachiwe na UKAWA au jimbo lake tu moja....na wao wana UKAWA in return wanaweza kumpa masharti
labda ACT wasisimamishe mgombea kwa Lissu na Mdee....na hapo labda ukawa 'mwanzo mpya'

Wanasema in Politics there are no permanent enemies nor permanent friends....
 
as far as CHADEMA is concerned Zitto is not and will not either make peace or war with UKAWA, so he remains a msaliti wa UKOMBOZI
 
Kuna kitu naona unakisahau
Enzi za TANU na Mtevu angala chaguzi zilikuwa fair..
enzi hizi chaguzi zina 'all dirty tricks'

Mtemvu hakuwahikushinda lolote before,Zitto kashinda twice uchaguzi
enzi hizi zenye 'all dirty tricks' na kashiriki mipango mingi ya CHADEMA iliyopelekea CHADEMA kushinda
majimbo......hate him but he is no fool....akiamua kuijeruhi CHADEMA anaweza...kuzungumza nae
kunaweza saidia sana tu.....hasa kama atapata 'a little respect' from CHADEMA...nafikiri
ni Abraham Lincoln aliwahi sema 'i destroy my enemies by making them my friends'

Ure entitled to your thoughts, but by what means have you tested that ZZK is not a fool if you are not a fool yourself. Why dont u go give him that 'little respect' if u think he deserves it. You so think he contributed much in CDM's constituencies, but have you obtained enough data about how many constituencies he cost CDM in 2010 election?
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Kungekuwa na haja wangezungumza nae akiwa bado CHADEMA, kuzungumza nae sasa ni kumpa sifa asiyostahili.
 
Ure entitled to your thoughts, but by what means have you tested that ZZK is not a fool if you are not a fool yourself. Why dont u go give him that 'little respect' if u think he deserves it. You so think he contributed much in CDM's constituencies, but have you obtained enough data about how many constituencies he cost CDM in 2010 election?

Your entitled to your thoughts too.....
If in 2010 he caused CHADEMA not to gain constituencies while inside CHADEMA
then in 2015 he can only do more...
but the big word here is 'if'
 
Mkuu The Boss, ili kuweza kufanya kitu kinachomake sense, kwanza, ni hao wahusika wawe na uwezo 'ability' to see that sense!, ndipo then wafanye maamuzi yanayomake that sense!, hao wenye uwezo wa kuona hiyo sense huko Chadema wapo?!. I don't think!.

Pasco.
Pasco unanyodo kweli wewe. What is You dude? Unadhani Chadema kuna mapompompo tu kweli? By the way WHAT is so special within the Intellectual trait of your Lord Ayatollh? Ain't the same fuckinng Imbecile in Chadema who has taken the Party to this height,inspite the pinching and suppression by CCM and its government?
Hivi wewe unamwonaje Dr Slaa? He's a Cannon master,FYI.
Pasco unijua Roma vema, Dr Slaa is something. Amekuwa General Secretary TEC, Si kitu kidogo.
Kitu kingine,Zitto hana usomi wowote wa kufanywa na watu Exceptional. Ni Chadema kimemfikisha hapo.
Hutaki unaacha.
 
Kuna kitu naona unakisahau
Enzi za TANU na Mtevu angala chaguzi zilikuwa fair..
enzi hizi chaguzi zina 'all dirty tricks'

Mtemvu hakuwahikushinda lolote before,Zitto kashinda twice uchaguzi
enzi hizi zenye 'all dirty tricks' na kashiriki mipango mingi ya CHADEMA iliyopelekea CHADEMA kushinda
majimbo......hate him but he is no fool....akiamua kuijeruhi CHADEMA anaweza...kuzungumza nae
kunaweza saidia sana tu.....hasa kama atapata 'a little respect' from CHADEMA...nafikiri
ni Abraham Lincoln aliwahi sema 'i destroy my enemies by making them my friends'

Ur entittled to your thoughts. But by what test have you concluded that ZZK is not a fool if you yourself are not a fool, I am talking about your analysis of the whole ZZK/CHADEMA saga from when it started to the moment. Is this what you can come up with? Are you really thinking straight? There must be something wrong with your brain. It is not a must for ZZK to be with CHADEMA, CDM have a lot of influence without ZZK. Zitto should continue his path, Full Stop.
 
Mkuu zitto ana tittle ayatoullah katika act hivi iran unaweza kuongea na khamenei ili umpunguze madaraka?
 
Wanaojua historia ya OAU na Morocco na mgogoro wa Sahara Magharibi watakumbuka alichowaambia Nyerere viongozi wenzie wa OAU wakati ule.

Nchi ya Morocco ilikuwa inakataa kila maazimio ya OAU ikisisitiza Sahara Magharibi ni ardhi yake Viongozi wengi wakasema dawa ni kuifukuza Morocco OAU.

Nyerere alipinga na hoja kubwa ilikuwa ukishaifukuza Morocco then what? utawezaje kuidhibiti wakati
sio member wako tena?si unaipa uhuru wa kufanya lolote? nguvu ya kidhibiti Morocco ni only kama Morocco ni member wa OAU...otherwise akishakuwa sio member hatalazimika tena kuisikiliza OAU.Viongozi hawakusikia the rest is history..mgogoro haujaisha hadi leo..

Ni kama ile hadithi ya mtoto anaekojoa sebuleni halafu unamfukuza anaenda kusimama nje anakojoa mkojo akitokea nje kupitia dirishani unaingia sebuleni tena...hujafanya kitu labda uongee na huyo mtoto ujue analilia nini labda kuna pipi tu karibu akipewa its done...

Kuelekea Uchaguzi 2015 CHADEMA now ndio chama cha upinzani chenye nguvu kuna UKAWA ambapo CHADEMA ndio wenye nguvu zaidi na sauti zaidi...Sasa ingawa CHADEMA wanashikilia msimamo wao ambao ni very 'radical' wa kutoongea na Zitto na kuwaita
ACT 'wasaliti' ukweli ni kwamba njia rahisi ya kuidhibiti ACT ni kuongea nao na kujua hasa 'wanataka nini' na kuwapa masharti ya kujiunga na UKAWA na vinginevyo ACT wanaweza kabisa 'kukojoa kutokea dirishani' na the rest ikawa historia.

ACT ikiwa ndani ya UKAWA ..CHADEMA watakuwa na uhakika wa baadhi ya viti vya ubunge watu kama Tundu Lissu,Mbowe na Halima Mdee watapata 'nafuu' ya kupambana na CCM only kuikataa ACT ni kuwaruhusu ACT waweke wagombea wao wa ubunge kwa Lissu,Mdee,Mbowe na wote wengine

sio lazima hao wagombea washinde..lakini wanaweza kugawa kura...the rest will be history.

Najua wapo watu ndani ya CHADEMA wana obsession ya kummaliza Zitto....tatizo ni kwamba 'no one knows the future' .....watu wenye akili hukubali ku negotiate when they have power and are strong watu wajinga huenda ku negotiate wakiwa wameshashindwa au kujeruhiwa.

CHADEMA now they have power....wasisubiri kujeruhiwa.

Wewe si bure lazima umetumwa na Zito katika kuendelea kutapatapa kwake kuwa karibu ya Chadema aendelee kuwaharibia. Zito ni kirusi, na kama alionekana hatari akiwa bado ndani ya chama bado si mtu salama kuwa katika Ukawa. ACT wajue kuwa kamwe hawatakubaliwa kujiunga na Ukawa kwa kipindi chochote watakachokuwa na zito. Huyo tu ndio kizuizi kinachofanya ACT nzima kuonekana hatari kwa upinzani
 
Huu ushauri umetolewa na professor tena wa strategy!!
Wafuata upepo wengi watamdhihaki mtoa mada lakini ninauhakika hawatatoa hoja za kupinga ushauri tena kwa facts as he did

Labda kama ni Prof wa Kiswahili. Hoja zake zina mapungufu, zinaongozwa na hisia za woga na upeo mdogo wa upembuzi na uchambuzi.
 
Mkuu angalau wewe umeona kitu ambacho watu wa CHADEMA hawataki kuona
kama Zitto anawahitaji UKAWA now kuliko wao wanavyomuhitaji
basi ndio wakati wa kuzungumza nae
kumpa masharti ya kushirikiana....wasisubiri ifike siku wao UKAWA wakawa wanamuhitaji Zitto

kilichopo hapa ni 'assumptions' tu kwamba Zitto atamalizika kisiasa....
what if hii assumptions ni very wrong?
what if akiweza kupata viti viwili vitatu na CHADEMA wakapoteza watu muhimu kama Lissu?
kutazama future kwa mahaba na vyama sio sahihi....

Bahati nzuri mi sinaga chama, so huwa naongelea reality zaidi kuliko ushabiki.

Hapo kwa blue: Chadema wanajua wazi kumkaribisha zzt kundini ni kumjenga zaidi kisiasa, which is true to be honest

Hapo kwa red: Chadema wanajua wazi kuwa nje ya ukawa uwezekano wa ACT kupata hata mbunge mmoja ni next to impossible. Kiukweli ili ACT ipate walau mbunge mmoja (possibly zzk mwenyewe) ni mpaka CCM wasisimamishe mgombea kwenye jimbo hilo, which is also next to impossible!

Hizi scenerio mbili ndo zinasababisha waamini zzk soon atamalizika kisiasa. Uwezekano wa hizi assumptions kuwa wrong ni mdogo mno kuliko ukweli wake

Ujue The Boss ni mbwembwe tu za kwenye social media lakini kwa ukweli ni kwamba kwa sasa zzk hana uhakika wa kurudi bungeni. Ila akiingia tu ukawa tayari atakuwa mtu wa kwanza kuwa na uhakika wa kurudi bungeni hata kabla ya uchaguzi kufanyika. Ukawa wanalijua hili wazi

cc BAK, Pasco etc
 
Last edited by a moderator:
Wao wanaamin chukiza mbowe zitawaweka pazuri, chuki za watu wawili hazitakiwi kuwa chuki za CDM na ACT, nakama wanadhan hilo nijema wasubiri watajua usaliti wa zitto ni wakughush au la

Zitto kama chuki na Mbowe ni shauri lake, lakini CHADEMA sio Mbowe wakati ACT ni Zitto. Ina maana bila Zitto ACT hamna lolote kwa sasa hivi, ila bila Mbowe CHADEMA ipo na itaendelea kuwepo. CDM sio chama cha msimu kama ACT. Usaliti wa Zitto hauna ubishi.
 
Kwani wameshindwana na CCM mpaka waanze negotiation na CDM??

Na kwa nn negotiation iwe na act na siyo TLP au SAU???
 
Labda kama ni Prof wa Kiswahili. Hoja zake zina mapungufu, zinaongozwa na hisia za woga na upeo mdogo wa upembuzi na uchambuzi.

Ukisema Zitto hana mchango wowote aliochangia CHADEMA hizo ndo hisia
hisia za chuki.......Ukisema Zitto ni msaliti kwa ukaribu wake na CCM unapaswa kujibu
mbona Mbatia ni mbunge wa kuteuliwa na Mwenyekiti wa CCM na mwenyekiti mwenza wa UKAWA?
 
Ckuzote ckio la kufa halisikii dawa, chadema ni janga la taifa kwa sasa

Unaongozwa na akili pombe za kienyeji au unaota. Hebu toa hoja zenye mashiko, kwa utafiti wako na kufikia hitimisho kama hilo inawezekana hazikutoshi.
 
Mkuu The Boss, hii ni kitu inayoitwa busara za hali ya juu!, it is very unfortunately, Chadema haina watu wenye busara za level hii, wengi wao wanatawaliwa na chuki dhidi ya Zitto, hawataki kuchukua 'tahadhari yoyote kabla ya hatari', bali wako tayari kwa 'majuto ni mjukuu!'. Maadam umesema kuhusu wenye akili wanafanya nini na wajinga watafanya nini, sisi tukiwaita watu ni wajinga humu, tutashutumiwa tunawatukana!, nasisitiza Watanzania kama hawako tayari kuwaingiza 'wajinga' kwenye ikulu yao!.

Kuliko kuingia ikulu na ujinga wao, bora wakae na ujinga wao huko huko, mpaka watakapo pata akili ndipo tuwakabidhi ikulu yetu!.

Pasco

Siku hizi umebaki kuandika utumbo tu huku,kibaraka wa zito wew ....

mjinga mwenyewe
 
Back
Top Bottom