Asante sana Marytina!ikiwa katiba mpya wameweza hili la posho dogo mbona linashindikanika??? i mean CDM watoke njee ya ukumbi washinikize mfumo wa posho serikalini ufutwe.
Mimi nishaanza kuhisi CDM wanaongea kukataa posho huku wakijua kwa 100% posho zipo yaan wanaulaghai umma kuwa hawazitaki huku wakujihakikisha posho zitaendelea kuwepo
Kama CDM hawatashinikiza kisawasawa mwisho wa siku wanaonekana kama CUF a.k.a maslahi tumbo.
Sasa hiyo hotuba imekuja na solution zipii?..Dr Mponda acha kuchezea afya za watz,au kwakuwa wewe na wenzako mnatibiwa India?..ila 2015 sio mbali,mtapata picha kamili!
wasitoke bwana safari hii bora milango ifungwe zipigwe tuu, kukimbia matatizo ni upumbavu!
Yes; hii ndio silaha iliyobaki sasa; kama wamepinga Katiba wakaeleweka; kama wamepinga udhalimu mwingi wakaeleweka sasa muda ni huu; mjadala wa madaktari usipojadiliwa leo hii watoke ktk ukumbi kulazimisha jambo hilo; mimi nawasilisha
Ukiongelea ishu ya kutoka nje ya ukumbi unanikumbusha Regia Mtema(rip...naamini umeanza kupumzika na kashkash za dunia hii ya shida)...
Sasa hiyo hotuba imekuja na solution zipii?..Dr Mponda acha kuchezea afya za watz,au kwakuwa wewe na wenzako mnatibiwa India?..ila 2015 sio mbali,mtapata picha kamili!
siungi mkon o hoja. watu wanakufa mahospitalini
ikiwa katiba mpya wameweza hili la posho dogo mbona linashindikanika??? i mean CDM watoke njee ya ukumbi washinikize mfumo wa posho serikalini ufutwe.
Mimi nishaanza kuhisi CDM wanaongea kukataa posho huku wakijua kwa 100% posho zipo yaan wanaulaghai umma kuwa hawazitaki huku wakujihakikisha posho zitaendelea kuwepo
Kama CDM hawatashinikiza kisawasawa mwisho wa siku wanaonekana kama CUF a.k.a maslahi tumbo.
Waangalie namna zaidi ya hii
namba ya watakaowajibishwa inaongezeka.wabunge wa ccm waliopiga makofi kuchekelea maafa.
hahaaaa..Sipati picha bi kiroboto kakunjwa anapigwa vifuti na Lema huku kapteni komba anapigwa vichwa na Zitto
Suluhisho ni kuja kushtaki kwa wananchi
labda wawatimue Shibuda na Selasini kwanzaikiwa katiba mpya wameweza hili la posho dogo mbona linashindikanika??? i mean CDM watoke njee ya ukumbi washinikize mfumo wa posho serikalini ufutwe.