CHADEMA watoke Nje vikao vyote kupinga mjadala kutopelekwa Bungeni wa Mgomo wa madaktari

Inashangaza ,Swala la posho linaonekana kama sio inshu kwa CDM ila ni utashi wa MP mmoja mmoja ?
Ukiuliza hata kuhusu madaktari ,utasikia utasikia mnyika anawawakilisha !
CDM wasilewe sifa , ni mapema mno hadi 2015
 
Wajamaa mwataka kutulaza njaa watumishi wa umma? Mishahara haitoshi
 
Back
Top Bottom