Njia iliyotumika na chadema kupinga mkataba si mzuri

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,842
BANDARI ITATURUDISHA NYUMA KWENYE MARIDHIANO.

Na Thadei Ole Mushi

1. Kama taifa tulikosea tulipoanzisha vyama vingi vya siasa. Tulikosea tulipogawanyika tukawaita wenzetu vyama vya Upinzani na Sisi tukajiita chama Tawala. Sasa jina limewaathiri kwa sasa wanapinga kila kitu as long as kimefanywa na chama tawala. Mfano China Mfumo wao wa Siasa unaitwa “Cooperation and Consultation”. Ukiacha chama cha CPC ambacho ndio chama Tawala kuna vyama vingine nane ambavyo hushirikiana na CPC katika kushauri Serikali nini Cha kufanya. Vyama hivi vina Majukumu rasmi ya kutoa mawazo Mbadala kwa Serikali lakini pia CPC na vyama hivi vingine wanashare common goals (Malengo yao yanafanana). Hivyo huwezi kukuta wanapingana bali kuna njia rasmi za kupitisha maoni yao na yakafanyiwa kazi na ukionekana kwenye chama mbadala una uwezo wa kufanya jambo unachukuliwa unaingizwa serikalini na maisha yanakwenda.

2. Chadema njia waliyoitumia kushughulika na Bandari si njia nzuri sana. Mama Samia aliwapa kila kitu, akiwaruhusu wamfikie na wajadiliane naye, kama waliweza kumfikia na kujadiliana naye mambo ya Katiba mpya, wakamfikia na wakamuita kwenye Sherehe zao kama Mgeni Rasmi ni kwa nini hili la Bandari waliamua kutumia njia ya mapambano wakati milango ilikuwa wazi kwao kwenda kushauri? hili limeturudisha nyuma sana nilidhani wangempelekea maoni yao akikataa ndio waje kwa wananchi kufanya wanachofanya. Mpaka sasa hakuna mahali upande wa Serikali umesema utakataa maoni ya wananchi…

3. Kuna mahali kama Taifa tulikuwa tunaelekea katika Demokrasia toka kuingia kwa Mama Samia, mjadala wa Bandari utaturudisha nyuma, nia njema ya maridhiano tumeshaiharibu, ni vigumu tena hawa watu kukaa meza Moja. Kiuhalisia Maridhiano yalikuwa yanaenda kuwanufaisha wapinzani zaidi kuliko CCM. Tukubali tukatae njia iliyotumika imeturudisha nyuma, tunapaswa kwa pamoja kuweka Silaha chini na kunyanyua kitambaa cheupe kuadhiria amani na kurudi kushauriana na sio kugombana. Chadema na Serikali walikuwa kwenye vikao vya Amani gafla Chadema wakanyanyua mapanga wanaanza kupambana lazima Serikali ijilinde hapa ndipo tuliporudi nyuma mtakuja kuona mbeleni.

4.Juzi niliandika kuwa vyama vya siasa vifanye Mikutano yao lakini vitenganishe na matumizi ya viongozi wa Dini. Kinachoendelea sasa hakieleweki kama ni msimamo wa Kanisa au ni Msimamo wa mtu bibafsi pindi hawa viongozi wa dini wanaposimama kwenye podium za Kisiasa. Ni vizuri mitazamo ya viongozi wa Dini ikapitia kwenye njia sahihi kuepuka kuwafanya waumini kugawana vyama kwa misingi ya Kidini. Hata Shekhe anayejitambulusha kwa jina la Mwaipopo akemewe anafanya jambo ambalo ni Uchochezi na jambo la hatari kabisa. Tusianze kuwagawa wafuasi wa vyama vyetu kwa Misingi ya Kidini tutaliharibu taifa letu.

5. Manufaa yaliyopo kwenye Uwekezaji wa Bandari ni Makubwa kuliko hasara ya kinacholalamikiwa na wanasheria mbalimbali. Bora tumpe DP world Mkataba wa miaka Mia atupe Trilion 26 kila Mwaka kuliko Kumpa TICS miaka Mia kwa kutupatia Trilion 7 kwa mwaka. Hii ni hesabu ndogo tu kwa miaka 22 TICS waliyokaa Bandarini tu assume kila Mwaka walikuwa wakitupatia trilion 7 kwa miaka yote wametupa trilion 154 tu. Kwa hesabu zilizopo DP kwa miaka 22 ambayo TICS kadumu pale Bandarini angetupatia Trilion 572. Dili kama hili huwezi kuliacha kirahisi hasa kama wewe upo upande ambao una jukumu la kulipa mishahara, kujenga miundombinu ya barabara, kununua Madawa, kujenga Shule, kujenga hospitali na Shughuli nyingine za kijamii.

6. Issue ya ajira kuwa zitapotea kwa kuwa DP World wataleta mitambo ya kisasa ni kweli kuwa Teknolojia inapozidi kukua na nguvu kazi inapungua. Japokuwa MOU inawataka kuwaacha wafanyakazi wote waliopo sasa pale Bandarini lakini kuna faida kubwa zaidi kutokana na muunganiko wa kisekta. Ili Serikali iwe na uwezo wa kuajiri lazima iwe na fedha, kama huna fedha huwezi kuajiri, kama mapato ya Serikali yataongezeka kupitia uwekezaji tafsiri yake ni kwamba serikali itajenga uwezo zaidi kwenye kuajiri.

Fact and figures

Mfano mahitaji ya walimu katika shule za msingi 2023 ni 362,189 kwa kutumia uwiano wa 1:45 (Mwalimu mmoja kwa wanafunzi 45).Hata hivyo walimu waliopo ni 175,864 ambao wanafundisha wanafunzi milioni 12.36 waliopo nchi nzima katika ngazi hiyo ya elimu. Hiyo ni sawa na kusema kwa wastani, mwalimu mmoja anafundisha wanafunzi 70.

Sio kwamba Serikali inafurahi jambo hilo ila hawana namna wataajiri halafu walipe Mshahara kwa kusubiri TICS awakusanyie Trilion 7 kwa mwaka? Na kwenye kada nyingine hali ni hiyo hiyo hivyo lazima tufikiri mbali kuwa hata kama technolojia itawaondoa baadhi ya watumishi pale Bandarini lakini tutaipa uwezo Serikali kuajiri katika maeneo mengine. Dubai yenye Technolojia ya kutosha unemployment rate yao 2023 ni 2.50 percent wakati Tanzania isiyokuwa na Technolojia ni kubwa kuliko Dubai issue hapa ni kutokutaka kufikiria mbali tu.

7. Mshindani wa Bandari ya Dar es salaam aliye karibu yetu kabisa ni Mombasa na kwa sasa Durban Africa ya kusini. Bandari ya Mombasa kwa Africa inashika nafasi ya 29 na Bandari yetu inashika nafasi ya 25. Kwa siku za karibuni Kenya wanapambana haswa kututoa kwenye Reli ili waongoze wao kwa kushusha mizigo. Na wao wameshafikia mbali na DPW kama tusipochanga vizuri Karata Zetu na kwa mfano DP World akaamua kujitoa kwetu akawekeza Kenya, pale Bandarini tujiandae kwenda kufungua hapo Soko la kuuziana Kibua na Kambale. Bandari ya Djibut ndio inayoongoza kwa Afrika kama Bandari bora na kwa dunia ni number 26 waliowekeza pale ni DP World sasa kasome uchumi wa Djibuti unategemea asilimia ngapi za mapato toka kwenye Bandari yao. Nadhani kama nia ni njema tuangalie tunajadilije hili jambo kwa amani ili tusimtishe Mwekezaji akasepa akahamia kwa wengine. DPW imetapakaa kila mahali Duniani, si kwa Tanzania Peke yake. Link hapa chini inatuonyesha tulipo vs Mombasa Port.

8. Bado nasisitiza kuwa unaweza ukawa na Rasilimali nyingi tu ila bado taifa likawa ombaomba. Tanzania tunakopa kila mahali, tunasaidiwa hadi ARV’s na Neti za kuzuia Mbu , tunajengewa vyoo vya wanafunzi nk huku tukiendelea na akili zile zile za Mlima wetu, wanyama wetu, Mbuga zetu, Bandari yetu, nk badala ya kuangalia ni kwa namna gani tunanufaika na Rasilimali hizo.

8. Serikali na CCM wachukue yale maoni wanayoona ni Mazuri wasonge mbele kwa haraka kabla mwekezaji hajaamua kukimbia, nchi zenye bandari kwenye ukanda wetu ni nyingi sana kama tumefanikiwa kumpata mtu mwenye uwezo kama DP World tusimpoteze kwa hasira.

9. Mikutano ya CCM inayofanyika nchi nzima kwa Lengo la kutoa Elimu kuhusu uwekezaji wa Bandari unatoa taswira halisi ya ukubwa wa CCM. Si kazi ndogo kwa Mfano kujaza uwanja wa Shekh Amri Abeid Arusha, mara ya Mwisho kuona Nyomi kama hiyo ilikuwa 2015 wakati Lowassa akitangaza nia ya kugombea Urais 2015 kupitia CCM. Mbeya walizajaza, Mtwara wakajaza zaidi, Tanga wakafunika, Arusha wamefunua kabisa.

10. Tuna makadirio ya Bajeti ya Trilion 41 ni kazi kubwa haswa kuikusanya hiyo fedha. Ikipatikana itahudumia kila mtanzania na isipopatikana ni hasara kwa kila mtanzania. Tutoke kwenye dunia ya Kupinga kila kitu turudi kwenye ulimwengu wa kutoa mawazo mbadala kwa lengo la kuikimbiza nchi kimaendeleo.
 
Chadema wana kosa "political think tank" kuwa ongoza kwenye political moves lipi la kufanya kwa wakati gani, na lipi la kuacha, lasivyo watafutika mda sio mrefu Raisi hu amekua mgwana sana kwao wangetimia na fasi kujipanga structure zao vijijini na wilayani
 
01: Maridhiano kati ya CCM na CHADEMA ni wao jinsi ya kugawana madaraka, haihusiani kabisa na kuuza nchi na rasilimali zake.

02: Hakuna Mtanganyika anayepinga uwekezaji, sote tunaunga mkono. Tunachopinga ni kuuza bandari zetu zote milele ati kwa kushindana na majirani.

03: CCM ndiyo wanaeneza udini na Uzanzibari. Kwani Rais ni Mtanganyika? Waziri aliyesaini mkataba ni Mtanganyika? Bandari za bahari na maziwa zilizouzwa ni za Zanzibar?

Wanaoeneza propaganda za udini si ni CCM wenyewe? Hapo CHADEMA wanahusikaje?

04: CCM hawakupenda mfumo wa vyama vingi. Tume yao waliyoiunda ilishauri muendelezo wa mfumo wa chama kimoja.

Ni mabadiliko ya dunia hasa katika siasa yaliwalazimisha kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi.

05: Kama tumeweza kuboresha bandari zetu wenyewe hadi tukawa wa 25 kwa ubora; tumewazidi Mombasa (kwa mujibu wa mleta mada ni wa 29) na Djibouti wanaosaidiwa na DP World (ila wanashika nafasi ya 26).

Tunashindwaje kuziboresha zaidi katika namna itakayokuwa na faida kwa taifa letu - sisi na vizazi vijavyo?

Mwisho; mwandishi wa makala hii fupi ni chawa promax.
 
Kumbuka mwanzo mlisema sio mkataba, mkaja mkasema wamepewa magati machache tu, mkaja mkasema sio Bandari zote, mnatuchanganya Wananchi maana swali la msingi kwamba huu mkataba unakoma lini huwa hamjibu, linalotia mashaka zaidi ni kwamba huu mkataba haukutoka kwa ridhaa bali ulivujishwa, kuna nini mpaka mambo yafanyike gizani kiasi hicho, aliyevujisha sio CDM bali mtu wenu huko huko CHAMANI au mtumishi wa UMMA alyeona hana pa kuongelea, akaamua kufanya alichofanya.

MASHAKA ZAIDI : Ni kitu gani kinafanya itumike nguvu kubwa kutuaminisha kwamba huu mkataba una faida, mashaka yanakuwa mengi maana mpaka machawa wanakodishwa ili tujaribu kuaminishwa kwamba kila kitu kipo sawa. Ushauri wangu Serikali irudi nyuma, parekebishwe penye shida, ije na kauli moja yenye kueleweka na maana, sio kila anayeinuka anaongea lake.

Tuwekeni maslahi binafsi pembeni wakuu, hata kama tunalipwa kiasi gani, leo tutakuwa na maisha mazuri, tutapata kila kitu ila mwisho tunabaki na aibu ya milele, tunaenda kaburini jamii haituheshimu hata kidogo maana tumewaachia shida tupu huku nyuma.
 
Chadema wana kosa "political think tank" kuwa ongoza kwenye political moves lipi la kufanya kwa wakati gani, na lipi la kuacha, lasivyo watafutika mda sio mrefu Raisi hu amekua mgwana sana kwao wangetimia na fasi kujipanga structure zao vijijini na wilayani
Miaka yote tunaambiwa cdm itafutika kutokana na aina ya siasa zake, lakini ukweli unakuwa kinyume chake hasa wakati wa uchaguzi. Huwa tunaona chaguzi za kishenzi, hujuma za wazi dhidi ya CDM ili ccm watangazwe washindi kwa shuruti.

Cdm haiwezi kufutika kwa kukataliwa na wananchi, bali ccm isiyo na mvuto ndio inaweza kwa kushirikiana na vyombo vya dola. Hiyo ni hali ya kawaida kabisa, unapofikia mwisho wa utawala wako, hata utumie mbinu chafu kiasi gani, mwisho ni mwisho tu.
 
Huyu mtu ni chawa wa Samia, ni mpuuzi tu anayetaka kurudisha rasilimali za taifa walizopewa waarabu Chadema wakakae chini na Samia wajadiliane..

Ndio maana hata ule ujinga wake wa kusema Chadema imekosea kuwaalika maaskofu pale Temeke sikuuelewa, huyu yupo kwenye kazi ya kumsifia bosi wake msaliti aliyegawa bure bandari zetu Tanganyika milele, huyu ni chawa tu, apuuzwe huyo mjinga.

Halafu wewe Nesi mkunga ndio unaifanya hii kazi ya kuleta huu ujinga wa huyo Thadei kila mara, nahisi kitu hapa..
 
Kwa nini wafutike kwani wasemacho hakika faida kwetu na vizazi vyetu? 🤔
Mkuu huko mtaani kuna hela nyingi sana kama unaitaka, cha msingi tetea DP, usione wenzako wanatoka mapovu huku wakiuza utu wao, hela hela hela Chief, watu hawajali hata kizazi kijacho kitaishi vipi.
 
Chadema wana kosa "political think tank" kuwa ongoza kwenye political moves lipi la kufanya kwa wakati gani, na lipi la kuacha, lasivyo watafutika mda sio mrefu Raisi hu amekua mgwana sana kwao wangetimia na fasi kujipanga structure zao vijijini na wilayani
"Think tanks" wa kuhangaishwa na huu ujinga wa huyo Thadei?!

Hebu kuwa serious.
 
Maridhiano hayaondoi haki ya CDM kufanya siasa na kuwa na mtizamo wao kama chama. Ni chama cha upinzani.

Kama kuna mtu anadhani maridhiano ni kuvifanya vyana vya upinzani viwe CCM B basi huyo ni mpumbavu.

Serikali ya CCM iliyopita ilijaribu kuua demokrasia, lengo la maridhiano ni serikali kujaribu kurekebisha makosa yale na kuiwezesha nchi kusonga mbele.
 
Huwa nasikitika sana ninapoona kijana ana elimu, ana nguvu na uweo wa kufanya mambo ya msingi na maisha yakanyooka ila anaishia kutetea mambo hata yasiyofaa au yenye kutia shaka ili mradi tu analipwa, tunaacha legacy mbovu sana kwa watoto wetu na jamii inayotuzunguka.
Bahati mbaya ndipo taifa lilipofikia, sasa kila mmoja anapigania maslahi ya tumbo lake, tena ikibidi hata kuziweka pembeni, au kuzitoa sadaka rasilimali za taifa letu.

Hii ni aibu kubwa sana kwa kizazi chetu.
 
Ni kweli serikali ya CCM walitaka hili jambo lifahamike kwa wananchi?

Ni kweli unadhani wananchi hawajui wanachokikataa?

Tangu uhuru, nchi hii imeongozwa na chama gani? Unahitaji miaka mingapi angalau kumaliza tatizo kwenye eneo moja tu?

Miaka zaidi ya 60 ya kujitawala, wale maadui waliotajwa mwanzoni, kuna hata mmoja amemalizwa? CCM itahitaji miaka mingine mingapi?

Bandari ni sehemu ndogo tu ya uzembe wa nchi hii, kuna TISS, Police, Immigration, Bunge, Mahakama, Serikali n.k, kote huko hakufanyi kazi; nani amewahi kuthubutu kurekebisha huko?

Bandari, ni wapumbavu wachache wanaojimilikisha sehemu ya nchi kwa ulafi wao na wakidhani wana secure kizazi chao ambacho kwa kiwango kikubwa ni LGBTQ anyway.
 
BANDARI ITATURUDISHA NYUMA KWENYE MARIDHIANO.

Na Thadei Ole Mushi

1. Kama taifa tulikosea tulipoanzisha vyama vingi vya siasa. Tulikosea tulipogawanyika tukawaita wenzetu vyama vya Upinzani na Sisi tukajiita chama Tawala. Sasa jina limewaathiri kwa sasa wanapinga kila kitu as long as kimefanywa na chama tawala. Mfano China Mfumo wao wa Siasa unaitwa “Cooperation and Consultation”. Ukiacha chama cha CPC ambacho ndio chama Tawala kuna vyama vingine nane ambavyo hushirikiana na CPC katika kushauri Serikali nini Cha kufanya. Vyama hivi vina Majukumu rasmi ya kutoa mawazo Mbadala kwa Serikali lakini pia CPC na vyama hivi vingine wanashare common goals (Malengo yao yanafanana). Hivyo huwezi kukuta wanapingana bali kuna njia rasmi za kupitisha maoni yao na yakafanyiwa kazi na ukionekana kwenye chama mbadala una uwezo wa kufanya jambo unachukuliwa unaingizwa serikalini na maisha yanakwenda.

2. Chadema njia waliyoitumia kushughulika na Bandari si njia nzuri sana. Mama Samia aliwapa kila kitu, akiwaruhusu wamfikie na wajadiliane naye, kama waliweza kumfikia na kujadiliana naye mambo ya Katiba mpya, wakamfikia na wakamuita kwenye Sherehe zao kama Mgeni Rasmi ni kwa nini hili la Bandari waliamua kutumia njia ya mapambano wakati milango ilikuwa wazi kwao kwenda kushauri? hili limeturudisha nyuma sana nilidhani wangempelekea maoni yao akikataa ndio waje kwa wananchi kufanya wanachofanya. Mpaka sasa hakuna mahali upande wa Serikali umesema utakataa maoni ya wananchi…

3. Kuna mahali kama Taifa tulikuwa tunaelekea katika Demokrasia toka kuingia kwa Mama Samia, mjadala wa Bandari utaturudisha nyuma, nia njema ya maridhiano tumeshaiharibu, ni vigumu tena hawa watu kukaa meza Moja. Kiuhalisia Maridhiano yalikuwa yanaenda kuwanufaisha wapinzani zaidi kuliko CCM. Tukubali tukatae njia iliyotumika imeturudisha nyuma, tunapaswa kwa pamoja kuweka Silaha chini na kunyanyua kitambaa cheupe kuadhiria amani na kurudi kushauriana na sio kugombana. Chadema na Serikali walikuwa kwenye vikao vya Amani gafla Chadema wakanyanyua mapanga wanaanza kupambana lazima Serikali ijilinde hapa ndipo tuliporudi nyuma mtakuja kuona mbeleni.

4.Juzi niliandika kuwa vyama vya siasa vifanye Mikutano yao lakini vitenganishe na matumizi ya viongozi wa Dini. Kinachoendelea sasa hakieleweki kama ni msimamo wa Kanisa au ni Msimamo wa mtu bibafsi pindi hawa viongozi wa dini wanaposimama kwenye podium za Kisiasa. Ni vizuri mitazamo ya viongozi wa Dini ikapitia kwenye njia sahihi kuepuka kuwafanya waumini kugawana vyama kwa misingi ya Kidini. Hata Shekhe anayejitambulusha kwa jina la Mwaipopo akemewe anafanya jambo ambalo ni Uchochezi na jambo la hatari kabisa. Tusianze kuwagawa wafuasi wa vyama vyetu kwa Misingi ya Kidini tutaliharibu taifa letu.

5. Manufaa yaliyopo kwenye Uwekezaji wa Bandari ni Makubwa kuliko hasara ya kinacholalamikiwa na wanasheria mbalimbali. Bora tumpe DP world Mkataba wa miaka Mia atupe Trilion 26 kila Mwaka kuliko Kumpa TICS miaka Mia kwa kutupatia Trilion 7 kwa mwaka. Hii ni hesabu ndogo tu kwa miaka 22 TICS waliyokaa Bandarini tu assume kila Mwaka walikuwa wakitupatia trilion 7 kwa miaka yote wametupa trilion 154 tu. Kwa hesabu zilizopo DP kwa miaka 22 ambayo TICS kadumu pale Bandarini angetupatia Trilion 572. Dili kama hili huwezi kuliacha kirahisi hasa kama wewe upo upande ambao una jukumu la kulipa mishahara, kujenga miundombinu ya barabara, kununua Madawa, kujenga Shule, kujenga hospitali na Shughuli nyingine za kijamii.

6. Issue ya ajira kuwa zitapotea kwa kuwa DP World wataleta mitambo ya kisasa ni kweli kuwa Teknolojia inapozidi kukua na nguvu kazi inapungua. Japokuwa MOU inawataka kuwaacha wafanyakazi wote waliopo sasa pale Bandarini lakini kuna faida kubwa zaidi kutokana na muunganiko wa kisekta. Ili Serikali iwe na uwezo wa kuajiri lazima iwe na fedha, kama huna fedha huwezi kuajiri, kama mapato ya Serikali yataongezeka kupitia uwekezaji tafsiri yake ni kwamba serikali itajenga uwezo zaidi kwenye kuajiri.

Fact and figures

Mfano mahitaji ya walimu katika shule za msingi 2023 ni 362,189 kwa kutumia uwiano wa 1:45 (Mwalimu mmoja kwa wanafunzi 45).Hata hivyo walimu waliopo ni 175,864 ambao wanafundisha wanafunzi milioni 12.36 waliopo nchi nzima katika ngazi hiyo ya elimu. Hiyo ni sawa na kusema kwa wastani, mwalimu mmoja anafundisha wanafunzi 70.

Sio kwamba Serikali inafurahi jambo hilo ila hawana namna wataajiri halafu walipe Mshahara kwa kusubiri TICS awakusanyie Trilion 7 kwa mwaka? Na kwenye kada nyingine hali ni hiyo hiyo hivyo lazima tufikiri mbali kuwa hata kama technolojia itawaondoa baadhi ya watumishi pale Bandarini lakini tutaipa uwezo Serikali kuajiri katika maeneo mengine. Dubai yenye Technolojia ya kutosha unemployment rate yao 2023 ni 2.50 percent wakati Tanzania isiyokuwa na Technolojia ni kubwa kuliko Dubai issue hapa ni kutokutaka kufikiria mbali tu.

7. Mshindani wa Bandari ya Dar es salaam aliye karibu yetu kabisa ni Mombasa na kwa sasa Durban Africa ya kusini. Bandari ya Mombasa kwa Africa inashika nafasi ya 29 na Bandari yetu inashika nafasi ya 25. Kwa siku za karibuni Kenya wanapambana haswa kututoa kwenye Reli ili waongoze wao kwa kushusha mizigo. Na wao wameshafikia mbali na DPW kama tusipochanga vizuri Karata Zetu na kwa mfano DP World akaamua kujitoa kwetu akawekeza Kenya, pale Bandarini tujiandae kwenda kufungua hapo Soko la kuuziana Kibua na Kambale. Bandari ya Djibut ndio inayoongoza kwa Afrika kama Bandari bora na kwa dunia ni number 26 waliowekeza pale ni DP World sasa kasome uchumi wa Djibuti unategemea asilimia ngapi za mapato toka kwenye Bandari yao. Nadhani kama nia ni njema tuangalie tunajadilije hili jambo kwa amani ili tusimtishe Mwekezaji akasepa akahamia kwa wengine. DPW imetapakaa kila mahali Duniani, si kwa Tanzania Peke yake. Link hapa chini inatuonyesha tulipo vs Mombasa Port.

8. Bado nasisitiza kuwa unaweza ukawa na Rasilimali nyingi tu ila bado taifa likawa ombaomba. Tanzania tunakopa kila mahali, tunasaidiwa hadi ARV’s na Neti za kuzuia Mbu , tunajengewa vyoo vya wanafunzi nk huku tukiendelea na akili zile zile za Mlima wetu, wanyama wetu, Mbuga zetu, Bandari yetu, nk badala ya kuangalia ni kwa namna gani tunanufaika na Rasilimali hizo.

8. Serikali na CCM wachukue yale maoni wanayoona ni Mazuri wasonge mbele kwa haraka kabla mwekezaji hajaamua kukimbia, nchi zenye bandari kwenye ukanda wetu ni nyingi sana kama tumefanikiwa kumpata mtu mwenye uwezo kama DP World tusimpoteze kwa hasira.

9. Mikutano ya CCM inayofanyika nchi nzima kwa Lengo la kutoa Elimu kuhusu uwekezaji wa Bandari unatoa taswira halisi ya ukubwa wa CCM. Si kazi ndogo kwa Mfano kujaza uwanja wa Shekh Amri Abeid Arusha, mara ya Mwisho kuona Nyomi kama hiyo ilikuwa 2015 wakati Lowassa akitangaza nia ya kugombea Urais 2015 kupitia CCM. Mbeya walizajaza, Mtwara wakajaza zaidi, Tanga wakafunika, Arusha wamefunua kabisa.

10. Tuna makadirio ya Bajeti ya Trilion 41 ni kazi kubwa haswa kuikusanya hiyo fedha. Ikipatikana itahudumia kila mtanzania na isipopatikana ni hasara kwa kila mtanzania. Tutoke kwenye dunia ya Kupinga kila kitu turudi kwenye ulimwengu wa kutoa mawazo mbadala kwa lengo la kuikimbiza nchi kimaendeleo.
Mimi sijui kwanini wale 'wanaopinga' ujio wa Dpw hawajibiwi hoja zao bali inatumika tu nguvu kupambana nao. Mimi sijasikia yeyote aliyepinga uwekezaji awe Chadema, Cardinal Pengo au askofu yeyote. Ambacho wengi pamoja na mimi,wanapigania ni vipengele vya mkataba.
Kwanini serikali isije na jibu moja la kueleweka, kwamba mkataba ni wa muda gani? Pamoja na maswali mengine yatolewe majibu- sisi tutapata asilimia ngapi ya faida? Wawekezaji hawa tumewapa eneo gani?- wapi mpaka wapi Kwa masharti gani?
Kama serikali ingejibu kwa kufafanua kipengele kimoja kimoja, nadhani hakungekuwa na malumbano haya.
Ikumbukwe pia serikali sio ya kuiamini hata kidogo- sote tunakumbuka hadithi za Ngongoro, mikataba ya gesi na madini nk. Serikali ya ccm imekaa wala rushwa wakubwa. Maneno maneno yako kwamba Dpw amemwaga rushwa kubwa, na unajua rushwa inatolewa 'gizani' hivyo usiulize ushahidi.
Naunga mkono uwekezaji ktk bandari, lakini mkataba wa Do world hapana.
 
Back
Top Bottom