CHADEMA wanapanga kuturejesha kwa wakoloni

Siasa za Chadema ni za kuitakia nchi mabaya tu muda wote.

Mara vikwazo, Mara wazungu waje watutawale.

Hakuna fikra chanya toka kwa hawa watu.

Sijawahi sikia plan yeyote ya maana toka chadema namna watavyoleta maendeleo.

Zaidi ya kutukana hawataki tujue sera zao maana hazina tija yeyote.

Hata hao viongozi wenyewe nahakika hawafahamu ilani ya chama Chao zaidi ya kutukana viongozi na kuhamasisha vurugu.
Amn jipya nyiee,, kuna siku mtatoka,
 
Chama cha magaidi mnajipya zaidi ya kuteka,kulawiti,kubaka,kufira na kuuwa.Tanzania mauaji ya kimbali yatokee tuheshimiane
Kama unataka sana hayo mauwaji anzia hapo nyumbani kwenu.
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Screenshot_20260604-133242~2.png
 
Mmejipeleka wenyewe tu hamna chadema iliyowaandikia barua mfanye mauaji, msingeua nani angejali? Siasa za kikenge si mnafanya tangu miaka ya 60 na chadema haikuwepo? Kuna beberu aliwauliza au kuwajadiili? Ukinywa damu ya "ntu" majirani watakuja tu so msitafute mchawi, mchawi wenu kavaa shungi anapiga tunguli tu, mtayanywa tu
 
wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.
Raslimali zipi wakati zote maccm mmeshawapa bure Waarabu, Wachina, Warusi na mabeberu wengine??

Ni kwanini mliwaondoa Wamasai Kwenye maeneo yao ya asili?
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Wanaishi kwa kutegemea mihemko na harakati. Vigumu kwao kuwakana mabwana wa Ulaya.

Nilimuona Heche mpuuzi siku ile aliposema haitambui serikali ya Samia anataka wazungu waje kushika madaraka ya Tanzania.

Haguswi na ukweli kwamba mababu zetu walimwaga damu nyingi katika kuwatoa hao wakoloni, haguswi na jitihada za kina Nyerere na wazee wa jiji la Dar katika kuwaondoa hao wakoloni, anataka waje kwa mgongo wa usuluhishi wa kisiasa!, mpuuzi sana huyu jamaa.
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Leo mmeshasahu historia ya SADC, Israel na West Sahara.

Mpo kama wasenge
 
Raslimali zipi wakati zote maccm mmeshawapa bure Waarabu, Wachina, Warusi na mabeberu wengine??

Ni kwanini mliwaondoa Wamasai Kwenye maeneo yao ya asili?
Tafuta uelewa usikumbwe na mihemko ya mitaani. Anavyoendesha DP World pale TPA hatukuwahi kuendesha kisasa namna ile.

Hata hao CHADEMA wakipewa nafasi ya kuiongoza Tanzania hawatakuwa na jeuri ya kujiendesha wao wenyewe.

Kumbuka Heche alisema msimamo wao ni kuona wazungu wanakuja kuiongoza Tanzania.
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Kinyesi Cha mama
Wachina wamepewa Kila kitu na serikali ya ccm Hilo nalo unalijua au umejaza kinyesi Cha mama tumboni
 
Ccm nikipi walichobakiza kikiwa bado ni cha wananchi?
Bandari?
Misitu,?
Madini?
Uhuru?
Mbona vyote vimegawiwa?
Kwanza ccm watoke, walipotufikisha hakufai
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Rasilimali zipu tena wakati wajanja wachache ndani ya ccm wamepora kila kitu na kuwapa wachina, wahindi na Waarabu tena bila kufuata Katiba, Sheria??
Yaani wenyewe mnaharibu mambo alafu mnaisingizia CHADEMA?
Yaani muue WaTanganyika Dunia ikisimama nao mnasingizia Ukoloni?

Ukiweka kwenye mizani sometimes ni Bora wakoloni wa magharibi wana utu kulikoni nyie wakoloni weusi!
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Mlitoka lini?.......
 
Ccm nikipi walichobakiza kikiwa bado ni cha wananchi?
Bandari?
Misitu,?
Madini?
Uhuru?
Mbona vyote vimegawiwa?
Kwanza ccm watoke, walipotufikisha hakufai
Vyote hivyo mali ya wananchi, tafuta uelewa punguza kujiweka kwenye akili za chuki za kipuuzi.

Tatizo kubwa la afrika kuendekeza habari za chuki na za kichochezi kuliko kutafuta mantiki haswa ya kitu fulani ni ipi.
 
Back
Top Bottom