CHADEMA wanapanga kuturejesha kwa wakoloni

Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Jisikitikie sana kwa kuwa mwendawazimu!!
 
ULIVYOKUWA FAMBA UNAMTETEA BIBI SAMIA,ANAYEIFUNGIA JAMII FORUM.

AKILI ZAKO NI FUPI MNO AISEE.
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Sasan HIVI wazungu hawana uhusiano na Tanzania au, mbona tunalilia misaada yao
 
Uzeni sera zenu na sio kejeli na matusi na kutegemea wazungu wawaweke madarakani.

Chadema ni debe tupu na mzigo mzito kwa Taifa.
Sasa yupi bora kati ya mkoloni mweupe na huyu mweusi hatari anaye ua raia wake kama kuku tuliye naye sasa, CCM wanauza sera gani kutwa majukwaani ni kutaja CHADEMA na viongozi wake hakuna sera wanayo tangaza CCM maana hawana cha kuwambia wananchi
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Mara mia mkoloni kuliko CCM, mara mia mzungu kuliko mwarabu
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Bila wazungu kukulinda hawa unaodhani ni viongozi wako watakunyonyoa manyoya yako yote mpaka kwenye makalio, si watu wazuri hao.
 
In fact,
wamejitambulisha kua wao ni vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ndio maadui wakuu wa taifa letu 🐒
 
Mbona ni sawa coz huko usafiri ni pipa. Wao wapange tu mim nipo tayari
 
Bila wazungu kukulinda hawa unaodhani ni viongozi wako watakunyonyoa manyoya yako yote mpaka kwenye makalio, si watu wazuri hao.

Du Mzungu wasijilinde wenyewe wameuwana kama sisimizi kwenye Vita ya pili ya Dunia 👈

Waje kukulinda ww Mweusi 😂

Palestine
Wazungu wanatumia neno Gaidi kama nyenzo ya kuwauwa watu kwenye Nchi yao na kuwapora Ardhi yao inayotambuliwa chini Sheria za Umoja wa Mataifa

WAZUNGU awa ndio walewale walimwita
rip Nelson Mandela kuwa ni Gaidi

Wazungu awa awa wapo kwenye project ya kuisodoma Dunia

Chadema kuungwa mkono na Marekani na Ulaya

ni janga kubwa kwa Watanzania
1)
Rasilimali zetu
2)
USODOMA
Chadema wakala wa Shetani ✅️
 
Hawa wamejiweka wazi kuwa ni vibaraka.
 
Chadema wakala wa Shetani ✅️! Pole sana kwa kuchumishwa matembele, sasa walipomaliza na kuuchomoa mtarimbo ulijisikia vipi? Kama nakuona vile ukinung'unikia maumivu, pole.
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.

da! kwahiyo unajifanya mjinga ili kuwalisha ujinga wajinga... maana ni mjinga ambaye anaweza kuamini kuwa wakoloni walifukuzwa na Nyerere na watarudishwa na Chadema..
kama hawakuwepo kwanini ukataliwe kupewa hela as usual? kama hawakuwepo kwanini wajumbe watumwe kwenda kuomba msamaha?
unajifanya mjinga kuwa hufahamu kuwa ukoloni haukuwahi kwisha na bado upo..,
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Hahahahhaaa mi sio mfuasi wa chadema ila unachoweza sio sahihi
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Kwa akili yako ni nani hategemei wazungu?
Huyo nchimbi na kombo walifuata nn marekani mara ulaya mara uarabuni?
 
Back
Top Bottom