mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,847
- 3,663
Swali ni mwananchi anafaidikaje na hizo rasilimaqli?Vyote hivyo mali ya wananchi, tafuta uelewa punguza kujiweka kwenye akili za chuki za kipuuzi.
Tatizo kubwa la afrika kuendekeza habari za chuki na za kichochezi kuliko kutafuta mantiki haswa ya kitu fulani ni ipi.
Yote hayo yanafaidisha zaidi wageni na wazawa wachache mafisadi.
Mwananchi hana maji, umeme, huduma za afya hakuna.
Rushwa kila mahali,
Acha uchawa wa kipuuzi