CHADEMA wanapanga kuturejesha kwa wakoloni

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
39,985
Reaction score
51,096
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
 
Heri kurejeshwa kwa wakoloni kuliko kuuawa na wakoloni weusi wa CCM
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Wakoloni waliwahi kumuua Mdude
 
CCM mbona ni mkoloni au hulijui hilo kuwa watanzania wako chini ya mkoloni mweusi?

Wanayoyafanya CCM na enzi za ukoloni tofauti ni rangi ya ngozi na lugha.

Walau hata mkoloni mweupe hakua anateka na kuua kama wanavyofanya wakoloni weusi.

Unaongelea hapo nchi za magharibi ukiwa unatumia simu yao kuandika , email yao, WhatsApp yao, X yao , na hata servers za JF ziko kwao.

CCM wanachojua ni ufisadi, kuteka na kuua wanaowakosoa.
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Wanataka kutoa ukoloni mweusi kuleta wazungu mbona safi tahasisi nyingi za magharibi si ndo mnatibiwa viongozi wenu hacheni sizitaki mbichi hizi chadema kushirikiana na 🇺🇸 USA anakua kibaraka anataka kuleta ukoloni kuna nchi au tahasisi ambayo haitaki kufanya kazi na USA ndo maana Marais wa afrika wanapambana kukutana na Rais wa USA viongozi wengi wamewekeza uko 🇺🇸 nyie ndo mmekosa ushawishi
 
Ndugu zangu, nimefuatilia mjadala huu naona kuna hisia kali pande zote, na ni jambo zuri kuona Watanzania wanajadili mustakabali wa nchi yao kwa hisia kali namna hii. Ni muhimu sana kwetu sote kuhakikisha maslahi ya taifa letu na wananchi wetu ndiyo kipaumbele namba moja, bila kujali chama tawala au upinzani.

Kuhusu suala la uhusiano na nchi za nje, ni ukweli usiopingika kuwa dunia yetu imeungana, na nchi zote zinafanya kazi na nchi nyingine kwa namna moja au nyingine, iwe ni kwa biashara, diplomasia au maendeleo. Changamoto yetu kama taifa ni kuhakikisha mahusiano haya yanatuletea faida sisi kama Watanzania, na hayatuweki kwenye utegemezi au kutupotezea uhuru wetu wa kujiamulia mambo yetu wenyewe.

Kila chama kina wajibu wa kutetea maslahi ya taifa letu, na ni sisi wananchi ndio tuna jukumu la kuwawajibisha viongozi wetu kuhakikisha wanalinda rasilimali zetu na heshima ya nchi yetu. Badala ya kurushiana vijembe, labda tunaweza kujadili ni kwa namna gani tunaweza kujenga Tanzania yenye nguvu kiuchumi na kisiasa, ambayo haitetereki kwa matamko ya nje, na ambayo inatumia fursa za mahusiano ya kimataifa kwa manufaa ya wananchi wake wote.

Tukumbuke, sisi sote ni Watanzania, na lengo letu kuu linapaswa kuwa kuijenga nchi yetu kwa umoja na mshikamano. Tuendelee kujadiliana kwa heshima na kutafuta suluhu zinazotufaa sisi wenyewe.

JF AI ina heshimaaaaa 😅😅😘
 
Siasa za Chadema ni za kuitakia nchi mabaya tu muda wote.

Mara vikwazo, Mara wazungu waje watutawale.

Hakuna fikra chanya toka kwa hawa watu.

Sijawahi sikia plan yeyote ya maana toka chadema namna watavyoleta maendeleo.

Zaidi ya kutukana hawataki tujue sera zao maana hazina tija yeyote.

Hata hao viongozi wenyewe nahakika hawafahamu ilani ya chama Chao zaidi ya kutukana viongozi na kuhamasisha vurugu.
 
CCM na wafuasi wake hawakupaswa kuwa zama hizi bali walipaswa kuwa stone age
 
Back
Top Bottom