CHADEMA wanapanga kuturejesha kwa wakoloni

Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Ccm ni wakoloni wabaya kuliko wale walioondoka
 
kwani kwa sasa chini ya CCM hakuna mahusiano ya kiutegemezi kati ya nchi hii na wazungu ?
 
Kuna mahali kumejaa mashoga kama uarabuni? Mpeleke mwanao akasome huko uone kama ataludi salama
kwa hiyo bora wazungu wanaolinda mashoga na malesbian kwa mujibu wa katiba zao kuliko waarabu wanaofilana kwa kuficha ficha ?
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Barua ishirini na tano za Kombo hazijaeleweka?
 
Nani ameuza bandari na migodi
 
Dadeki, hapa umeshavuta zako buku7 huna shida yoyote. Ila kuwa makini maana zitakuja kukutokea sehemu mbaya inchi ikipata ukombozi
 
CCM mmekabidhi rasilimali kwa waarabu. Na mnakandamiza na kuua raia. Makosa yenu ya kiutawala mnawaangushia wananchi kwa kuwajazia kodi zisizokuwa na maana. Tuwape Nchi chadema nao tuwaone
 
Siasa za Chadema ni za kuitakia nchi mabaya tu muda wote.

Mara vikwazo, Mara wazungu waje watutawale.

Hakuna fikra chanya toka kwa hawa watu.

Sijawahi sikia plan yeyote ya maana toka chadema namna watavyoleta maendeleo.

Zaidi ya kutukana hawataki tujue sera zao maana hazina tija yeyote.

Hata hao viongozi wenyewe nahakika hawafahamu ilani ya chama Chao zaidi ya kutukana viongozi na kuhamasisha vurugu.
Kuna watu mnaandika mpaka mtu unajiuliza kuwa huyu mtu anaishi Tz au yuko nje ya bara hili. Ila ukikumbuka kuwa kuna malipo basi inabidi tuwasamehe bure
 
CCM mmechokwa tu, hao chadema wenyewe hawana jipya ila ni vile raia zimewachoka, chadema wanatembea na upepo wa makosa yenu CCM, wanatembea na upepo wa raia kuwachoka.

you're right seth meyers GIF by Late Night with Seth Meyers.gif
 
kwa hiyo bora wazungu wanaolinda mashoga na malesbian kwa mujibu wa katiba zao kuliko waarabu wanaofilana kwa kuficha ficha ?
uchaguzi ni wako ufunike donda ndugu kwa matambala ama uliache wazi, huo ndio utofauti wa mzungu na mwarabu.

Anyway Mimi siko hapa kubishana mambo ya ushoga. Nafunga mjadala
 
Watu wanalipwa kwa kupost issues za kuiponda Chadema. Umeshaona mtu anapost kuhusu Chaumma? Huko hupati buku7
Ila chadema hawalipwi na wazungu kutukana viongozi.
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Chadema haikuuwa watanzania elfu 10 Oktober 29 ila ni CCM na vyombo vyake.
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Sina tatizo nikiona mzee kama ww anaishi kwenye propaganda outdated, tatizo langu ni kuona Bado kuna vijana wa ccm wanaamini katika propaganda hizi za kichovu. Tanzania haina raslimali zozote za maana, kama ingekuwa na hizo raslimali tusingeona tozo kwenye line za simu. Kwa propaganda hizi mfu mtawapata wazee tu.
 
CCM mmechokwa tu, hao chadema wenyewe hawana jipya ila ni vile raia zimewachoka, chadema wanatembea na upepo wa makosa yenu CCM, wanatembea na upepo wa raia kuwachoka.
Huu ndio ukweli

Chadema ni ya hovyo kama hawa Inzi wa kijani walijisahau, Waliokosa wenye hekima wa kuwapa muongozo

Wameishia kubaki na machek bobu wenye mvi.! Pumbavu
 
Back
Top Bottom