CHADEMA wanapanga kuturejesha kwa wakoloni

CHADEMA wanapanga kuturejesha kwa wakoloni

Unakataa nini ninapokuambia wanakukula? Kwahiyo ni kipi kinaendelea kwasasa kwenye mradi wa gesi mpumbavu wewe?mzee mkuchika nawewe nani anaejua kuhusu mradi wa gesi mpaka adiriki kusema watu wa kusini somesheni watoto Angalia gesi yenu imeenda
Kauli ya Mkuchika ni ya mwanasiasa inatolewa kutegemea na wakati husika.

Kuna utajiri mkubwa wa Liganga na Mchuchuma haijaguswa mpaka hivi leo, mikataba yake itaandikwa hivi karibuni Tanzania inakwenda kupata faida kubwa sana.

Kuna gesi nyingine huko huko kusini haijaguswa mpaka muda huu, kuna uranium ambayo mikataba imesainiwa kule Moscow.

Tafuta ufahamu sio kuishia kuona raha katika matumizi ya matusi.

Hakuna tusi jipya chini ya jua, yote ni marudio tu.
 
Naendelea kuwahofia hawa jamaa
 
Siasa za Chadema za kutegemea matamko ya Bunge la Ulaya na Senate ya Marekani ni kiashiria kibaya kwamba

Wale wakoloni ambao Nyerere aliwafukuza wanataka kurejea kwa msaada wa Chadema.

Ni jambo lililo wazi kuwa Chadema ikishika dola, wazungu watapewa rasilimali ili waendelee kuwalinda.

Kaka na dada zetu watabakia watumwa katika nchi yao.

Chadema wasipojitenga na huu uhusiano wa wazi na nchi za magharibi kitaendelea kuogopwa na kuchukiwa na wananchi.

Dalali wa mkoloni Chadema ajiangalie sana kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Wakati mwingine jaribu hata kutumia akili ya darasa la nne'
Chadema itakupelekaje kwa "unaowaita wakoroni" Wakati haipo ikulu?
Nani kaua mashirika ya umma, Mkapa, ni, chadema?
Nani kauza gesi ya songosongo, kikwete, ni chadema? Wizi wa, escrow, Richmond, kafanya nani? Nani, kauza bandari kwa, Arabs, Nani kauza mbuga kwa Arabs?
Nchi imeishauzwa ni misukule kama wewe wasiojielewa ambao bado wanaiamini CCM!
Chadema sio maraika, Ila hawajawahi kushika dola! CCM tunawajua wapo tangu 1961! Mabaya yote ndani ya TZ ni, ccm
 
Back
Top Bottom