Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
Mtatiro alikuwa anawasuta CDM ambao wanasema wasichokiamini.
Wanasema maandamano ni ya wapinzani lakini yakiisha wanaiita CUF CCM B. Hicho ndicho ambacho CUF hawakitaki. Ni ujuha kukubali kutumika!
Kutumika kivipi? Kwani si kweli kwamba kiti cha spika kilihujumu wapinzani?