CHADEMA wanaingilia Ngome ya CUF - Mtatiro

CHADEMA wanaingilia Ngome ya CUF - Mtatiro

tatizo la chadema hawaheshim taaluma za watu,ndio maana aki na zzzk na arfi wanapigwa vita,kwa chadema ni kuhakikisha uongozi wa nchi unageuzwa kuwa parokia,waislam walielewa hili na ndio mana wako tayari nchi isitawalike kwa lengo la kulinda mtaguso wa vatikan,waislam naamini wataiwajibisha uchaguzi ujao siri imesha fichuka.watu wanayo barua ya mbowe kwenda kwa adrinali pengo.imesmbazwa miskiti yote tanzania.
Kama ni kweli haya uliyoyaandika hapa! Naomba nikuchalenj je Hiyo NAKALA unayodai mmesambaza Misikitini na MAMA yako pia Umempatia????
Na je Unadhani hizo unazoziita sijui NAKALA zitawasaidia CUF kujinasua kutoka ktk NDOA ya Mkeka walioifunga na CCM Msikitini????

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Lipo jambo moja la msingi la kujifunza hapa. Lengo kuu la CHADEMA kuitisha maandamano hapa dsm (na baadae Tanzania nzima) ni kuonesha namna ambavyo kiti cha spika kinatumika vibaya bungeni. Wawakilishi wa wananchi wanaotoka vyama vya upinzani wamekuwa wakikandamizwa, kukashifiwa na kuonewa na baadhi ya wabunge au mawaziri wa CCM ndani ya bunge huku spika/naibu/wenyeviti wa bunge wakishuhudia na mara nyingine, kashfa na uonevu huu vimekuwa vikifanywa moja kwa moja na wasimamizi hawa wa bunge... Watanzania wote lazima walione hili.,lazima waambiwe kinagaubaga namna ambavyo sheria, kanuni na taratibu za bunge zinavunjwa.. Huu ulikuwa ni wakati mzuri wa vyama vyote vya upinzani kusimama na kuzungumza lugha moja. Hili litaungwa mkono hata na baadhi ya viongozi au wanachama wa CCM wanaopenda haki na usawa, wanaoipenda Tanzania na watanzania zaidi ya CCM. Mtatiro ameamua kutokuliona hili kwa makusudi.,na hii haitabadili ukweli kuwa, mabadiliko ya kweli hayataletwa na wengi, bali wachache wenye nia ya dhati na wanaoijua thamani ya mabadiliko ya kweli...
MUNGU IBARIKI TANZANIA,
MUNGU BARIKI NGUVU, JUHUDI NA NIA NJEMA ZA WATU WAKO,
MUNGU KIBARIKI CHADEMA..
 
Kama poti wangu Julius Mtatiro anadhani Temeke ni ngome yao na kwamba Chadema inataka kuwatumia wao kujaza uwanja basi kesho atege macho na masikio ashuhudie namna jiji la Dar es salaam litakavyomiminika Temeke mwisho.
Tena nimkumbushe kuwa cuf haina nguvu tena temeke baada ya ADC kusomba wanachama wake wengi tu!
Kamanda Molemo sisi huku Ukonga leo tuna kikao cha dharura kutafakari namna tutakavyofanikisha na kushiriki kikamilifu maandamano na mkutano wa kesho. Baadae tutajulishana mpango mzima ukoje ili tujumuike na wanamageuzi wenzetu kutetea demokrasia ya wabumge isiendelee kubakwa na spika na naibu wake. Hao cuf achaneni nao watakuja kustuka siku ya kuifukia ccm kwakuwa sasahivi wamelewa mvinyo wa SUK Zanzibar!

Mkuu Mwita Maranya utawaelekeza wanaUkonga makutano yatakuwa wapi kesho kuelekea mkutanoni.
 
Last edited by a moderator:
mtatiro yupo sahihi kabisa kama hoja ni ubinafsi chadema ndio walioanza kuwabagua wapinzani pale walipo unda kambi bila kuwashirikisha,kama hoja ni uccm b,chadema ndio yenye ushahidi usio na shaka kua na katibu mkuu ndumila kuwili mara ccm mara cdm.mbona mnakua kama vile mnaishi nchi ya giningi?mnawabedha waislam lkn huwezi shinda bila kuungwa mkono na waislam.hakiiiiiiiiiiii,..........
Kwahiyo CUF ni chama cha waislaam?...ama kweli Mohamed Saidi wa Gerezani kapata mandondocha wengi.
 
iv mta wa tiro ni CUF kwel pesa kwel sabun ya roho. kapewa kanafasi ccm b kabdlk alkua m4c huyu mwl. mwancham wa jublee
 
Tumewashtukia hawa jamaa wa CHADEMA. Kule kigoma walishirikiana na CCM kuunda uongozi kipindi fulani hivi. CUF hawakuwaita CCM B kwa vile ni waungwana. Leo kule ZNZ imekuwa nongwa kwa vile walikuwa wanatamani ZNZ igeuke Rwanda, watu wachinjane wenyewe kwa wenyewe.

Wacha uongo, uzushi, na uzandiki wako kijana! Hata mara moja Chadema haikuwahi kuungana na CCM MAHALI POPOTE kuunda serikali au uongozi wa pamoja kama unavyotaka kutuaminisha. Habari ya Kigoma ilikuwa hivi: WEWE ONGOZA KIPINDI HIKI KIKIISHA MIMI NITAONGOZA KILICHOBAKI and that is nothing but democracy.

Hii ni tofauti kabisa na kule Zanzibar ambapo wote (CUF & CCM) wako madarakani kipindi hicho hicho kimoja (in parallel) na watamaliza kwa pamoja ambayo ni tafsiri sahihi ya kuolewa - KUMALIZA KWA PAMOJA! kwa sababu kwa muundo huu ni lazima kuwe na MASTER (mwenye sera zinazotekezwa) na WIFE (anayesaidia kutekeleza sera). Teh teh teh! Kajipange upya.
 
kama kweli mtatiro kasema hayo,basi hafai kuwa upinzani bora achukue kadi ya ccm tu tujue mmoja.
 
Wamekosea kuwaalika hao maCCM-B kwa kuwa hata siku wabunge wa upinzani waliposimama pamoja kupinga udhalimu wa kiti cha spika, hao maCCM-B hawakusimama! Lkn cha kufurahisha kuna mbunge mmoja wa CUF huko znz jimbo la ole, anatambua uwepo wa kifo cha CCM ifikapo 2015.
 
ntatiro acha siasa mgando. nenda kashirikiane na wapinzani wenzako. kama wewe si mpinzani si mpinzani wa c.c.m baki usishiriki. wewe unawaza ya jana unaacha ya leo.mwaka 2013 huu. pia unakimaliza chama chako kwani tunakitakia heri chama chako kwani utajibainisha kwamba kweli wewe si mpinzani. angalia utaifa
 
Nadhani CHADEMA wamechemsha badala ya kujisafisha, wametuaminisha kwamba CCM ni chama kisichofaa kabisa, na kwamba CUF nacho kwa kuungana na CCM Zanzibar nacho hakifai kabisa, wakakataa ushirikiano na CUF katika kutengeneza baraza la mawaziri kivuri, sasa kama anavyouliza mtatiro, ni lini CUF imeacha kuwa CCM B kwenye macho ya CHADEMA mpaka wawaalike kwenye maandamano. inamaana na CHADEMA imeanza undumilakuwili?

Ilikua ni nafasi pekee ya CUF kujisafisha japo kidogo mbale ya macho ya watanzania japokua bado ni CCM B,refer uchangiaji wao bungeni.waigeni NCCR.
 
Ni heri niwe Masalia kuliko kuwa mshabiki wa maCUF.

CC😡taswira
 
Aisee kafu na mtatiro ndo mmedhihirisha mahaba yenu hadharani,endeleeni kuitunza ndoa yenu kwa mume wenu masisiemu!!!!ptyuuuuuu!!!
 
Katika hali ya kushangaza Naibu Katibu Mkuu wa CUF Julius Mtatiro amesema CHADEMA kufanya maandamano na Mkutano Temeke Mwisho ni kuingilia ngome yao.

Akizungumzia mwaliko wa CHADEMA kuitaka CUF kushiriki mapokezi ya wabunge wa upinzani kesho na hatimaye kushiriki mkutano wa pamoja Mtatiro amesema kamwe CUF haiwezi kushirikiana na CHADEMA.

Mtatiro amesema mwaliko wa CHADEMA ni wa kisanii na wamegundua Temeke ni ngome kuu ya CUF kwa hiyo CHADEMA haiwezi kupata watu mkutanoni bila kuishirikisha CUF.Mtatiro ameuliza tangu lini Chadema imegundua CUF siyo CCM B? Mtatiro amelalamika CHADEMA inatafuta umaarufu Temeke kupitia mgongo wa CUF.

Kwa upande wake Chama cha NCCR Mageuzi kupitia Katibu Mkuu Sam Ruhuza kimesema kitashiriki kikamilifu mapokezi hayo kwani CHADEMA siyo adui yao bali adui yao ni CCM tu.

Wabunge wa CHADEMA na NCCR waliungana pamoja bungeni kupinga uonevu,ukandamizaji na udhalilishaji wa Spika wa bunge Anne Makinda na Naibu wake Job Ndugai dhidi ya Upinzani bungeni.Hata hivyo mara zote CUF wamekuwa wakiungana na wabunge wa CCM kuwapinga wapinzani wenzao.

Kesho Jumapili CHADEMA imepanga mapokezi makubwa na maandamano kisha mkutano mkubwa wa hadhara Temeke Mwisho kwa lengo la kulaani ukandamizaji wa Spika na Naibu wake.

Source:Tanzania daima/Nipashe.

Mkuu Molemo mbona hii nadharia ya Mtatiro inafanana na ile ya mtaji wa igunga alafu mtu akaumbulia aibu.
 
Last edited by a moderator:
Cuf wanachama mnakaribishwa mtatiro hana hakimiliki yenu
 
Mtatiro anapaswa kujua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita mgombea ubunge wa Chadema Temeke alizoa kura zaidi ya 20,000
Na kwa nyongeza tu ni kwamba Mgombea wa CDM kamanda Dickson Ng'hili alikuwa wa pili katika uchaguzi wa 2010
sasa anaporopoka ni ngome yao ilikuwaje mgombea wao hata nafasi ya pili tu hakupata?aende huko na siasa zake za magamba asubiri mziki kesho.
 
Back
Top Bottom