Kwani Temeke iko Pemba?
Imenikumbusha kuwa mwanzoni Sir Elton John alikuwa anakana yeye siyo shoga, hadi baadae sana.Hongera Mtatiro kwa kukiri hili...
Mtatiro ameuliza tangu lini Chadema imegundua CUF siyo CCM B? .
Kumekuwepo na madai kwamba cdm niwabinafsi na hawataki kushirikiana na wapinzani wenzao.sasa kwahili wamejisafisha.
Imenikumbusha kuwa mwanzoni Sir Elton John alikuwa anakana yeye siyo shoga, hadi baadae sana.Hongera Mtatiro kwa kukiri hili...
TMK sio Pemba muzee, hata huko Pemba tunakuja kuwashika, Lindi-Mtwara tumeshawashughulikia, Tanga tumeshawazika, Tabora ni historia, bado Pemba huko ndo tunaenda kuwafuta kabisa kwenye uso mwa dunia. M4C kanyaga
Mtatiro anaweza kusema ile mikutano Arusha waliyofanya ilikua ya nini? AU Arusha ni ngome ya CUF?
CUF mke wa mtu. Na mke wa mtu ni sumu!
Kwani Temeke iko Pemba?
Mtatiro anaweza kusema ile mikutano Arusha waliyofanya ilikua ya nini? AU Arusha ni ngome ya CUF?
Nia ya CHADEMA ni nzuri,lakini CUF hawajiamini!na CHADEMA waliwaarika wa nini?
Tatizo la Mtatiro anawaza mambo yale yale ya kijinga ya udini.Mtatiro anajiaminisha kwamba CUF ni ya Waislam na kwa Dar Waislam wengi wapo Temeke kwa hiyo Chadema haiwezi kuungwa mkono.
Mawazo ya kijinga na ya kipuuzi kweli haya!
Tatizo la Mtatiro hajui CUF ilipotoka,ilipo na inapoelekea!Mtatiro anapaswa kujua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita mgombea ubunge wa Chadema Temeke alizoa kura zaidi ya 20,000
Kwani Temeke iko Pemba?