Unarudi lini Tanzania kutoka ughaibuni? Fuatilia basi hata matokeo ya uchaguzi yakitangazwa japo kwa kupitia JF!
Kwa hiyo mbunge wa Temeke katoka CUF? Au tusemeje?
Kwahiyo unataka kutuambia kwamba cuf inafanya mambo yake kwa kufuata maelekezo ya Mbowe ama ulitaka kusemaje?
Kwenye hayo majadiliano ninyi cuf mlikuwa mmeazimisha vichwa vyenu hata msiju zuri ni lipi na baya ni lipi? Subirini kesho muione nguvu ya umma. Endeleeni na fungate yenu na magamba muda si mrefu mtakuja kutulilia.
Hujakosea Mkuu! Hata hivyo CUF,ni Waswahili kwa Jinsi Chama chao kinavyo jiendesha.Wawakilishi wao wengi ni Waswahili wa Pwani!CUF hiki chama kina gubu sana..kama mwanamke wa kizaramo!
Kapiga marufuku maandamano lakini karuhusu mkutano.
cuf ni chama kinachokosoa serikali na kisha kuonesha njia,kina hazina ya wataalam waliobobea katika uchumi wa kimataifa.mbowe hana taaluma yoyot
tatizo la chadema hawaheshim taaluma za watu,ndio maana aki na zzzk na arfi wanapigwa vita,kwa chadema ni kuhakikisha uongozi wa nchi unageuzwa kuwa parokia,waislam walielewa hili na ndio mana wako tayari nchi isitawalike kwa lengo la kulinda mtaguso wa vatikan,waislam naamini wataiwajibisha uchaguzi ujao siri imesha fichuka.watu wanayo barua ya mbowe kwenda kwa adrinali pengo.imesmbazwa miskiti yote tanzania.
Hawa nadhani wanafananisha "fanatic supporters" na kuwa na support sehemu. Wafuasi wako kuwa na kelele sehemu fulani haimaanishi hiyo ni ngome yenu kama hao wafuasi wakati wa uchaguzi hawa equate nyie kushinda uchaguzi hapo.
Kesho Chadema waeleze vizuri watu wa temeke kwani wanajua Mhashamu Kadinal Pengo ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema,pamoja na Padri Slaa ambae nae ni Katibu Mkuu Chadema,wanasema Chama cha Kikatoliki,huku temeke ndivyo wanavyo fahamu kesho wasipo sema jambo hilo mkutano utakua hauna maana kabisa na uelewa wa Chadema kuwa ni chama cha Kanisa ume enea sana Temeke yote! Angalizo mhimu sana!Katika hali ya kushangaza Naibu Katibu Mkuu wa CUF Julius Mtatiro amesema CHADEMA kufanya maandamano na Mkutano Temeke Mwisho ni kuingilia ngome yao.
Akizungumzia mwaliko wa CHADEMA kuitaka CUF kushiriki mapokezi ya wabunge wa upinzani kesho na hatimaye kushiriki mkutano wa pamoja Mtatiro amesema kamwe CUF haiwezi kushirikiana na CHADEMA.
Mtatiro amesema mwaliko wa CHADEMA ni wa kisanii na wamegundua Temeke ni ngome kuu ya CUF kwa hiyo CHADEMA haiwezi kupata watu mkutanoni bila kuishirikisha CUF.Mtatiro ameuliza tangu lini Chadema imegundua CUF siyo CCM B? Mtatiro amelalamika CHADEMA inatafuta umaarufu Temeke kupitia mgongo wa CUF.
Kwa upande wake Chama cha NCCR Mageuzi kupitia Katibu Mkuu Sam Ruhuza kimesema kitashiriki kikamilifu mapokezi hayo kwani CHADEMA siyo adui yao bali adui yao ni CCM tu.
Wabunge wa CHADEMA na NCCR waliungana pamoja bungeni kupinga uonevu,ukandamizaji na udhalilishaji wa Spika wa bunge Anne Makinda na Naibu wake Job Ndugai dhidi ya Upinzani bungeni.Hata hivyo mara zote CUF wamekuwa wakiungana na wabunge wa CCM kuwapinga wapinzani wenzao.
Kesho Jumapili CHADEMA imepanga mapokezi makubwa na maandamano kisha mkutano mkubwa wa hadhara Temeke Mwisho kwa lengo la kulaani ukandamizaji wa Spika na Naibu wake.
Source:Tanzania daima/Nipashe.
Mkuu taja jimbo moja Tanzania bara linalo shikiliwa na mbunge kutoka CUF. Taja jimbo kisha na mbunge wake. Ukiweza kufanya hivi mimi nitaomba radhi kwa post yangu.
Jimbo: Lindi mjini
\Mbunge: Salumu Baruani.
Mkuu taja jimbo moja Tanzania bara linalo shikiliwa na mbunge kutoka CUF. Taja jimbo kisha na mbunge wake. Ukiweza kufanya hivi mimi nitaomba radhi kwa post yangu.
yupo baruani wa lindi mjini na mbunge wa kilwa.msijidanganye kaka kwa kujitekenya na kucheka.
Sasa kama cuf kina hazina ya wataalamu waliobobea katika uchumi wa kimataifa na mumo serikalini kwa kushirikiana na mwandani wenu ccm mbona bado nchi yetu iko hoi bin taaban kiuchumi na kijamii?
Na kama kweli cuf ina wataalamu waliobobea, walishindwa nini kutumia taaluma zao na ubobezi wao katika majadiliano hadi Mbowe akawazidi nguvu? Huo usomi wao na ubobezi wao hauna tija yoyote kwa chama chenu.