CHADEMA wanaingilia Ngome ya CUF - Mtatiro

CHADEMA wanaingilia Ngome ya CUF - Mtatiro

Mtatiro na ccm b yako mna visa kweli hautaki kushirikiana na wenzako wa upinzani sababu wewe ni mshirika wa chama tawala?
Halafu inaonyesha ni jinsi gani viongozi wetu wa upinzani walivyo na mawazo mabaya kama waganga wa kienyeji na walivyo na upeo finyu hivi kweli kiongozi uliekamilika unasema kwamba tunaingiliwa kwenye ngome yetu? Kuna ngome ya chama fulani hapa nchini? Ni upuuzi wa hali ya juu na viongozi wetu ingawa wamekwenda shule lakini elimu yao haiwasaidii kabisa Mtatiro haufai kuwa kiongozi nenda ukachunge ngombe tu haufai kuwa kiongozi
 
Du kuna jamaa kanikumbusha mtaji wa igunga walivyoangukia pua.
 
CHADEMA imefanya kosa kubwa sana Kumshirikisha Mke wa Mtu ili amlaani mumewe wakati mapenzi yao ndio kwanza yana timiza miaka 3

Mbona unapenda kuongelea mambo ya watu? unataka kuolewa? Mambo ya watu hayakusaidii jadili issues sio watu
 
Tatizo la Mtatiro anawaza mambo yale yale ya kijinga ya udini.Mtatiro anajiaminisha kwamba CUF ni ya Waislam na kwa Dar Waislam wengi wapo Temeke kwa hiyo Chadema haiwezi kuungwa mkono.

Mawazo ya kijinga na ya kipuuzi kweli haya!
 
Wanaccm wengi sana wanaumwa huu ugonjwa wa muishiwa mtatiro wa kuwa na hatimiliki na maeneo as if waliwanunua wananchi. Maccm Yanasema kuhusu kukomboa majimbo ya upinzani utadhani yako utumwani Macuf nayo yanaimba wimbo ule ule eti Temeke ni ngome yao kwani TMK kuna mb wa Macuf jamani?, Mtatiro nimefanya nae siasa za Daruso most of the time he is senseless on issues.
 
Hawa watu waliofeli halafu wakasomea majina ya wengine wana matatizo sana.
1. Mtatiro
2. Mwigulu
3. Kigwangwala
4. Mulugo
5.
6.
7.
 
Mtaa wa Tiro bwana, wakati anasema hayo alikua ameisha kula ule mchicha wa Tarime nini? Mbona sioni kabisa mantiki ya kwanza kukataa mwaliko huo halafu pia kutoa statement za kijinga hivyo, wakazi wengi wa Dar ni wa kuhama hama, leo Temeke, kesho Kinondoni mara Ilala, kama issue ni ngome, mbona hasemi chochote kilichotokea Mtwara? CDM pia walilitenga huko na kupata mapokezi makubwa na mazuri tu, hiyo nayo si ni ngome yao, au?

Mkuu mi nimependa hapo kwenye red
 
Mtatiro ni ZUMBUKUKU sana,kwahiyo yeye anadhani ya kwamba chadema haina followers temeke?
Hopless sana kwa kauli yake hiyo na msimamo wake wa kilimbuken,badala ya kuuunganisha nguvu yeye amekalia kujenga utengano tena?
 
kumbe kuna territories eh? sasa mbona cdm hawakuwazuia cuf kwenda arusha? angesubiri cdm waende tmk kisha waaibike kwa kukosa watu, kelele za nini. hao wapinzani wa design ya mtatiro ndio ambao hawaishi kutushangaza sisi ambao sio poloticians. maana tunashindwa kujua hasa lengo lao ktk upinzani ni nini! ni kumpinga mpinzani mwenzio au kupinga chama tawala![/QUOTE
Mkuu hapo kwenye red nimeangalia kwenye dictionary sijalipata hilo neno ni la lugha gani?!!
 
kumbe kuna territories eh? sasa mbona cdm hawakuwazuia cuf kwenda arusha? angesubiri cdm waende tmk kisha waaibike kwa kukosa watu, kelele za nini. hao wapinzani wa design ya mtatiro ndio ambao hawaishi kutushangaza sisi ambao sio poloticians. maana tunashindwa kujua hasa lengo lao ktk upinzani ni nini! ni kumpinga mpinzani mwenzio au kupinga chama tawala![/QUOTE

Mkuu hapo kwenye red nimeangalia kwenye dictionary sijalipata hilo neno ni la lugha gani?!!
 
Temeke ni ngome yetu, halafu huna hata mbunge ktk majimbo mawili ya Temeke. Mbona Arusha mlibeba watu toka Dar na aibu ikawakumba.
 
Alhamis niliona maajabu ya wanchama wa CUF wakati ITV ikiendesha kipindi chao cha malumbano ya hoja kirushwacho live kupitia kituo hicho! Mwakilishi wa CUF alivyopata nafasi ya kuongea mwanzo mwisho akaanza kumshambulia Dr Slaa tofauti na mada ilokuwepo mezani hadi mwongoza kipindi akatishia kuwa watakuwa wanawakata hewani watu kama hao, nilimlaum sana kwa siku hiyo, kwa sasa siwezi tena kumlaum kwa vile nimeshaona kumbe si mawazo yake bali aliwakilisha mawazo ya CUF! Kama Mtatiro anadiriki kunena hayo, basi kama kuna mtanzania atakuwa na nguvu na hamu hata mawazo ya kupigia kura CUF basi atakuwa ananufaika na CUF personally. Watanzania tumekuwa tukiililia hii fursa ya wapinzani kuwa wamoja na wameonyesha njia wakati wa hoja ya Mh Mbatia, leo hii huyu ndugu yetu anaturudisha kule tulikotoka akiwa bado na ndo ya mtaji wa Igunga...Shame on you Mtatiro hufai kuwa kiongozi wa upinzani kiukweli.
 
Hivi Mtatiro nae wameanza kulewa pombe wanayokunywa ccm? Hivi ni katika andika gani nitakuta kuwa temeke ni ngome ya cuf? Naona kijana huyu anakoelekea ni kubaya. Uoga mtupu. Sasa na kuanzia kesho ndio atagundua temeke ni sehemu ya Tanzania ambako wanaishi watanzania wenye itikadi tofauti. Najua temeke ina majimbo mawili ni wapi kati ya hayo ni la cuf na hata kama lipo wananchi wote pale ni wanachama wao tu?

Kuna wakati niliwahi kujenga imani na huyu kijana Mtatiro lakini kadiri siku zikienda kansa ya ubinafsi na ubaguzi inazidi kumuenea mwili mzima

Nadhani amefuata mkumbo huu, maana hata kipindi kile CUF walipokuja Arusha, kulikuwa na maneno kuwa Arusha ni Ngome ya CHADEMA.
 
kumbe kuna territories eh? sasa mbona cdm hawakuwazuia cuf kwenda arusha? angesubiri cdm waende tmk kisha waaibike kwa kukosa watu, kelele za nini. hao wapinzani wa design ya mtatiro ndio ambao hawaishi kutushangaza sisi ambao sio politicians. maana tunashindwa kujua hasa lengo lao ktk upinzani ni nini! ni kumpinga mpinzani mwenzio au kupinga chama tawala![/QUOTE

Mkuu hapo kwenye red nimeangalia kwenye dictionary sijalipata hilo neno ni la lugha gani?!!

asante mkuu, si unajua tena kuandika fasta, ni politicians
 
Katika hali ya kushangaza Naibu Katibu Mkuu wa CUF Julius Mtatiro amesema Chadema kufanya maandamano na Mkutano Temeke Mwisho ni kuingilia ngome yao.

Akizungumzia mwaliko wa Chadema kuitaka CUF kushiriki mapokezi ya wabunge wa upinzani kesho na hatimaye kushiriki mkutano wa pamoja Mtatiro amesema kamwe CUF haiwezi kushirikiana na Chadema.

Mtatiro amesema mwaliko wa Chadema ni wa kisanii na wamegundua Temeke ni ngome kuu ya CUF kwa hiyo Chadema haiwezi kupata watu mkutanoni bila kuishirikisha CUF.Mtatiro ameuliza tangu lini Chadema imegundua CUF siyo CCM B? Mtatiro amelalamika Chadema inatafuta umaarufu Temeke kupitia mgongo wa CUF.

Kwa upande wake Chama cha NCCR Mageuzi kupitia Katibu Mkuu Sam Ruhuza kimesema kitashiriki kikamilifu mapokezi hayo kwani Chadema siyo adui yao bali adui yao ni CCM tu.

Wabunge wa Chadema na NCCR waliungana pamoja bungeni kupinga uonevu,ukandamizaji na udhalilishaji wa Spika wa bunge Anne Makinda na Naibu wake Job Ndugai dhidi ya Upinzani bungeni.Hata hivyo mara zote CUF wamekuwa wakiungana na wabunge wa CCM kuwapinga wapinzani wenzao.

Kesho Jumapili Chadema imepanga mapokezi makubwa na maandamano kisha mkutano mkubwa wa hadhara Temeke Mwisho kwa lengo la kulaani ukandamizaji wa Spika na Naibu wake.

Source:Tanzania daima/Nipashe.
Well, hivi list of shame, ilisomewa wapi? Ilala? Chadema ilitajia mafisadi pembe eh!

Mbunge wa Chadema temeke alipata kura ngapi ukilinganisha na wa maCCM-B?
 
Back
Top Bottom