Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,273
- 6,637
Umeandika ushuzi au?Mimba yako inakusababishia kichaa
Umeandika ushuzi au?Mimba yako inakusababishia kichaa
Bwege kama wewe unatafuta kuolewa humu JF?Zao la shule za kata na chuo cha nyerere kivukoni.akienda Choni anawaza CDM kaila CDM.
PUNGUANI HUYU
Uko kwenye kipindi cha upumbavu na ujinga.Wanaelekea pabaya sana, uchaguzi mkuu walifanya kwa kuchangisha bakuli, hali ikawa mbaya sana.
Uchaguzi wa Muhambwe huko Kigoma wamekosa kabisa pesa ya kuweka mgombea. Wanasingizia maneno mengine...
Huwezi kunidanganya/kudanganya watu Chadema hii inayotafuna ruzuku ina mabilioni ya pesa?Uko kwenye kipindi cha upumbavu na ujinga.
CHADEMA ni ya wanachama na mapenzi ina mabilioni ya fedha, haitaki fedha haramu ya serikali haramu.
Umesoma ripoti ya CAG wenu?
AuUmeandika ushuzi au?
Well saidChadema ipo mioyoni mwa wanaokataa dhuluma za ccm
Inachangiwa kwa hiari siyo ccm kwa nguvu za dola
Hahahaha. Unawakilisha wajinga wenzio wewe! Akili kishida itaishia matusi tu huna lolote. Wenye busara hawatukani. Mwanume umejuaje kwamba kuna kuolewa kama hujawahi kufanya?Bwege kama wewe unatafuta kuolewa humu JF?
Lete ushahidi wa hiyo ruzuku inayorafunwa.Huwezi kunidanganya/kudanganya watu Chadema hii inayotafuna ruzuku ina mabilioni ya pesa?
Joni tupemawazo yako kwanza,halafu tutaanzia hapo.Nimeshangaa kuona Chadema ambayo ni chama kikuu cha upinzani hakishiriki chaguzi ndogo zinazoendelea mkoani Kigoma.
Kwanini Chadema inadai viti maalumu vya akina Halima Mdee na wenzake warejeshewe na wakati huo huo hawana uwezo wa kushiriki chaguzi ndogo?
Eid Mubarak!
Mwanawao:kwani waliposhiriki uchaguzi mkuu mwaka jana walisukumwa na nini?walisema kwanini wanashiriki?na ni kipi ambacho kimebadilika leo?Kwani Tume huru na katiba mpya imepatikana bwashee,,
Nawewe bado utaendelea kuiacha akili bale gate la kijani.Ujinga mtupu.
Mtakuwa nyumbu mpaka lini?