Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,003
- 103,391
Wanaelekea pabaya sana, uchaguzi mkuu walifanya kwa kuchangisha bakuli, hali ikawa mbaya sana.
Uchaguzi wa Muhambwe huko Kigoma wamekosa kabisa pesa ya kuweka mgombea. Wanasingizia maneno mengine.
Tuwachangie kila mtu bila kujali itikadi zetu. Mfano watu mil 5 wakitoa bukubuku watapata kianzio kikubwa.
Ngoma nzito je,pesa zetu zitakuwa salama mikononi mwa mabwana hawa? Zitajaza matumbo ya watu wachache
Naona umeweka uzi wa kufungia siku tayari kwa malipo yako ya leo. Washauri wanaccm wenzako wachangie vile vyama vinavyoisujudia ccm. Cdm kama chama hakipo tayari kushiriki tena chaguzi za kishenzi chini ya tume hii ya wahuni.