CHADEMA wakiwa na Dr Slaa ndani ya Njombe

Kwenye historia duniani Chadema ndio chama cha kwanza kufanya maandamano mengi yasiokuwa na tija yoyote, kwa kweli wanatumia vibaya kodi zetu Watanzania 'ruzuku' kwenye maandamano yao wastani kila maandamano wanatumia Sh. 200 milioni, pamoja na posho zao wanazogawana, Chadema kama kweli mna uchungu na hii nchi toeni fungu la fedha mnayopata japo mnunue baiskeli za vilema au mchimbe visima kwenye majimbo yenu mlioshinda Ubunge sio kukalia maandamano kila kukicha. kuna kitu mnafanya sijui kama mnajua lakini ni Endanger kabisa kwa Dk Slaa mpaka mimi binafsi nakuwa Sympahizer na Dk Slaa, mnamsumbua wakati bado anaumwa mkono na Maandamano yenu, ushahuri wangu tafuteni Mtaalamu wa tiba ya mifupa, misuli, na Viungo (Ophothopaedisti) au mpelekeni INDIA. Dk Slaa apumzike kwanza mpaka apone. nimesema hayo sababu nampenda Dk Slaa

kwenda zako uko wanatumia kodi zetu kutuelimisha
 
Kwani mgonjwa wenu wa kifafa kapona kama bado mpelekeni kwanza yeye India kabla ya kuja kwa Slaa.
 
Nasikia Nape anasema JF wamechakachua tena picha yake ili aonekane anagawa kanga kwa wanamme.

attachment.php
 
mkuu acha tharau.kuwa junior member si kuwa m2 amejivua gamba wewe.na kuwa seniour sio ishu.hv hujui walio wakongwe ccm ndio mafisad?au unafikir ni vijana waliojiunga juz.hata bible inaeleza wa kwanza atakuwa wa mwisho,wa mwisho atakuwa wa kwanza.hvyo heshim member yeyote aliyemo humu.

waheshimu uliowakuta.
 
Kwenye historia duniani Chadema ndio chama cha kwanza kufanya maandamano mengi yasiokuwa na tija yoyote, kwa kweli wanatumia vibaya kodi zetu Watanzania 'ruzuku' kwenye maandamano yao wastani kila maandamano wanatumia Sh. 200 milioni, pamoja na posho zao wanazogawana, Chadema kama kweli mna uchungu na hii nchi toeni fungu la fedha mnayopata japo mnunue baiskeli za vilema au mchimbe visima kwenye majimbo yenu mlioshinda Ubunge sio kukalia maandamano kila kukicha. kuna kitu mnafanya sijui
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/136376-chadema-wakiwa-na-dr-slaa-ndani-ya-njombe-5.html
 
Lazima kieleweke Mwaka huu. Kikwete si alisema ni chama cha msimu! Basi huu msimu wa chadema uko miaka yote.

Toa elimu Chadema. Mafisadi a.k.a Wazee wa CCJ lazima waikubali hii kasi.
Mkwele kashagundua jana anafunga semina elekezi kawaambia tumemaliza uchaguzi 2010 sasa tujipange kwa 2015, ccm ndio kimekuwa cha msimu huu ni msimu wa magamba halafu unakuja msimu wa wafanyabiashara kama alivyosema Mukama
 
Nasikia Nape anasema JF wamechakachua tena picha yake ili aonekane anagawa kanga kwa wanamme.

attachment.php

Kama ningekua mshauri wa kamati ya utendaji ya halimashauri kuu ya ccm ningewaambia waachane na tabia ya kugawia wananchi vitu kama kofia, kanga, na fulana kwasababu wananchi wanaichukulia hii ni kama ni hongo ya wajinga na masikini. Angalia picha na uthibitishe ninayoyaSEMA....Hawa hawajui hata wanachoomba. Hata Nape hapa anaonekana kuwacheka.
 
haha,..
Chama cha majini (ccm)
chama cha majambazi
chama cha majinga
chama cha misamaha
chama cha misele
chama cha mizaha
chama cha majungu
chama cha majuha
chama cha malimbukeni
chama cha .....

Duh,...malizieni wenyewe
chama cha magamba
 
Kwenye historia duniani Chadema ndio chama cha kwanza kufanya maandamano mengi yasiokuwa na tija yoyote, kwa kweli wanatumia vibaya kodi zetu Watanzania 'ruzuku' kwenye maandamano yao wastani kila maandamano wanatumia Sh. 200 milioni, pamoja na posho zao wanazogawana, Chadema kama kweli mna uchungu na hii nchi toeni fungu la fedha mnayopata japo mnunue baiskeli za vilema au mchimbe visima kwenye majimbo yenu mlioshinda Ubunge sio kukalia maandamano kila kukicha. kuna kitu mnafanya sijui kama mnajua lakini ni Endanger kabisa kwa Dk Slaa mpaka mimi binafsi nakuwa Sympahizer na Dk Slaa, mnamsumbua wakati bado anaumwa mkono na Maandamano yenu, ushahuri wangu tafuteni Mtaalamu wa tiba ya mifupa, misuli, na Viungo (Ophothopaedisti) au mpelekeni INDIA. Dk Slaa apumzike kwanza mpaka apone. nimesema hayo sababu nampenda Dk Slaa

Kati ya CCM na CHADEMA wenye ruzuku kubwa ni CCM, nilitegemea huo ushauri wa kuchimba visima, sijui baiskeli za vilema nk ungewapelekea maana huwa hatuoni hata zinatumikaje. Labda kununua kofia na tisheti!
 
CHADEMA WANAFANYA KAZI NZURI YA KUELIMISHA WANANCHI.

Kwenye historia duniani Chadema ndio chama cha kwanza kufanya maandamano mengi yasiokuwa na tija yoyote, kwa kweli wanatumia vibaya kodi zetu Watanzania 'ruzuku' kwenye maandamano yao wastani kila maandamano wanatumia Sh. 200 milioni, pamoja na posho zao wanazogawana, Chadema kama kweli mna uchungu na hii nchi toeni fungu la fedha mnayopata japo mnunue baiskeli za vilema au mchimbe visima kwenye majimbo yenu mlioshinda Ubunge sio kukalia maandamano kila kukicha. kuna kitu mnafanya sijui
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/136376-chadema-wakiwa-na-dr-slaa-ndani-ya-njombe-5.html
 
cdm hureeee. ila humu ndani ya jf kuna watu wamejiunga baada ya kuvuana magamba wanaudhi sana. someni thread zao then tazameni joining date. sana dr wa ukweli tupo pamoja for life.

Unamaanisha nini? mbona haueleweki? fafanua!!!
 
Back
Top Bottom