CHADEMA wakiwa na Dr Slaa ndani ya Njombe

Msibishane na huyo Makupa IQ yake na uwezo wa kufikiri ni mwisho wapua yake. Hata Jah People mwenyewe hajawahi kumfahamu. Atuulize sisi wenyeji wa Makambako ndio tunaomjua huyo Mzee. Hata Makinda mwenyewe alimpigia debe mgombea wa Upinzani
 
good move excellent efforts. hard work pays always. tena kwa hali ilivyo leo, ni kama kumsukuma mlevi. ccm wana waqt mgumu sana
 
Usimuone mmarekani kama ndiyo polisi wa dunia wewe ujue unatawaliwa kakaa na utakuwa chini ya sauti moja mmarekani kafanya nini chamaana zaidi yakufadhili waasi wenye silaa? Jiamini kuwa unaweza siyo kumtegemea mkoloni tumia akili yako utafika ukiwa siyo koloni la mtu. Mmarekani ndiyo aliyefanya gharama ya mafuta ipande kama haujui kwakutaka kutugawa kwa maslai yake
 
Rais wa Watu, mpenda haki Doctor wa ukweli, yuko ndani ya nyumba Mjini Njombe akitema cheche; kama kawaida watu kibao.

attachment.php

I don't understand! Ukisema Chadema na Dr. Slaa unamaanisha nini? Kwani yeye Slaa ni zaidi ya Chadema?
 
Ndugu wadau kuna mkutano wa cdm hapa mjin hv sasa.crew nzima ya cdm,mbowe zito,sugu nk na rais wangu wa moyon dr wa ukwel dr slaa yupo hapo.anamwaga mambo.ila kabla mkutano haaujaanza ulitumwa mizinga miwili ya nyuki uwanjani.ila wananchi wenye utaalaam wao sawa na hao walituma wamewahamisha.
Jamani kazi kweli kweli labda walitumwa mamng'ate Dr. Slaa, teht tehe.
 
Mbowe amesema hamjui mbunge wa jimbo hili hajawah kumsikia bungeni na hamjui

Mbunge wao ni mmoja wa wabunge wa chama cha magamba ambao husinzia toka kikao cha bunge kinaanza hadi kinaisha,wana makambako wamekula hasara uchaguzi ujao wamchague mbunge wa Chadema waone jinsi atakavyowatetea na kuwaletea maendelea ya kweli.
 
haha,..
chama cha majini (ccm)
chama cha majambazi
chama cha majinga
chama cha misamaha
chama cha misele
chama cha mizaha
chama cha majungu
chama cha majuha
chama cha malimbukeni
chama cha .....

duh,...malizieni wenyewe
kwa nyongeza umesahau CHUPI CHAFU MATAKONI
 
Hivi hawa watu wanaodai kujivua magamba wamekubali KWA DHATI kwamba wao ni NYOKA?????

Watupe pia schedule ya kung'oa meno ya simu.

cdm hureeee. ila humu ndani ya jf kuna watu wamejiunga baada ya kuvuana magamba wanaudhi sana. someni thread zao then tazameni joining date. sana dr wa ukweli tupo pamoja for life.
 
haha,..
chama cha majini (ccm)
chama cha majambazi
chama cha majinga
chama cha misamaha
chama cha misele
chama cha mizaha
chama cha majungu
chama cha majuha
chama cha malimbukeni
chama cha .....

duh,...malizieni wenyewe

chama cha malaria sugu
 
Shughuli inakuwa pevu pale wananchi wanapoanza kugundua kwamba walikuwa wananyonywa, CCM ya NAPE haisafishiki na ningekuwa mimi hiyo post ya uenezi nisingeikubali - ni sawa na kuuguza mgonjwa ambaye CD -4 zake zipo chini ya 200.
 
Back
Top Bottom