CHADEMA wakiwa na Dr Slaa ndani ya Njombe

Mpendazoe ametangaza hayo majina katika mkutano wa hadhara wa Chadema hapa Njombe leo. Habari zaidi zinafuata
 
cdm hureeee. ila humu ndani ya jf kuna watu wamejiunga baada ya kuvuana magamba wanaudhi sana. someni thread zao then tazameni joining date. sana dr wa ukweli tupo pamoja for life.

mkuu acha tharau.kuwa junior member si kuwa m2 amejivua gamba wewe.na kuwa seniour sio ishu.hv hujui walio wakongwe ccm ndio mafisad?au unafikir ni vijana waliojiunga juz.hata bible inaeleza wa kwanza atakuwa wa mwisho,wa mwisho atakuwa wa kwanza.hvyo heshim member yeyote aliyemo humu.
 
cdm sasa mnapoteza muelekeo maswla akina mwakiembe na sitta huo ni umbea sasa ongeeni issue ni jinsi gani zera zenu mbadala zinaweza kuwakomboa wananchi achaneni na kuongelea watu

issues na watu yaani twanga kotekote!
 
Kapandb dr.slaa.kaanza na ishu ya ccm na kujivua gamba.dr.wa ukweli katoa gamba la nyoka live ndani ya gwanda.nyoka aina ya koboko,yule mwenye sifa ya kukimbiza watu.katoka nalo songea mbinga.anaanza uchambuzi.kama kawa kaanza na data.

Mkuu mbona hujarudi kutueleza Dr. katoa mfano gani na lile gamba la nyoka alilolitoa kwenye kombati?
 
Amekosea angeacha kwanza kama mwez mzima ndo atangaze majina mengne ili huyo dogo vuvuzela ashike adabu. Lakn poa ccj kumbe ndo hao? Duh
 
ni kweli lazima wateseke kisaikolojia
MODS PICHA imejifukia ndio maana nikaianzisha kivyake vyake
basi iwekeni mwanzo manawanyima watu utamu wa mambo
iko katika sana kuna watu wanasoma mwanzo tu na kucomment
iwekeni mwanzo tafadhali
Hilo nyomi ndo linawaumiza kichwa magamba.
 
mimi nadhani unatunga kitabu cha ngonjera ok, kama kusoma huwezi angalia hapo watanzania wa njombe hii leo
attachment.php

Nape ni kiboko ya cdm, jamaa kila wakisimama jukwaani wanamuwazia huyu kijana wamfanye nn kwani ameisha mwaga mboga tayari
 
Ha ha haaaa mpenda zoe aliisha bugi stepu bana ! kujitoa cdm ndiko aliji maliza wenyewe, na asivyo na akili akapoteza mafao yake ya ubunge. Wakina Shibuda walilamba kwanza ndipo wakatoka

zero brain ushaanza unafaki haukawii,hivi kwa hii kazi yako unalipwa shiling ngapi kutoka kwa nape?
 
chama cha mafisadi.kazi wanayo kujieleza kwa wananchi na kuelewa.cdm ndio destiny ya watanzia wateule.
 
Nape , ni kijana mjinga, mshamba wa madaraka , hatofautiani wapuuzi wengine mle ccm, anajidai muadilifu kwa chama chake, kumbe ni mnafiki na malaya wa siasa za kileo.
 

Nimejaribu kuzoom hiyo picha nikavaa na miwani kama ya fundi saa, bado sijaona sehemu iliyotengenezwa, hebu labda wanaJF mnisaidie hiyo picha kama ni ya kutengeneza???.....NAPE hebu tusaidie kuthibitisha kauli yako kua JF wanatengeneza hadi picha kupotosha ukweli....onyesha sasa hapo kwy hiyo picha nini kimechakachuliwa?
Tena nionavyo mie, as days go, kunakuwa kama na uhamsho fulani kwa wananchi kwamba kila CDM inapotua nyomi inaongezeka.
 
Back
Top Bottom