Ukifanya tathmini ya akina huu umati waliojiandikisha kupiga kura wanaweza kuwa chini ya mia mojaRais wa Watu, mpenda haki Doctor wa ukweli, yuko ndani ya nyumba Mjini Njombe akitema cheche; kama kawaida watu kibao.
![]()

Mpendazoe anatema cheche, anasema NAPE, SITA, MWAKYEMBE na yeye ni miongoni mwa waliokua wameanzisha CCJ baada ya kuona CCM haijari masilahi ya Watanzania sasa anashangaa kwanini waliendelea kung'ang'ania huko kwenye magamba.
sasa kauli kama hii ya Mpendazoe inamsaidia nini mtanzania wa kawaida ambaye ana shida kubwa sana ya chakula, hospitali, shule na maisha kijumla.
nafikiri ni wakati muafaka viongozi kuacha kuzungumzia historia na mambo binafsi bali wajikite katika kutoa ufumbuzi wa matatizo ya mwananchi wa kawaida
Rais wa Watu, mpenda haki Doctor wa ukweli, yuko ndani ya nyumba Mjini Njombe akitema cheche; kama kawaida watu kibao.
![]()
Rais wa Watu, mpenda haki Doctor wa ukweli, yuko ndani ya nyumba Mjini Njombe akitema cheche; kama kawaida watu kibao.
![]()
Duh! Leo ni makambako. Very good. People's poweeeeeers!
kwani kazi ya mboe bungeni ni kufahamiana na watu auMbowe amesema hamjui mbunge wa jimbo hili hajawah kumsikia bungeni na hamjui
kwani kazi ya mboe bungeni ni kufahamiana na watu au
amekuja amewasalimu watu na kasema anaenda njombe, na slaa wamesema yupo makete wanakuita ! Wamesema wanavamia kote kote na kutwanga kotekoteZitto weka kambi kwa mama Makinda waelimishe wana-njombe jinsi yule mama alivyo msaliti wa demokrasia.BOMOA BOMOA KAMA YA MAGUFURI