CHADEMA wakiwa na Dr Slaa ndani ya Njombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wakiwa na Dr Slaa ndani ya Njombe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchonga, May 16, 2011.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Rais wa Watu, mpenda haki Doctor wa ukweli, yuko ndani ya nyumba Mjini Njombe akitema cheche; kama kawaida watu kibao.

  [​IMG]
   
 2. kyangara

  kyangara Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu tujulishe yupo viwanja gani mie nipo njombe na ninatamani kuhudhuria pia
   
 3. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Vizuri sn kutujuza mkuu
   
 4. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Yuko viwanja vya National Housing karibu Equator View Pub.
   
 5. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,088
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  cdm hureeee. ila humu ndani ya jf kuna watu wamejiunga baada ya kuvuana magamba wanaudhi sana. someni thread zao then tazameni joining date. sana dr wa ukweli tupo pamoja for life.
   
 6. N

  Ndokororo Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wadau kuna mkutano wa cdm hapa mjin hv sasa.crew nzima ya cdm,mbowe zito,sugu nk na rais wangu wa moyon dr wa ukwel dr slaa yupo hapo.anamwaga mambo.ila kabla mkutano haaujaanza ulitumwa mizinga miwili ya nyuki uwanjani.ila wananchi wenye utaalaam wao sawa na hao walituma wamewahamisha.
   
 7. M

  MFILIPINO Senior Member

  #7
  May 16, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuuu! Ccm wachawi! Washindwe na walegee
   
 8. N

  Ndokororo Member

  #8
  May 16, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpenda zoe yupo jukwaan hv sasa.anaelezea kuhusu ccj na kufa kwake.ametoa list ya vigogo waliokuwa waasisi kutoka ccm na waliokuwa wajitoe ccm.yupo sita,mwakyembe na nape mnauye.
   
 9. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nilidhani wametuma nyukilia, kumbe nyuki?!

  walishafanya hivyo kwa shibuda wakashindwa kila kitu kuanzia nyuki mpaka uchaguzi.
   
 10. M

  Magarinza Senior Member

  #10
  May 16, 2011
  Joined: May 9, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Asante sana kwa hii taarifa. Hao wanaccj si alisema wapo sita, mbona majina matatu tu!!!!!???
   
 11. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mpendazoe anatema cheche, anasema NAPE, SITA, MWAKYEMBE na yeye ni miongoni mwa waliokua wameanzisha CCJ baada ya kuona CCM haijari masilahi ya Watanzania sasa anashangaa kwanini waliendelea kung'ang'ania huko kwenye magamba.
   
 12. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #12
  May 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ulielewa vibaya:

  alimaanisha samuel sita.
   
 13. m

  mgomba george New Member

  #13
  May 16, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  da sijui mafinga wanakuja lini makamanda wetu
   
 14. N

  Ndokororo Member

  #14
  May 16, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kapanda kamanda silnde sauti ya simba mb wa mbozi.huwez amin polisi nao leo wanaitikia peoples power!.anapanda sugu sasa.kwanza anapiga free style.anauliza masela mpo!mnaniona mwanenu?anawaasa raia kusimamia na kutetea haki zao
   
 15. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hajamtaja Makonda wa Kilimanjaro. Je na yale mamilioni waliopewa kutoka nje na kuwekwa na mtoto wa Sitta?
   
 16. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Lazima kieleweke Mwaka huu. Kikwete si alisema ni chama cha msimu! Basi huu msimu wa chadema uko miaka yote.

  Toa elimu Chadema. Mafisadi a.k.a Wazee wa CCJ lazima waikubali hii kasi.
   
 17. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu, endelea kutupa upate.
  Kama inawezekana tushushie na foto na sisi tushiriki huo mkutano.
   
 18. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  hivi kuendelea kuendelea kuzungumzia habari za ccj na walioanzisha kuna tija gani? kama hao anawataja wangehamia chama hicho c ingekuwa haki yao tu ya kikatiba kama yeye Fred alivohamia cdm? nadhani wajikite kuelezea mikakati/sera zao kuelekea kuleta maendeleo na kuwafungua wana njombe na watz in general haja ya mabadiliko.
   
 19. N

  Ndokororo Member

  #19
  May 16, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu ni baathi tu mda ni kidogo,pia mkutano ulichelewa kuanza.sababu ni kuwa walikwenda kata ya kifanya.walipokuwa wanarud wamekuta viro vilivyojazwa udöngo vimejazwa barabaran.hvyo kukawa na kazi ya kuvipangua kwanza.vimemwagwa fuso zima
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  May 16, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  haha,..
  chama cha majini (ccm)
  chama cha majambazi
  chama cha majinga
  chama cha misamaha
  chama cha misele
  chama cha mizaha
  chama cha majungu
  chama cha majuha
  chama cha malimbukeni
  chama cha .....

  duh,...malizieni wenyewe
   
Loading...