CHADEMA wakiwa na Dr Slaa ndani ya Njombe

CHADEMA wakiwa na Dr Slaa ndani ya Njombe

Hadi kieleweke! Watajivua hadi ngozi.
Mkuu hakuna uwezekano wa kupata kaji-picha ututupie humu sebuleni?
 
mimi nayapenda sana mataifa makubwa , kuna wakati unafiki wao unasaidi
kwa mfano sasa wamewachoka watawala na wezi wa afrika, wanachofanya ni
kukuza democrasia ili kama kuna serikali ya kijinga watu mnaiondoa kwa hoja na
mikusanyiko, na wakitumia ngumu kuwakandamiza wao wanatia timu na ndege zisizo na rubani
raha kweli
unyonyaji huleeeeeeeeeeee, ufidasi huleeeeeeeeeeee
 
Mimi nipo hapa watu nyomi! Alikwambia hamna watu nani ? Mbowe amesema enzi za mwiny alikuwa anakusanya bili 27, mkapa 247 na kikwete 470 lakn wananch maisha magumu
 
kwani kazi ya mboe bungeni ni kufahamiana na watu au

Acha uvivu wa kufikiri. That is a logic statement uttered by Mbowe.
Mbunge wa jimbo la Njombe Kaskazini (Makambako ikiwa ndani) ni maarufu kwa jina la Jah People, amesoma hadi darasa la pili. Ni mwoga kweli kuzungumza katika kundi la wasomi. Toka Bunge hili lianze hajawahi kuuliza swali, kuchangia hoja zaidi kujibu ndiyoooo ya ki-CCM.
 
mimi nayapenda sana mataifa makubwa , kuna wakati unafiki wao unasaidi
kwa mfano sasa wamewachoka watawala na wezi wa afrika, wanachofanya ni
kukuza democrasia ili kama kuna serikali ya kijinga watu mnaiondoa kwa hoja na
mikusanyiko, na wakitumia ngumu kuwakandamiza wao wanatia timu na ndege zisizo na rubani
raha kweli
unyonyaji huleeeeeeeeeeee, ufidasi huleeeeeeeeeeee

Na haya ni maagizo ya Marekani JK hana chake hawezi kufungua mdomo kukema maandamano, wao wajipe moyo kwa kujivua gamba.Mmarekani kawapiga ganzi hakuna kuwasha gari la maji ya kuwasha wala mabomu ya machozi.Hii ndiyo dawa ya Madikteta
 
Acha uvivu wa kufikiri. That is a logic statement uttered by Mbowe.
Mbunge wa jimbo la Njombe Kaskazini (Makambako ikiwa ndani) ni maarufu kwa jina la Jah People, amesoma hadi darasa la pili. Ni mwoga kweli kuzungumza katika kundi la wasomi. Toka Bunge hili lianze hajawahi kuuliza swali, kuchangia hoja zaidi kujibu ndiyoooo ya ki-CCM.
amesema huyu mbunge kaishia darasa la pili anaogopa kuongea mbele ya wasomi
 
Acha uvivu wa kufikiri. That is a logic statement uttered by Mbowe.
Mbunge wa jimbo la Njombe Kaskazini (Makambako ikiwa ndani) ni maarufu kwa jina la Jah People, amesoma hadi darasa la pili. Ni mwoga kweli kuzungumza katika kundi la wasomi. Toka Bunge hili lianze hajawahi kuuliza swali, kuchangia hoja zaidi kujibu ndiyoooo ya ki-CCM.

mkuu kazi ipo!jf inahitaji orientation course kwa member kutoka magambani.
 
Na haya ni maagizo ya Marekani JK hana chake hawezi kufungua mdomo kukema maandamano, wao wajipe moyo kwa kujivua gamba.Mmarekani kawapiga ganzi hakuna kuwasha gari la maji ya kuwasha wala mabomu ya machozi.Hii ndiyo dawa ya Madikteta

Mkuu hapo nimekubali 100%. Hutaki wanakuua watu wanaendelea na maisha. Gadaffi alijifanya ana kiburi yuko wapi sasa? Hii imetusaidia sana maana wanajua jamaa hawakushinda.
 
SAFI SANA CHADEMA ENDELEENI KUWASHA MOTO,PANDE HIZO NI KWETU KOTE CCM HAWANA LAO HUKo
 
ccm wanajuta kukisajili hiki chama wangekuwa na uwezo wangesha kifuta lakini kwa kuwa wanaongopa nguvu ya umma na mataifa makubwa huko wanakoendaga kuombaomba..basi kikwete amebaki kuugulia tu, presha inapanda presha inashuka...
 
amesema huyu mbunge kaishia darasa la pili anaogopa kuongea mbele ya wasomi[/QUOTE
sidhani kama mboe amesoma zaidi ya kidato cha nne

uwe mfuatiliaji wa mambo ukijua kazi ya mbowe b4 siasa utagundua km hajafika kidato cha nne au laah! Na kumbuka 2005 aliposhindwa urais alienda wapi na kufanya nini??? Sio unakurupuka, juzi nilikua makambako 4 ma own deals bahati nzur mbunge wao alikua na mkutano pale alichokua akiongea ni upuuzi na katika uliza uliza yangu wakazi wa pale wanakuambia wao co wanampenda jah people ila walikua wanataka kumtoa makweta dats why wakamsimamisha yule asiye na shule na sasa wanajipanga kuwapa wanasiasa wa ukwel sio yule mfanyabiashara. K2 kingine mimi nimesoma ukanda ule namfahamu jah people muda mrefu sana na alikua mgeni rasmi mara nyingi sana kwny graduation za shule yule jamaa hajui kuongea na hana akili penyewe nilikua mdogo ila nilikua namshangaa akiwa anaongea pumba yani hamna kitu pale kama hyo haitosh nimesoma na mwanae anaitwa majuto sanga yani nae alikua ni m1 kati ya watu wanaokiri mzee wake anaela ila kujifunza kusoma amejua akiwa kashamzaa na ishu kibao anamtegemea mwanae na ndie msaidizi mkuu wa jah people nwdays jamaa hata chuo akwenda yupo tu asimamia bznes na mzee. SO TUNAFACT HATUKURUPUKI UKITAKA ZAIDI SEMA. Mungu ibariki chadema, mungu ibariki tanzania, asanteni sana, aluta contnua...
 
amesema huyu mbunge kaishia darasa la pili anaogopa kuongea mbele ya wasomi[/QUOTE
sidhani kama mboe amesoma zaidi ya kidato cha nne

Huyo mbunge namjua sana wala hakuishia darasa la pili in la kwanza C, kwenye mistari midogo na mikubwa. Huyu jamaa alipata mgao wa million 900 za EPA ili CCM kufanikisha mambo yao 2005. Mbunge gani unapewa nafasi uwashukuru wajumbe kwa ushundi wewe unawapa namba ya simu, wapi na wapi. Huyu ni mmojawapo la genge liloshiriki kuwafilisi wakulima wa chai njombe, hasa kule lupembe. Kiwanda kinashindwa kufanya kazi kwa kuwa wanangangania maslahi yao, ndiyo maana Pinda kashindwa kusuluhisha ule mgogoro wa kiwanda kati ya serikali na wakulima wa chai lupembe.
 
Back
Top Bottom