CHADEMA wakiwa na Dr Slaa ndani ya Njombe

cdm hureeee. ila humu ndani ya jf kuna watu wamejiunga baada ya kuvuana magamba wanaudhi sana. someni thread zao then tazameni joining date. sana dr wa ukweli tupo pamoja for life.
Tuko pamoja lakini si vizuri kuparamia unaowaita wanaJF wapyakwa kuwaponda, ni Ma-great thinkers wa ukweli, kwani ulipojiunga kuna mtu alikunyoshea kidole!! inaonyesha kwa kiasi ulivyo mchoyo: Let them give out the hiden issues through JF(public forum).
 
sasa hao wanafiki akina nape hawaoni aibu kwausaliti waliufanya kwa wenzao wa ccm leo wanajifanya kutaka kuvua magamba wenzao. kumbe wapo wapo wengi hata mwakyembe na sita nao????. mbona sasa wamewapa vyeo vikubwa hivo, ccm itapona kweli??? ngoja tusubiri

Jiulize sasa...CCM hawana tatizo na hilo, sasa Chadema wanakereka na nini hapo?sio kupagawa huku?
 
haha,..
chama cha majini (ccm)
chama cha majambazi
chama cha majinga
chama cha misamaha
chama cha misele
chama cha mizaha
chama cha majungu
chama cha majuha
chama cha malimbukeni
chama cha .....

duh,...malizieni wenyewe

Magamba je?
 
naamini huo umati wanashangaa spika za mafuso na si kingine zaidi ya hapo

Aaah ha ha ha, Makupa bwana, wana njombe hawashangai speaker, wameshaziona toka enzi za TOT, unataka kuniambia kuna mtanzania atashngaa speaker leo, subiri 2015 ndo utajua kama ni speaker wanazoshangaa.
 
wanataka kujua tofauti speker za tot na za chadema ndugu yangu si unajua tena wtz
 
Amekosea angeacha kwanza kama mwez mzima ndo atangaze majina mengne ili huyo dogo vuvuzela ashike adabu. Lakn poa ccj kumbe ndo hao? Duh
Aache kwanza wajipange hawa jamaa dawa yao ni kuwashitukiza tu kabla hawajafanya kitu strategically ni kwamba CCM washindwe kuwavua kina RACHEL ili moto uzidi ndani kwa ndani ni kama kuongeza mafuta kwenye moto.
 
wanataka kujua tofauti speker za tot na za chadema ndugu yangu si unajua tena wtz

Ndugu yangu, hii siyo karne ya kushangaa, watu sasa hivi wameishatabua mchele ni upi na pumba ni ipi, 2015 usishangae ukiona mabadiliko, rangi za njano na kijani zitabaki kuwa historia.
 
hivi kuendelea kuendelea kuzungumzia habari za ccj na walioanzisha kuna tija gani? kama hao anawataja wangehamia chama hicho c ingekuwa haki yao tu ya kikatiba kama yeye Fred alivohamia cdm? nadhani wajikite kuelezea mikakati/sera zao kuelekea kuleta maendeleo na kuwafungua wana njombe na watz in general haja ya mabadiliko.
Mkuu hawa Watu wanapopanda Stage Wanakuwa na General objectives pamoja na specific objectives kwahiyo kila anaepanda stage anakuwa na kitu Maalum chakuwaambia wa Tanzania so Mpendazoe Jukumu lake ndo hilo,Hilo unalohoji kuna Watu wake wakulizungumzia kama kina Slaa,Mbowe na Zitto so don't panic Cdm wamejipanga hawabakizi Kitu...mpaka kieleweke.
 
[/ATTACH] CCM SINGIDA 1.jpg Hiyo hapo ccm manyoni

Nape ni kiboko ya cdm, jamaa kila wakisimama jukwaani wanamuwazia huyu kijana wamfanye nn kwani ameisha mwaga mboga tayari

Hii inaonyesha dhairi kwamba CDM inakubalika kwa sana; hii nyomi ndani ya Njombe, tena kwa Anna Makinda si mchezo.

ccm wekeni picha ya mikutano manyoni tuone!
 
Attachments

  • CCM SINGIDA.jpg
    CCM SINGIDA.jpg
    96.1 KB · Views: 55
Kwenye historia duniani Chadema ndio chama cha kwanza kufanya maandamano mengi yasiokuwa na tija yoyote, kwa kweli wanatumia vibaya kodi zetu Watanzania 'ruzuku' kwenye maandamano yao wastani kila maandamano wanatumia Sh. 200 milioni, pamoja na posho zao wanazogawana, Chadema kama kweli mna uchungu na hii nchi toeni fungu la fedha mnayopata japo mnunue baiskeli za vilema au mchimbe visima kwenye majimbo yenu mlioshinda Ubunge sio kukalia maandamano kila kukicha. kuna kitu mnafanya sijui kama mnajua lakini ni Endanger kabisa kwa Dk Slaa mpaka mimi binafsi nakuwa Sympahizer na Dk Slaa, mnamsumbua wakati bado anaumwa mkono na Maandamano yenu, ushahuri wangu tafuteni Mtaalamu wa tiba ya mifupa, misuli, na Viungo (Ophothopaedisti) au mpelekeni INDIA. Dk Slaa apumzike kwanza mpaka apone. nimesema hayo sababu nampenda Dk Slaa
 
Anayeanguka jukwaani mmempeleka wapi !?
 
Back
Top Bottom