CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Hizi picha ziloongezeka zitazidi kuwachanganya maccm..
 
Wanawatangaza watu wawili au watatu ambao ni hawa:1. E. N. Lowassa mgombea urais ...kutoka CCM kwenda CDM; 2. Juma Haji Duni mgombea mwenza...kutoka CUF kwenda CDM; 3. E. Nchimbi, mgombea ubunge Nyasa....CCM kwenda CDM

Nchimbi naye anahama? Ntaamini nikiona.
 
Ili wakamtangaze mtu waliyekuwa wanamuita fisadi kuwa ndo anapeperusha bendera ya CHADEMA? wakwende huko kura yangu kwa Magufuli

Unafikiri Jakaya alikuwa mjinga alipowalazimisha mumuite Waziri Mkuu Mstaafu?

Tulia sindano igonge mfupa wa kalio.
 
Khaa!! Kama nyuzi za humu zingekuwa zinatoka kwa watanzania makini ningeshangaa sana, lakini kwasababu zinatoka kwa wala rushwa na walevi tu najua baada ya october kutakuwa shwari baada ya mtu kuliwa tena..
 
Du! nimechoka kabisa hawa viongozi wa ukawa wanaweza vipi kuwa mapunguani kiasi hiki.

Ni punguani tu ndiye anayeweza fanya hiki kinachoendelea ukawa. Ndiooo punguani!!!!???
 
Taarifa nilizopata ni kuwa hiyo kesho saa 3 au saa 4 Lowassa atatangaza kujiunga CHADEMA na saa 10 atatangaza rasimi kugombea uraisi kwa ticket ya UKAWA na tukio hilo litarushwa live na ITV/Azam tv.

Tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom