SIMBA45
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 573
- 165
magamba yanatapatapa
Muda huu magamba uharo unagonga chup..
magamba yanatapatapa
Mda gani watakuwa Live?
Mimi hawa matanecrow wamenikera. Wanatunyima burudani ya kumwangalia Lowasa. Kama kuna tanesko humu jueni tu kwamba mnaboa vinginevo rudisheni umeme fasta
Kama ni kweli aje na hoja nzito na sababu za kujiunga.
Pole sana aisee Tanesco wanaudhi sana
Tahadhari wekeni simu zenu fully charge na kama ni mawe ya radio mnunue saa yeyote tanesco watafanya yao
Nina head phone mpya nimenunua
Pole sana aisee Tanesco wanaudhi sana
Tahadhari wekeni simu zenu fully charge na kama ni mawe ya radio mnunue saa yeyote tanesco watafanya yao
Nina head phone mpya nimenunua
ACHA CHUKI KAKUIBIA NINI? MBONA ZA ESCROW UMEFUMBIA MACHO:glasses-nerdy:
From FISADI to KAMANDA......siasa bhana
Yani mi nimecharge kila kitu na power bank in case of anything nahisi hata huku wasije Fanya yao. Kuangalia live rahaWanaudhi si kidogo....yan mi hapa nimekaa kimawenge nahisi watakata muda wowote na radio one huku haishiki ningetumia haka kamchina kangu aisee
Mbona kama una kitu moyoni.Mie nadhani siasa iko kwa ajili ya watu na si kwa ajili ya kumfurahisha kila mtu.
yaani wanaudhi kishenzyyy,yani sikuhizi tunashinda na umeme siku mbili tu kwa wiki. Eeh mungu tuondolee adha hii